Don't let them fool you even educate you. we got mind of our own.
Black Consciousness Movement
Nearby schools & colleges
Moshi
Dar es Salaam
Langasani
Kibo Road
Sokoine Road
Philips, Arusha
Moshi, Old Moshi
, Old Moshi
6467
Kikarara, Kilimanjaro
Moshi Kilimanjaro, Old Moshi
Comments
That's why they killed Colonel
M Gadaffi
He didn't want to sell Afrika ✊
In her essay, “Mammies, Matriarchs, and Other Controlling Images,” Patricia Hill Collins (1997) presented five stereotypical personas of the African American woman. She wrote, “Portraying African American women as stereotypical mammies, matriarch, welfare recipients, and hot mommas has been essential to the political economy of domination fostering Black women’s oppression” . A Mammy is “a faithful, obedient, domestic servant” who by loving, nurturing, and caring for the White master’s children better than she does her own “symbolizes the dominant group’s perceptions of the ideal Black female relationship to elite White male power.”. The Matriarch, in contrast to the Mammy which presents an ideal image of Black motherhood for Whites, this woman is an uncaring, unloving, and uninvolved mother to her own children. In essence, the Matriarch is a “bad mother” who has failed her family responsibilities and has contributed to numerous social ills within her family and community
Black Consciousness Movement {BCM} ni taasisi iliyoanzishwa kwa malengo ya kuenzi,kusimamia na kutun
Black Consciousness Movement {BCM} ni taasisi iliyoanzishwa kwa malengo ya kuenzi,kusimamia na kutunza historia ya harakati za watu weusi. Pia kuelimisha kizazi kipya kuhusu harakati hizo zilizofanyika miaka ya zamani na nyingine ambazo zinafanyika hadi sasa. Bila kusahau utamaduni wa kiafrika ambao umekua kivutio kikubwa kwa wageni kutoka nchi za mbali na kutufanya waafrika kuwa wa pekee katika ulimwengu wa leo.
Operating as usual
Listen my president African freedom does not stop with political independence we have to cross borders.
Napata hisia kali nikiwakumbuka watu k**a MARCUS GARVEY/ STIVE BANTU BIKO/ MALIK EL SHABAZ/ RAS TAFARI MAKONENI/ ROBERT NESTA/ LUCK PHILIP/ KWAME NKURUMA/ JULIAS KAMBARAGE/ NELSON MANDELA/ CHE GUEVARA/ na wengine wengi Mungu atawalipa wale mliofia kwenye ukombozi wa mtu mweusi.

Sing Along
When they sing
Sing like only we can
Bring the house down
Welcome angels
With sweet melodic sounds
Angelic voices
Oh we can sing
When they sing
Sing praises
Honour Africa’s finest
Sons and daughters
Heroes and sheroes
When they sing
Sing praises
Martin and Malcom
Lumumba and Mandela
Rosa and Ruby
Oh we can sing
Hum melodies like angels
Break into song
In celebration
In sadness
When they sing
Sing praises
Mugabe and Sobukwe
Sankara and Biko
When they cry freedom
When they sing with tears
Tears of joy
We shall overcome
When they bring the house down
Sing about us
Kingdoms and empires
Kings and queens
Brothers and sisters
When they sing
Sing Nkos’Sikelela iAfrika
Asking God to bless Africa
Her fruits and her children
Sing cheers
Clap hands to the beat
Shake hands to a rhythm
Sisters who made a difference
Brothers who died for the cause
When they sing
Praises and honour
Odes to icons
When they sing
Will you be amongst them
Will they mention your name
Will it appear in the chorus
Stokely and Medger
Angela and Kathleen
Garvey and Nkrumah
A blessed people
Oh we can sing
When they sing
Listen to the harmony
Sweet melodic voices
Walk hand in hand with the beat
Walk hand in hand like brothers and sisters
My cry for my people
Take your place in the choir
When they sing
Sing a song for unity
Will you be there!
JE! Unakumbuka chochote kuhusu Ernesto Rafael Guevara de la Serna
Ernesto Rafael Guevara de la Serna au Che Guevara (14. Mei 1928 Rosario, Argentina; † 9. Oktoba 1967 La Higuera, Bolivia) alikuwa mtabibu mzaliwa wa Argentina aliyekuwa mfuasi wa itikadi za Kisoshalisti za Karl Marx. Guevara anajulikana zaidi kwa harakati zake za kimapinduzi dhidi ya tawala za kibepari huko Amerika ya Kusini na Afrika.
Wakati akisomea utabibu, Che Guevara alizunguka katika nchi mbalimbali za Marekani ya Kusini ambapo alijionea mwenyewe umasikini uliokithiri. Alisikitishwa sana na maisha ya ufukara waliokuwa wakiishi wananchi wengi huku wachache wakiwa wanamiliki mali za nchi hizo. Alifikiria jinsi ya kuweza kubadili hali hii na kuamua kuwa njia pekee ya kuondoa umasikini na ukandamizaji ni mapinduzi. Aliamua kusoma kwa undani falsafa za Karl Marx na baada ya hapo alijihusisha na harakati za kisoshalisti nchini Guatemala chini ya rais Jacobo Arbenzi Guzmán.
Mwisho mwa miaka ya 1950, Guevara aliungana na Fidel Castro aliyekuwa akiongoza kundi la kijeshi lililotwaa madaraka kwa nguvu nchini Kuba mwaka 1959. Guevara alikuwa mmoja wa viongozi wa serikali mpya ya Kuba. Katika kipindi hiki, Guevara aliandika vitabu na makala mbalimbali kuhusu nadharia na vitendo vya vita vya msituni kwa nia ya kuondoa madarakani tawala za kibepari na kibeberu.
Mwaka 1965 Guevara aliondoka nchini Cuba akielekea Kongo-Kinshasa (hivi sasa inaitwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo) kwa siri kusaidia harakati za kuondoa utawala uliokuwa ukiongozwa na vibaraka wa mataifa ya Magharibi chini ya Mobutu Sese Seko baada ya kuuawa kwa Patrice Lumumba. Moja ya watu ambao walifanya kazi na Guevara alipokuwa nchini Kongo ni aliyekuwa baadaya rais wa nchi hiyo, Laurent Kabila.
Guevara aliondoka nchini Congo na kuelekea Bolivia ambapo alik**atwa mwaka 1967 na jeshi la Bolivia likishirikiana na majasusi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA). Baada ya kuk**atwa kwake aliuawa kinyama. Aliwaambia wanajeshi hao "Najua mmekuja kuniua fanyeni mlilolijia sababu mtakachokiua hapa ni mwili tu ila nafsi itaishi milele ni bora kufa katika fikra zilizo hai kuliko kuishi katika fikra zilizokufa" Baada ya kusema maneno hayo wanajeshi wale walijiskia vibaya wakamminia risasi.
Baada ya kifo chake, Guevara alichukuliwa k**a nguzo ya vuguvugu la kimapinduzi ya kishoshalisti duniani. Picha yake na kofia aina ya Beret aliyopenda kuivaa vimekuwa k**a alama za mapinduzi ya mrengo wa kushoto duniani.
Black Consciousness Movement
Black Consciousness Movement Black Consciousness Movement {BCM} ni taasisi iliyoanzishwa kwa malengo ya kuenzi,kusimamia na kutunza historia ya harakati za watu weusi.

For all our brothers in the world
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
2228
Moshi
2550
Hai
Moshi
Pata mafunzo ya namna ya kufanikiwa, Ujasiriamali,Biashara zenye mtaji mdogo,Namna ya kuanzisha bias
Moshi
MTAKUJA SECONDARY SCHOOL is found at Kilimanjaro region in Moshi district... This School is usin
Lema Road
Moshi, P.OBOX7826
Academic Core Values Collaborative Communication Creative Thinking Creative Problem Solving Global C
Msaranga
Moshi
New life academy ni shule inayopokea na kusajili watoto wadogo wenye umri wa mwaka 1 mpaka 4. Shule
Brothers' Centre Street, Soweto P. O. Box 166
Moshi
At La Mennais V.T.C we educate disadvantaged youths in order to equip them with the needed skills to