TPSC Library - Mtwara Campus

TPSC Library - Mtwara Campus

Comments

What's on your mind?wengine tulipata nafasi ya kufika tpsc mtwara campus lakn umasikin unatunyanyasa tumeshindwa kwa wale wenye ushauli au msaada
ADA,BEI,GAN,NA,FOMU,WP
No one like mother ilov u mother
Nikwel sku njema huonekana asubuh
Mmakwetu mupaliiii muchidachi jamaniiiii tunayahanee chonde tuvote tuvalikola limo. chitendachi chankwan au kunowa munyu. baaah tunayahane kunyataa. ujumbe wangu njowoMmakwetu mupaliiii muchidachi jamaniiiii tunayahanee chonde tuvote tuvalikola limo. chitendachi chankwan au kunowa munyu. baaah tunayahane kunyataa. ujumbe wangu njowoo

TPSC Library- Mtwara campus was established on 14 May 2013, under the former director of Mtwara campus Mr Rajabu Mirambo, The Tanzania Public Service College (TPSC) was established in year 2000 under the ambit of the Executive Agencies Act (Act No 30 of 1997) The aim of its establishment was to fill an extant void n terms of a comprehensive training facility for Public Service, the changing needs of Public Services resulting from instituted reforms, and the need for an autonomous financially sustainable public service College.

Operating as usual

06/09/2018

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KWA MUHULA MPYA WA MWAKA 2018/2019
NAFASI NI KUANZIA MWEZI HUU WA TISA MWISHO WA MAOMBI MWEZI WA TISA

06/03/2018

[03/06/18]   NAFASI ZA MASOMO KWA MUHULA WA 2018/2019

04/09/2017

[07/25/17]   Nyerere's thought on Libraries
Nyerere on Libraries "...Books are a very important way to knowledge and to self-improvement; from them we can learn new ideas; new techniques of working and new methods. We can learn about the development of men in all its different aspects; we can broaden our understanding of other peoples and even of ourselves. All the experiences of mankind, all his discoveries and his inventions can be learned about through reading. And the provision of a National Library Service in Tanzania means that this knowledge is made available to all our literate citizens and through them to people who have not yet learned to read."
Mwalimu J. K. Nyerere, 1967

[07/24/17]   Ni muda wa likizo na kwetu kama watoa Huduma ipi mngependa tuiboreshe katika maktaba yetu? Pia ni kero ipi kubwa mnayokumbana nayo katika maktaba yetu na mngependa tuifanyie kazi haraka zaidi?
NB: Tutayafanyia kazi mapendekezo yote mtakayo yatuma hapa na inbox.

[06/23/15]   Hello! People.
Chuo cha utumishi wa umma tawi la mtwara sasa imeanzisha tovuti ambayo unaweza pata habari mbali mbali kuhusu Chuo kama kozi zitolewazo na Chuo, Huduma mbali mbali zitolewazo Chuo, idara zote za Chuo, pia unaweza Ku download form za Chuo ukajaza na kututumia kupitia maelekezo utakayopata kwenye form hiyo, kwa wanafunzi wote MATOKEO yanawekwa mtandaoni kwa sasa na siku zote mbeleni, hivyo ukitaka kuona yote tembelea

www.tpscmtwara.ac.tz

[06/05/15]   VYETI vya wote waliomaliza DECEMBER 2014 CIRTIFICATES & DIPLOMA vimeshafika hivyo unaweza kufika chuo mapema na kuchukua MATUNDA ULIYOPANDA

26/05/2015

The only way you can invent tomorrow is if you break out of the enclosure that the school system has provided for you by the exams written by people who are trained in another generation.
Neil deGrasse Tyson

19/05/2015

Timeline Photos

brainyquote.com 19/05/2015

Library Quotes at BrainyQuote

Scholars have long dreamed of a universal library containing everything that has ever been written.
Peter Singer

brainyquote.com Library Quotes from BrainyQuote, an extensive collection of quotations by famous authors, celebrities, and newsmakers.

[05/19/15]   i was wondering about all student around my campus and out of the campus only 759 like have been dropped to this page........ COME! on people make it reach to a thousands and thousands like coz itz about to explores something that you all going to like.......Like..... Like...... Like...... Like.... Like and get the page something to smile about peoples

[05/04/15]   Take a shot...and visit Pentecost hall On 8/5/2015 for your own benefit to get the right content, right info, at right time of a very great moments of training on how to tackle job interview, life skills, and career plans. Led by three people named Abong Matthew Kyarimpa, raphael Rafael B Mwango, jonson mburuma.

07/01/2015

In the world of your own Mission....

10/12/2014

Haya haya vyeti kwa wale waliomaliza June 2014 Diploma na Cirtificates vyeti vimeingia, na kwa wale ambao walikuwa hawajapata pia jumuika mje chukua vyeti vyenu wote mnakaribishwa

TANGAZO 03/12/2014

TANGAZO

Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania – Tawi la Mtwara kinapenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha Wahitimu wote wa Kidato cha Nne na Sita kujiunga na masomo kwa muhula wa Januari, 2015 katika ngazi ya Cheti (Certificate) na Stashahada (Diploma) katika kozi zifuatazo:
1.1. NGAZI YA CHETI (CERTIFICATE) – Miezi 12
1. Cheti cha Awali cha Uhazili (Basic Technician Certificate in Secretarial Studies)
2. Cheti cha Awali cha Menejimenti ya Utunzaji Kumbukumbu (Basic Technician Certificate in Records Management)
3. Cheti cha Awali cha Utawala wa Umma (Basic Technician Certificate in Public Administration)
4. Cheti cha Awali cha Menejimenti ya Rasilimali Watu (Basic Technician Certificate in Human Resource Management)
5. Cheti cha Awali cha Menejimenti ya Manunuzi ya Umma na Ugavi (Basic Technician Certificate in Public Procurement and Supplies Management)
6. Cheti cha Awali cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Basic Technician Certificate in Information and Communication Technology)

1.2. SIFA ZA KUJIUNGA
Mwombaji awe amehitumu Kidato cha Nne na amefaulu kwa Kiwango cha Alama “D” zisizopungua Tatu au awe amehitumu katika ngazi ya Cheti cha Foundation Course au Upgrading Course au awe amehitimu katika ngazi ya Cheti cha NVTA Level 3
1.3. UPGRADING COURSE – Miezi 3
Kwa wale Wahitimu ambao wana ufaulu wa Alama “D” mbili watapata furusa ya kujiunga na Kozi ya Muda Mfupi (Upgrading Course) na watakapohitimu wataweza kujiunga na masomo katika Ngazi ya Cheti (Certificate).
2.1. NGAZI YA STASHAHADA (DIPLOMA) – Miezi 24
1. Stashahada ya Mafunzo ya Uhazili (Ordinary Diploma in Secretarial Studies)
2. Stashahada ya Mafunzo ya Menejimenti ya Utunzaji Kumbukumbu (Ordinary Diploma in Records Management)
3. Stashahada ya Mafunzo ya Utawala wa Umma (Ordinary Diploma in Public Administration)
4. Stashahada ya Mafunzo ya Menejimenti ya Rasilimali Watu (Ordinary Diploma in Human Resource Management)
5. Stashahada ya Mafunzo ya Manunuzi ya Umma na Ugavi (Ordinary Diploma in Public Procurement and Supplies Management)
6. Stashahada ya Mafunzo ya Teknologia ya Habari na Mawasiliano (Ordinary Diploma in Information and Communication Technology)
2.2. SIFA ZA KUJIUNGA
Mwombaji awe amehitumu Kidato cha Sita na kufaulu katika Kiwango cha “Principal Pass” moja au awe amehitimu katika Ngazi ya Cheti (Certificate for NTA Level 4)
3.1. JINSI YA KUJIUNGA
Fomu za kujiunga na Chuo zinapatikana katika ofisi za Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania – Tawi la Mtwara au katika tovuti ya chuo ambayo ni www.tpsc.go.tz. Gharama ya Fomu za kujiunga na Chuo ni Tshs. 20,000/=. Malipo yote yafanyike kupitia Benki ya CRDB na Akaunti namba ni 01J1019909102.
Fomu ziwasilishwe kupitia njia ya Posta au fika ofisi za Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania– Tawi la Mtwara.
Kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia:
Mkurugenzi wa Tawi
Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania – Tawi la Mtwara
S.L.P 1051, MTWARA.
Tel:0232333348/0232333300,
Fax: 0232333300
Mobile: 0714601678 / 0713577587 / 0716708041 / 0713990074

[10/28/14]   Nyerere’s thought on Libraries

"...Books are a very important way to knowledge and to self-improvement; from them we can learn new ideas; new techniques of working and new methods. We can learn about the development of men in all its different aspects; we can broaden our understanding of other peoples and even of ourselves. All the experiences of mankind, all his discoveries and his inventions can be learned about through reading. And the provision of a National Library Service in Tanzania means that this knowledge is made available to all our literate citizens and through them to people who have not yet learned to read."
Mwalimu J. K. Nyerere, 1967

[10/24/14]   Two things 2 remember in life"take care of ur thouts wen ur alone" and "take care of ur words wen ur with people"

20/10/2014

Exams mean that it is going to check your abilities of nerves and your intellectual level. This life is also a name of Exam which we have to face throughout our lives. Every day we suffer from different challenges. But there are also some special exams which lead you to a bright future. Among these, your first exam starts from your school education. Though these are not tough but as a students always are just afraid of them and cause some mental worries and confusions. To cope up these fears and to encourage you all, all of your belongings i wish you ALL with prayers and noble wishes for success.

[10/20/14]   Hey Guys...
don't be stressed just work hard for your test 2 exam and what marks you got in past was your past think positive that you future should be better and just go for it
WISH you all the best you still have time you have half a day and whole night...

14/10/2014

Words of wisdom

'Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa mawazo, ni umaskini mbaya sana'. Mwalimu Nyerere, Mei Mosi 1995.

14/10/2014

Love seeing the lib full many people, this is something behind the ideology of the best ways that you can use it to make yourself intellectual in the world of intelligence people, come read, come workout for ur assignment, surfing, searching for material, got information from different sources, paperback and new modern technology in a all ways that gonna help with your information seeking specially in Research findings, assignment workout, self studying etc.

brainyquote.com 04/10/2014

Library Quotes at BrainyQuote

Take it from the bottom...

brainyquote.com Library Quotes from BrainyQuote, an extensive collection of quotations by famous authors, celebrities, and newsmakers.

04/03/2014

"...Books are a very important way to knowledge and to self-improvement; from them we can learn new ideas; new techniques of working and new methods. We can learn about the development of men in all its different aspects; we can broaden our understanding of other peoples and even of ourselves. All the experiences of mankind, all his discoveries and his inventions can be learned about through reading. And the provision of a National Library Service in Tanzania means that this knowledge is made available to all our literate citizens and through them to people who have not yet learned to read."
Mwalimu J. K. Nyerere, 1967

10/02/2014

"A good organization of anything can set the atmosphere to look pretty well and soundless to the point of being like by many, being attracted and most of all adapted to be used as a part of something new to their lives" by Mohamed Kombora #library officer in-charge

[01/28/14]   Matokeo ya supplementary, carry, na special examination
Yametoka Leo jioni wanafunzi wote mnaombwa kufanya uhakiki Mapema ili kuweza harakisha shughuli za usajiri kuendelea bila matatizo

[01/28/14]   Supplementary and special examination result will be out to day get your result for faster registration

[01/28/14]   Registration of new comers and continuously students is currently done at the main campus

24/01/2014

Our Lord has written the promise of resurrection, not in books alone, but in every leaf in springtime.
Martin Luther King Jr.

[01/24/14]   u know...
I've got a vendetta to destroy the Net, to make everyone go to the library. I love the organic thing of pen and paper, ink on canvas. I love going down to the library, the feel and smell of books.

brainyquote.com 24/01/2014

Library Quotes at BrainyQuote

TAKING FROM THE BOTTOM....

If a student takes the whole series of my folklore courses including the graduate seminars, he or she should learn something about fieldwork, something about bibliography, something about how to carry out library research, and something about how to publish that research.
Alan Dundes

brainyquote.com Library Quotes from BrainyQuote, an extensive collection of quotations by famous authors, celebrities, and newsmakers.

[01/24/14]   If you want to get laid, go to college. If you want an education, go to the library.

24/01/2014

Always bear in mind that your own resolution to succeed is more important than any other.
Abraham Lincoln

TPSC MTWARA CAMPUS 30/12/2013

Know all the environments of TPSC Mtwara campus that's beautiful, Crystal clear as blue-sky "YOU'RE All WELCOME"

Know all the environments of TPSC Mtwara campus that's beautiful, Crystal clear as blue-sky "YOU'RE All WELCOME"

Videos (show all)

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KWA MUHULA MPYA WA MWAKA 2018/2019 NAFASI NI KUANZIA MWEZI HUU WA TISA MWISHO WA MAOMBI MWEZ...

Location

Products

Quality Education TRAINING FOR IMPROVED PERFORMANCE, Books, Journals, magazine, newspaper, CD's, DVDs etc

Address

Shangani Road
Mtwara
1051

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 19:00
Other Mtwara schools & colleges (show all)
Mtangalanga Secondary School Mtangalanga Secondary School
Newala
Mtwara

This page is about sharing academic issues, entertainment, sport, chart with your classmates....

Naliendele SEC. School Naliendele SEC. School
NALIENDELE P.o Box 66
Mtwara, +255

To bring Naliendele sec students together for iinformation and knowledge sharing and bringing friendship more closer

Sabasaba Secondary School - Mtwara Sabasaba Secondary School - Mtwara
Mtwara

who went Sabasaba school even for a day, who knows the school, who heared the school etc

My school Tanzania My school Tanzania
Your Street
Mtwara

Hi, students

Tanzania Public Service College - Mtwara Campus Tanzania Public Service College - Mtwara Campus
P.O. Box 1051, Shangani Rd, Mtwara
Mtwara, +255

Tanzania Public Service College (TPSC) Mtwara campus is a government agency responsible for training public servants and preparing prospective public servants in long courses. Form 4 and 6 Graduates are welcome to join in our long courses.

SAUT- Mtwara SAUT- Mtwara
Mtwara

To bring all students together and sharing our knowledge.

Call and Vision Secondary School Call and Vision Secondary School
Mtwara

On this page we want to introduce our secondary school in Mtwara, Tanzania and keep you up to date concerning everything what happens at our school :-)

STEMMUCO STEMMUCO
Mtwara

Mtwara Technical Secondary School. Mtwara Technical Secondary School.
Mtwara, P.O.BOX 104 MTWA

Official page For Mtwara Technical Secondary School Technology Is Key To Life