Guidance and Counselling for Youth's, Women and People with Special Needs

Guidance and Counselling for Youth's, Women and People with Special Needs

Comments

Jamani kwa chipx dar zinatoka

Teacher, Moral example, Entrepreneur and Social worker. Technology and Nature Explorer

Operating as usual

Guidance and Counselling for Youth's, Women and People with Special Needs updated their phone number. 30/05/2021

Guidance and Counselling for Youth's, Women and People with Special Needs updated their phone number.

Guidance and Counselling for Youth's, Women and People with Special Needs updated their phone number.

Guidance and Counselling for Youth's, Women and People with Special Needs updated their phone number. 30/05/2021

Guidance and Counselling for Youth's, Women and People with Special Needs updated their phone number.

Guidance and Counselling for Youth's, Women and People with Special Needs updated their phone number.

25/04/2021

Habari, ungependa kitu gani kiboreshwe katika ukurasa huu? Toa maoni yako na mshirikishe mwenzio.

Habari, ungependa kitu gani kiboreshwe katika ukurasa huu? Toa maoni yako na mshirikishe mwenzio.

[02/14/21]   WAZO LA BIASHARA NA MTAJI WA 80,000 TU.

Habari za muda huu rafiki zangu. Nilikuwa kimya kwa kipindi kirefu kutokana na kupata changamoto flani.

Naam, leo nizungumzie mtu mwenye mtaji wa elfu themanini (80,000) biashara anayoweza kuifanya.
Hata mkiwa wawili mkachanga kila mtu 40,000 siyo vibaya.

BIASHARA YENYEWE NI KUUZA MAANDAZI, VITUMBUA, BAJIA, VISHETI, CHAPATI NA SUPU, MIHOGO AU VIAZI.

Nitachanganua biashara ya mihogo na viazi ili hata mtu aliyeko kijijini afaidike japokuwa aliyeko mjini hasa Dar es Salaam atafaidika zaidi.

MAHITAJI:
1. Kitamburisho cha Mjasiriamali (hiki kinakupunguzia usumbufu na kuleta usalama wa kazi yako japokuwa inawezekana ukaanza kazi bila kitamburisho uchumi wako ukibana) 20,000
2. Karai moja 10,000
Jiko la mkaa au kuni chukua dogo la 3500 linatosha kuanzia maisha.
3. Mwamvuli saizi ya kati ule unaoweza kushikiria mkononi 5000
4. Mafuta ya kupikia ya Tsh 5000
5. Choteo au kamsi lenye matundu lile la kutolea vitu kwenye mafuta 2000
6. Sahani 4 za jerojero zile 2000
7. Pilipili, chumvi, kitunguu, na nyanya 2000
8. Kiberiti 100
9. Vifungashio vya mifuko na magazeti 1000

10. Mihogo au viazi vya Tsh 5000
11. Ngano nusu kilo 700
12. Kisu cha 1000
13. Mkaa 1000.
14. Dell la kuhifadhia mihogo iliyokaangwa 3500
15. Stull moja (japo kuna maeneo siyo lazima uwe nayo) 10,000.
16. Ndoo ndogo (kwaajili ya kuoshea mihogo iliyomenywa na kukatwakatwa) 2500
17. Beseni dogo la kukandia unga na kupakia mihogo yako 1500

Tayari....

Jumla kuu 70,700. Inayobakia itunze utanunulia chochote kikitakiwa au itasadia kwenye nauli ikilazimu.

Kaanga viazi, kaanga mihogo ya kupaka kisha peleka kauze karibu na wanapopita watu kuelekea au kutoka kazini, masomoni.

Wauzie asubuhi na jioni utapata wateja.

Naam, kwa leo inatosha. Ukihitaji ushauri kuhusu biashara nipigie hasa siku za jumapili. 0620873116. Utalipia Tsh 2500 kwa huduma.

Kujiajiri inawezekana. Tujaribu kujiajiri.

Penda (like) Toa maoni(comment) na Sambaza kwa marafiki (share to your friends) ukurasa huu (this page)

#AJIRA #vijana #Serikali

Photos from Kuzaliwa raha/Birthday comfortably's post 16/01/2021

LAKI TANO NA NUSU TU (550,000) unaweza kufanya biashara bila stress kabisa. Ofisi inahamishika kabisa hasa kwa hapa Dar Es Salaam. Habarii, Pole na mihangaiko ya kutwa nzima. Katika pitapita yangu nimeona fursa ya kujiwekeza nyingine na OFISI INAYOHAMISHIKA hususani eneo la Biashara. Ikumbukwe niliahidi kila Jumapili nitakuwa napost fursa kwenye ukrasa wangu huu. Haina maana kwamba mimi ninajitoshereza kiuchumi jamani, mimi ni mtafutaji kama wewe. Nikiona kitu kama fursa nipo tayari kuingia gharama ilimradi nikilete barazani. Mfano hiki nilichokiona na kukipiga picha ni banda ambalo unaweza kulihamisha kutoka eneo moja hadi jingine kutafuta wateja bila kuhangaika mambo ya kubeba kitu kimoja kimoja. Katika banda hili nilifika kama mteja nikanunua chakula cha Tsh 2500 (nililazimika kufanya hivyo maana nia yangu ilitakiwa kutimia)

Naam hili ni Banda lenye sifa zifuatazo:
Linahamishika lipo kama troli (wheelbarrow)
Lina sehemu ya Mlango ambamo unaweza kuweka Ndoo, Mtungi wa Gasi, Meza ya Plastick, Viazi, nyama, unga, mkaa, kuni, mafuta au tuseme zana zoote utakazozitumia kupikia chips, supu, ugali na hata kukaanga ndizi.
Meza hii unaweza kuitumia kwa kuuzia pia Juice ya Matunda, Matunda yenyewe, Mapande ya Nyama, Ugali, Chips, Samaki wa kukaangwa, Mishikaki na vyakula vifananavyo na hivyo.
Meza hii inamwamvuli wake ambao umepigiwa kitu kama ceiling board yaani kama ushawahi ingia benki ile sehemu ya juu inavyoonekanaga.
Meza ina Wiring ya Umeme wa Solar na ukitaka kuunganisha na Tanesco kuna sehemu ipo
Meza hii unaweza kuunguza au kuongeza sehemu ya paa lake yaani kunasehemu unavuta kama mwamvuli wako muuzaji na pembeni imewekewa tenti (trubai) ambalo endapo mvua inaupepo unashusha unabaki kama upo ndani vile.
Meza ina stendi ambazo ni zakuset (adjustable stand) hivyo ukifika mahala hata hapajakaa flat unaiseti tu.

Jambo jingine ni kwamba hata jiko unaliweka juu ya meza, ukitaka hata na lile box wanamowekeaga chips likae kwa juu inawezekana.
Baada ya majadiliano marefu na fundi na kupiga hesabu zetu ikaonekana imemgharimu pesa Taslimu Tsh 400,000. Hivyo akaniambia akitaka kuniuzia nitamlipa 380,000 cash kwakuwa ananifahamu. Kiukweli meza ni nzuri sana ukiiangalia na unaweza kupiga kazi popote ukiwa na ile. Pia utaepuka gharama za Fremu yaani kupanga afu unalipa 300,000 (miezi sita tu hapo zikiisha unawaza kulipa tena).
Hakuna cha umeme kukata labda uamue wewe kutokuweka Solar au Battery.
Naam, kama unauhitaji wa ofisi na una angalau pesa hiyo nakushauri ununue hii meza utakuja kunishukuru siku zijazo. Kama ukiipenda na unania ya kuinunua nipigie ktk namba 0620873116. Uje na hela Cash maana bei nilokutajia ni TOP.
Nipo Tiptop na Fundi pia ambae ndo Muuzaji yupo Tiptop.
Je, umeupenda ukrasa wetu huu? Tafadhali tunaomba Sambaza na kumshirikisha mwenzako ukrasa wetu.

[01/03/21]   Wazo la Biashara:

Kwa mtaji wa Tsh 500,000 unaweza kuanzisha biashara ya chips. Mnaweza kuwa kikundi cha vijana angalau watatu au wakina mama watatu. Mkiwa akina mama au vijana mnaweza kujiongeza mkauza chapati, maandazi na supu maana mchanganuo ninaoupiga hapa kuna pesa kiasi itabaki.
Pia mnaweza kuanza kuchoma mishikaki na ugali mkawa mnauza (ndiyo maana nikapendekeza mkiwa hata watu watatu itafaa)

Debe mbili za viazi 12000
Karai 10000
Flying pan 5000
Mafuta ya kupikia 10000
Jiko la mkaa 5000
Kabati la kuhifadhia chips lile la Aluminium 120,000
Eneo la kufanyia biashara 60,000 kwa mwezi
Meza ya plastic na viti viwili 70,000
Chill source na Tomato Source 3000
Mwamvuli 30,000
Jiko la kuchomea nyama hasa mishikaki 20,000
Choteo la chips kwenye mafuta 2000
Vijiti vya kutungia mishikaki 2000
Nyama kilo 3 sawa na 18000
Kitamburisho cha mjasiriamali 20,000
Ndoo mbili ndogo 5000
Dumu kubwa moja 2000
Toothpick a.k.a stiki 1000
Chumvi ya 1000
Tray moja la mayai broiler 6000
Kiberiti cha gesi 500
Mkaa wa 5000
Sahani tano 5000

Vifungashio vya foil 2000

Nyanya, Karoti na vitunguu kwaajili ya kachumbali 5000

Piga hesabu inakuja 420500 kama sikosei.... Itabakia 79500 kwenye mtaji wenu. Itumike kwa nauli au kununua safuria za kupikia supu mkihitaji. Pia inunue ngano kwaajili ya chapati na maandazi. Siyo vibaya mkinunua na maharage mkawa mnayapika na kuwauzia watu kama supu au wakayaunge ziwe mboga. Kilo tatu zinatosha kuanzia.

Usisahau kupenda na kusambaza Ukrasa wetu kwa marafiki zako. Kwa ushauri tuma sms au piga +255620873116. Service charge ni Tsh 2500 kwa project mbili kufanyiwa tathmini. Karibuni

[01/02/21]   Kilimo cha maharage ni rahisi na kinalipa sana kikifanyika kwa utaalamu. Gharama nafuu na ushindani wa soko sio mkubwa sana. Huhitaji kusafiri, kinachofanyika ni kuwaita wateja waje shambani kwako na kuchukua mzigo.

Ekari moja ya maharage ya njano kwa maeneo mengi unaweza pata gunia kati ya 8 โ€“ 12 au zaidi ila inategemea na eneo unalolimia.

Shamba la maharage kama unalima kwa kumwagilia unaweza lima mara tatu kwa mwaka . Hii ina maana ukilima ekari moja tu utakua na uhakika wa kipato cha uhakika na kikubwa kila baada ya miezi minne.

Upandaji wa Maharage

1.Mbegu.
Upandaji wa maharage unatakiwa ufanyike katika muda muafaka kutokana na eneo ili kuweza kupata maji ya kutosha (mvua) na wakati wa mavuno kunatakiwa kuwe na ukavu ili maharage yasiharibikie shambani.

Maji mengi yaliyotuama na ukame siyo nzuri kwa maharage na husababishia mmea magonjwa na kuoza au kukauka.

Kuna aina nyingi za maharage ambazo zinaweza kupandwa kwa mfano (Rojo, Mshindi, Pesa, SUA 90 na Canadian wonder) ambazo ni mbegu zilizoboreshwa, lakini pia kuna mbegu za kawaida zilizopo kwa wakulima ambazo huhimili

baadhi ya magonjwa na wadudu.
Inashauriwa kupanda maharage katika umbali wa (50ร—20) sentimita 50 (mstari kwa mstari) na sentimita 20 (mmea kwa mmea), panda mbegu mbili za maharage katika shimo moja, mbegu zinaweza kupandwa katika umbali wa sentimita 3-6 kwenda chini.

Kama mbegu moja moja katika kila shimo, nafasi itapungua. Kwa maharage yaliyokuwa vizuri kunatakiwa kuwe na idadi ya mimea 150,000-200,000 kwa hekta (maharage mafupi), maharage yatambaayo idadi yake ni nusu ya maharage mafupi kwa hecta. Hekta 1 = ekari 2.471.

Kwa wanaopenda masomo karibu jifunze kilimo

22/11/2020

Asali mbichi inapatikana kwangu. Nipigie kwa namba 0620873116.
Sasa tuna matawi yetu ktk maeneo yafuatayo...
1. Iringa mjini tupo maeneo ya DonBosco,

2.Njombe tupo ujindile.

3. Dar tupo Kawe darajani Lugalo, Manzese Tiptop na Bunju A mtaa wa Sezele.

4. Manyara tupo Babati mkabala na chuo cha uhasibu tawi la mtakatifu Augustine.

Bei zetu ni nafuu sana kama ifuatavyo.

1. 1kg 10500 (rejareja) ~9500 [bei ya jumla kuanzia Pic 10)

2. ยฝkg 5500 (rejareja) ~4600 (bei ya jumla)

3. 0.25 3500(rejareja)~3000 (jumla)

Weka order mapema upate asali sahihi. Unaruhusiwa kuja na wanaopima kuona kiwango kubaini kama ni mbichi.

18/09/2020

Hauwezi kuwa bora na mzuri kwa kila mtu shukuru Mungu afya yako haiteteleki

03/01/2020

Wacha maisha yaendelee๐ŸŽ†๐ŸŽ†๐ŸŽ‡๐Ÿ“ž

15/11/2019

Bado nipo Buza na wenyeji wangu hawa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tukutane kwa Lulenge๐Ÿ€๐ŸŒน๐Ÿ˜Ž๐Ÿ“ž

12/11/2019

Ma Family

09/11/2019

Hongera kwa kuhitimisha mwendo huu bro @dionice_tz

07/11/2019

We Learn through Mistakes๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข

Like, follow, comment & share to your colleague. If you have any story alike just send it to Mr Sam Mfaume or Via WhatsApp number +255788079672

30/10/2019

The lesson I learned

29/10/2019

Another lesson for lovers Part 3 Swipe left @ Stone Town, Zanzibar Urban/West, Tanzania

19/06/2019

Jah bless u

24/02/2019

Sharom

11/11/2018

Awesomely

21/05/2018
11/05/2018

Kuzaliwa raha/Birthday comfortably's cover photo

14/01/2018

Kuzaliwa raha/Birthday comfortably's cover photo

10/12/2017

Kuzaliwa raha/Birthday comfortably

Videos (show all)

Bado nipo Buza na wenyeji wangu hawa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tukutane kwa Lulenge๐Ÿ€๐ŸŒน๐Ÿ˜Ž๐Ÿ“ž

Location

Category

Products

Consultation Services and Other Products

Telephone

Address

P.O.BOX 245, Mpanda Katavi
Mpanda
USEVYA MPIMBWE
Other Mpanda schools & colleges (show all)
Katavi School of Hotel and Tourism Management Katavi School of Hotel and Tourism Management
Majengo Street
Mpanda, +255

The Ksht offers professional education in the field of Hospitality,Tourism,IT and Business Management. Since it inception in 2011.

Mpanda Mpanda
42
Mpanda

Lift people from poor life into satisfactory one. 1.be aware about HIV/AIDS transmission 2. be aware about drugs abuse effect

Usevya High School Usevya High School
Mpanda, NON

www.usevyahighschool.org

Msakila Primary School Msakila Primary School
Mpanda, P . O.BOX 33,MPANDA MJINI

CHANZO CHA KUTIMIA KWA NDOTO ZA WATU WENGI