Msakila Primary School

Msakila Primary School

Comments

Kwa wewe unae taka chumba chaku panga kwa mpanda mjini piga simu number 0742117461

CHANZO CHA KUTIMIA KWA NDOTO ZA WATU WENGI

[11/23/15]   Habari wana msakila????

[01/01/15]   Helow! Have a prosperous & grateful new year 2015

[12/24/13]   MERRY X-MASS & HAPPY NEW YEAR! #admin

[09/20/13]   habari zisizokuwa na uthibitisho inasemekana #Shaban-George na #Mussa-Ngoti wameshafariki.Kwa mwenye uthibitsho tafadhali. chanzo ni #HAROUB(0753368529)

[08/09/13]   may the God's blessings be with you,may his love and passion cover your day! may his protection last forever, #Eid #El #Mubarak

[07/28/13]   ni bora ujue mengi kuliko kujua kila kitu

[07/16/13]   Futuru njema

[06/23/13]   be inspired

23/05/2013

Timeline Photos

14/05/2013

JIFUNZE KUKAA KIMYA UNAPOONA MANENO YAKO NI KERO KWA WATU!

12/05/2013

HAPPY WOMENS' DAY

08/05/2013

Timeline Photos

[05/08/13]   The past prove that NO one is perfect, but the future shows that EVERY one can change!

[05/06/13]   NOT only enough to know how to do something, there must be also the MOTIVATION and CONFIDENCE to do it.........

[05/04/13]   kamwe usikumbuke matatizo yaliyopita sababu yanaumiza moyo, na usiwaze yajayo sababu yanatia hofu, maisha ni hapo ulipo. maazimio na kujitambua ni kielelezo cha maisha yako bora yajayo. Tazama mbele kwa kujiamin, nyuma kwa tahadhari na ulipo kwa matumaini. mafanikio mema kwa kila jitihada ya maendeleo.msimamo ndio dira yako, epuka kuyumba au kuyumbishwa.

01/05/2013

vijana, haya ndio ya kuiga!

27/04/2013

Timeline Photos

[04/27/13]   nani angependa kuwa admin kwenye page hii? just coment ME, shart lazma uwe ulimaliza shulen hapa. utaweza kupost,ku-add au coment kama mwasisi

13/04/2013

Timeline Photos

07/04/2013

Timeline Photos

[03/23/13]   KAMA UNAMFAHAMU MTU YOYOTE AMBAYE ALIMALIZA HAPA,KANDAMIZA JINA NA MWAKA,HATA WEWE MWENYEWE!
1.Gastor Kamande 2000
2.Michael Anatoli(Pwela leee) 2001
3.

4.

[03/19/13]   KAMA UNAMFAHAMU MWALIMU YOYOTE WA KIPINDI HICHO,LIKE NA TUPIA JINA LAKE

[12/31/12]   H A P P Y N E W Y E A R 2 0 1 3

[12/30/12]   inafahamika kuwa watanzania wengi ni masikini.hatuna urithi wa uhakika kwa watoto wetu,lakini urithi ulio BORA na THABITI ni ELIMU,jaribu kuufanya mwaka 2013 kuwa maalumu kwa kumpeleka na kumpa mahitaji yote ya kishule mwanao kwani ni haki yake. heri ya mwaka mpya

[11/08/12]   kazi na dawa

[10/24/12]   habari

[10/16/12]   vijana fanyeni kazi kwa bidii ili tuinue kipato chetu na hatimaye kipato cha familia zetu

[10/12/12]   jioni njema wajumbe

[10/12/12]   HABARI WAJUMBE,MKO POA

[10/02/12]   thanks for liking this page,have a nice evening

[09/30/12]   "NITAJIELIMISHA KADRI YA UWEZO WANGU NA NITATUMIA ELIMU YANGU KWA MANUFAA YA WOTE" nani anautendea haki usemi huu?

[09/27/12]   AMANI IWE IWE JUU YENU

[09/24/12]   JUMATATU IMEKAAJE WAKUBWA?

[09/21/12]   IJUMAA NJEMA

[09/20/12]   kunamtu yoyote ambaye unamfaham au kwa kusikia aliwahi kusoma hapa ni kiongozi wa ngazi za juu serikalini kwa sasa?

Location

Category

Address

Mpanda
P . O.BOX 33,MPANDA MJINI
Other Schools in Mpanda (show all)
Usevya High School Usevya High School
Mpanda, NON

www.usevyahighschool.org