Wandera Institute of Tourisim & Hotel Management

Wandera Institute of Tourisim & Hotel Management

Comments

Nahitaji kujiunga na chuo cha wandera institute of tourism & Hotel management inawezekana?
ko.Ntakupataj
ko.Ntakupataj
If you think education is expensive tray Ingnoulance

CHUO CHETU KINA PATIKANA MWANZA WILAYA YA ILEMELA KINA WALIMU KABAMBE WALIO BOBEA KUFUNDISHA CORS MBALI MBALI

Operating as usual

18/03/2021

R.I.P Rais wetu Mpendwa Umeenda Baba Nenda Tutaonana Baadae 😢 😢 😢 😢 😢 😢

R.I.P Rais wetu Mpendwa Umeenda Baba Nenda Tutaonana Baadae 😢 😢 😢 😢 😢 😢

23/06/2020

Pia Tunatoa Huduma hizo zote hapo.

23/06/2020

Huyu nimwamba wa Pori kweli, Njoo ujifunze Utarii Umjuwe na Tabia zake zote huyu Mwamba.

23/06/2020

Tunatoa huduma hizo zote hapo.

23/06/2019

Kwa Elimu yenye Fulusa kubwa ya Ajira karibu Wandera Institute, hao ni baadhi ya vijana wetu waliokwisha maliza Chuoni kwetu nasasa wapo makazini wakivuna matunda ya Elimu yao.

28/03/2018

Photos from Wandera Institute of Tourisim & Hotel Management's post

29/01/2018

Chuo kinatangaza nafasi za Masomo kwa Mhura wa January 2018..kwa kozi zifuatazo Hotel and Tourism Management, Airline Management, Tour Operation Management, Ufundi - Umeme wa Nyumbani, Computer Application, English Course, Mafunzo ya Sekondary kwa Miaka Miwili (QT) Form One na Two Mwaka Mmoja, Form Three na Four, Mwaka Mmoja..Karibuni sana nafasi bado zipo kwa wenye Hitaji la kupata Elimu yenye Fulusa kubwa ya Ajira..Ukisoma Wandera Institute na kuhitimu Ajira ni za Uhakika..kwa Mawasiliano zaidi piga namba 0756370904,,0786294903..ukituma sms Unapigiwa ukibipu unapigiwa.

[12/19/17]   Chuo kinatangaza nafasi za Masomo kwa Mhura wa January 2018, kwa ngazi ya cheti. Kozi ofa ni 1.Hotel and Tourism Management 2 . Tourism and Tour Guiding Management 3 . Air Ticketing 4 . Tour Operation and Travel Agency Management 5 . Ufundi Umeme wa Nyumbani 6 . Computer Application Pamoja na Masomo ya Sekondary kwa miaka miwili (2) yani QT..English, Computer, French and Customer care hayo yote utasoma bure kabisa..Vigezo tunapokea kuanzia darasa la saba..karibuni sana nafasi bado zipo..Njoo upate Elimu yenye Fulusa kubwa ya Ajira na kujiajiri mwenyewe..Ukiwa Wandera Institute utapata kufahamu na kutembelea vivutio vyetu vya ndani ikiwa nisehemu ya kujifunza kwa vitendo Utalii wetu..Ajira ni ya Uhakika umalizapo Chuoni kwetu.

[05/25/17]   Tunatangaza nafasi za Masomo kwa Mhura wa July kwa KOZI zifuatazo;Tourism and Tour Guiding Management,,International Hotel Management,,International Air Ticketing,,Tour Operation and Travel Agency Management,,Front Office and Customer Care,,Computer Application.,Masomo ya English,,French,,Computer ni Offer kwa wanafunzi wetu..pia tunawapeleka wanafunzi wetu kutembelea vivutio vyetu ikiwa nisehemu ya kujifunza kwa Utalii wetu,,Karibu sana Wewe kijana ulie hitimu kidato cha NNE upate Elimu yenye Fulusa kubwa ya Ajira Hapa Nchini na Nje ya Nchi,,Chuo chetu kipo Mwanza Mjini Kanisa Katoliki Nyakahoja Barabara ya Airport mkabara nakituo cha daladala NERA..kwa Mawasiliano zaidi Tupigie kwa namba zifuatazo; 0756370904,,0786294903,,Wahi mapema nafasi bado zipo.

14/05/2017

Karibuni Chuoni kwetu kwa wale wote wenye kujiendeleza katika kozi zenye fulusa kubwa ya Ajira mara tu umalizapo Masomo yako..kwa kozi zifuatazo:-TOURISM and TOUR GUIDING MANAGEMENT,,ENTERNATIONAL HOTEL MANAGEMENT,,AIR TICKETING,,TOUR OPERATION and TRAVEL AGENCY MANAGEMENT,,COMPUTER APPLICATION,,CUSTOMER CARE and SERVICES..karibu sana wenye hitaji la chuo..Tupo katika majengo ya KANISA KATOLIKI NYAKAHOJA barabara ya Airport karibu na kituo cha daladala Nera.

17/03/2017

Chuo kipo Kanisa katoriki Nyakahoja mwanza barabara ya Airport mkabara nakituo cha daladala NERA.

[03/17/17]   Tunawashukulu sana sana kwa wale wote mlioweza kulike 󰀀 na kufollow page yetu.Mungu awabariki sana.

30/06/2016

Hao nibaadhi ya wanachuo wa Wandera Institute wakiwa mazingira ya Chuoni Kanisa Katoriki Nyakahoja Mjini Mwanza.

29/06/2016

Karibu Wandera Institute upate kusoma wildlife na kutembelea Hifadhi zetu hiyo ikiwa nikujifunza vitendo ukiwa chuoni kwetu hapa

14/05/2016

Photos from Wandera Institute of Tourisim & Hotel Management's post

02/04/2016

Yote Haya utayapata ukiwa Wandera Institute..karibu upate mafunzo bora ya Utarii..

25/03/2016

Ukiwa Wandera Institute..utapata kutembelea vivutio vingi..Karibu usome na kupata fulasa kubwa ya ajira na kutenbelea vivutio vyetu vya ndani ya Nchi yetu

[03/25/16]   Habari Watanzania.Tunaendelea kujulisha kuwa..WANDERA INSTITUTE..nafasi bado zipo kwa muhula huu wa mwezi wa NNE..tunapokea kwa fani mbali mbli..kwa mawasiliano zaidi fika katika office zetu zilizopo Mission kirumba Mwanza..Karibuni sana wale wote wenye kuhitaji elimu ya kazi..,

10/03/2016

http://www.8.com/

Karibu chuoni kwetu..Wandera Institute of Tourism and Hotel Mangement..kwa Muhura wa Masomo unaonza tarehe 04/03/2016..kwa kozi zifuatazo: 1.International Air Ticketing, 2.International Hotel Management, 3.Tourism and Tour Guiding Management, 4.Tour Operation and Travel Agency Management, 5.Front Office and Reception, 6.Food Production, 7.Nursery Teaching, 8.Computer Application, 9.English, French and Customer Care, 10.Audio Music Recording/Studio Producer, 11.vidio Production(software, camera work, script writing graphics and editing)..Tunatowa kwa ngazi ya cheti kwa mwaka mmoja..gharama zetu ninafuu sana kulingana na hari ya maisha ya sasa tulio nayo..Wahi mapema nafasi bado zipo za kupokelewa..Chuo kipo Majengo ya Nyakahoja ndani Nera Barabara ya Airport mjini mwanza..Fomu zinapatikana office zetu jengo la Startimes Mission makutano ya barabara ya kirumba na Airport mjini mwanza..Njoo uchukuwe fani ya kazi na Ajira ni za uhakika umalizapo chuoni kwetu..karibuni wote wenye nia ya kujiendeleza kielimu na ujuzi..,

8.Com

10/03/2016

Tunadumisha utarii wetu..,

09/02/2016

Ukisoma chuoni kwetu Wandera Institute..utapata kutembelea mbuga zetu kujifunza zaidi kitarii..Karibuni sana wapendwa wote mnao hitaji kujendeleza kitarii zaidi kwa kozi za Tourism Management..,

[02/09/16]   Habari Watanzania..Wandera Institute tuna endelea kuwajuza kuwa bado nafasi tunazo kwa Muhura wa Masomo wa January 2016..kwa wale wahitaji wa kujiendeleza kitaramu zaidi..karibuni sana wapendwa wetu

17/01/2016
11/01/2016

Photos from Wandera Institute of Tourisim & Hotel Management's post

11/01/2016

Hapo Wanachuo wetu wakiwa ndani ya hifadhi ya kisiwa cha Sanane..ikiwa nimoja ya kujifunza kwa vijana wetu..karibu sana Chuoni kwetu nimengi utajifunza kutoka kwetu

11/01/2016

Baadhi ya Wanachuo wetu wakiwa kwenye picha ya pamoja maeneo ya Chuo..,

10/01/2016

Wandera Institute of Tourisim & Hotel Management

10/01/2016

Kwa wale wote wanao hitaji vyuo vya kujiunga..Karibu Wandera Institute of Tourism & Hotel Management..tunapokea nafasi bado zipo kwa muhura huu wa January..Tunatoa Fani tofauti tofauti..kama vile Hotel Management,,Tourism and Tour Guiding Management,,Air Ticketing,,Tour Operation&Travel Agency Management,,Food Production,,Front office and Reception,,Nursery Teaching,,Computer Application..nazingine nyingi tunatoa kwa ngazi ya Cheti..Mafunzo ya English,, French,, Computer ni bule kwa wanachuo wanao chukuwa kozi ndefu..tunafundisha kwa nadharia na vitendo hivyo ajira ni za uhakika baada ya kuhitimu masomo..Chuo chetu kipo mwanza mjini..Mission barabara ya kwenda Air port..karibuni sana kwa wale watakao hitaji form za kujinga ama kwa maelezo ya chuo zaidi basi wasiliana nasi kwa no..0756370904..0717905356..0786294903..

09/01/2016

Timeline Photos

09/01/2016

Photos from Wandera Institute of Tourisim & Hotel Management's post

09/01/2016

Photos from Wandera Institute of Tourisim & Hotel Management's post

09/01/2016

Photos from Wandera Institute of Tourisim & Hotel Management's post

09/01/2016

Timeline Photos

09/01/2016

Profile Pictures

09/01/2016

Wandera Institute of Tourisim & Hotel Management's cover photo

Videos (show all)

Location

Category

Telephone

Address

Other Schools in Mwamza (show all)
LEDA Computronics & It Solutions Company LEDA Computronics & It Solutions Company
Mwamza, 255

LEDA Computronics & IT Solutions is a technological company dealing with designing, developing, maintenance and recycling of electronic devices