07/12/2022
Moshi is a town in northern Tanzania at the foot of Mount Kilimanjaro, the highest mountain in Africa. Moshi is known for its coffee farms and has busy, colorful streets where there is always something interesting to discover and people to meet.
https://t.co/2rAnp8UsU1
07/12/2022
It's now easier to sign up for Kwetu MOSHI's updates.
It's now easier to sign up for Kwetu MOSHI's updates.
02/03/2021
Nani wa kujua Hii Picha imepigwa wakati Gani!?
27/02/2021
Kesho ni mwendo wa kukimbia tu! Nani anataka twende live?
25/02/2021
Unatupata ukiwa wapi kwa sasa!?
14/02/2021
Haya Tumuunge mkono mwenzetu. Yupo Arusha kwa mawasiliano yake nicheki Inbox!
14/02/2021
Mnaonitumia matangazo inbox ili niwapostie wekeni details zote msifanye mambo nusu nusu!! Offer ni wiki hii tu!
02/01/2021
Kesho tunaanza kutawanyika kila kona ya Dunia kutokea Moshi. Lengo ni moja tu.. Kukusanya pesa zote na kuzirudisha MOSHI!!
24/08/2020
Dondosha msemo uliouona umeandikwa kwenye Gari ukakufurahisha. Twende kazi!!
22/08/2020
Kwetu Moshi, kijiji cha URU. Wewe kwenu wapi!?
13/08/2020
Kwa wana Moshi Ije Pullover au T-shirt?
04/08/2020
PICHANI NI BILL GATES alipoitmbelea kituo cha utafiti wa kinga ya Malaria kilichopo Moshi V kata ya Mabogini. PAMVERC ilikua Jul 25 2014.
25/07/2020
Kwetu MOSHI
Kwa wale wanaoniuliza group la wanaMoshi tukutane hapa. Ni jipya kabisa. Share.
https://chat.whatsapp.com/H01ld6NfMF8IfR8N2WHnXX
Kwetu MOSHI
WhatsApp Group Invite
07/06/2020
JINSI YA KUNZISHA BIASHARA YENYE FAIDA: mbinu za Kupata wazo zuri la biashara.
KWA WALE WANAOPENDA BIASHARA HII NI YAKWENU KUJIFUNZA..
https://www.youtube.com/watch?v=CoLVQKmNtB4
JINSI YA KUNZISHA BIASHARA YENYE FAIDA: mbinu za Kupata wazo zuri la biashara.
JINSI YA KUNZA BIASHARA YENYE FAIDA: mbinu za Kupata wazo zuri la biashara. Ni malengo ya watu wengi kuanzisha biashara, ila ni wachache wanaopata mawazo sah...
02/06/2020
Kwangu mimi asubuhi ni ule muda ambao ninaamka kuanza siku mpya, haijalishi ni saa nane mcha au ni saa tisa usiku. Vijana wengi tunapoteza muda ktk mambo yasiyo na msingi wala maana ktk maisha yetu. K**a nilivyokwambia juzi muda unaoupoteza leo utaukumbuka siku flan na machozi yatakutoka.Leo nitakupa baadhi ya hayo mambo ili uweze kuyaepuka na kwenda ktk njia sahihi.
_
Unashindwa kufanya maamuzi k**a mtu huru kwa hofu ya watu watakuonaje, hili ni jambo baya sana na limewafelisha wengi, unashindwa kumwambia mtu HAPANA sababu unahofu atakuchukuliaje yaan uko tayar kuharibu maisha yako ili mtu mwingine afurahi.
Unakuta mtu anakushawishi unywe pombe,uvute sigara na ww kwasababu n mtu wako wa karibu unaamua kufanya ili aridhike lkn unasahau unamridhisha yeye kwa wewe kujiua. Lolote unaloona lina maana ktk maisha yako FANYA na usijali mashabik watasemaje ishi maisha yako ktk njia inayompendeza Mungu na inayokupendeza wewe mwenyewe na atakayekuchukia wala usisumbuke nay jua huyo ndo Yule shetani aliyetupwa duniani.
_
Ipo tofauti kubwa kati ya kusoma na kuelimika, wengi wanapoteza muda kusoma ila ni wachache wanautumia muda wao vizuri kuelimika. Kusoma n kupata cheti na kuelimika n kupata maarifa hata bila ya cheti. Wengi wanaamini kupata chet ndo mpango mzma hvyo wanaamua kukaa darasan miaka na miaka ili tu na yy awe na GAMBA Akina sisi tumkome.
_
Kuwa na rafiki asiye na maana inakupotezea muda na inakuchelewesha kufika sehem uliyopanga. Wapo marafik ambao hawana cha maana yeye akikuchek n raman mbovmbov tu anakupa. Jim Rohn aliwahi kusema “you’re the average of the five people spend the most time with,” Hivyo kuwa makini sana na watu wako wa karibu. Nakwambia ukiona ww ndo kichwa ktk group yaan ww ndo wanakuaminia basi jua upo na vilaza wa hatari na anza kubadilisha marafiki ili ukapate challenge mpya kutoka kwa watu makini kma ww. Usisahau ufupi au refu wako inategemea unatembea na nani.
Mtaje rafiki yako mmoja ajue unathamini uwepo wake kwako.
🇹🇿
01/06/2020
ASANTENI SANA KWA WALE WOTE MNAOENDELEA KULIKE HII PAGE. NILIKUA KIMYA KWA MUDA ILA NIMERUDI NA MAMBO MAZUURI. USIKOSE.
30/05/2020
bit.ly/2AnazJm
Hizi ni mbinu za kufanikiwa haraka ktk biashara. Gusa link hapo juu.
17/11/2019
Msimu wa kurudi nyumbani ndo huoo umewadia. Wakumbushe marafiki zako wawili.
13/08/2019
Ni nani akikupigia simu ukiwa na mpenzi wako huwezi kupokea kwa gharama yeyote..??
Mimi simu ya Msofe sipokei kamwe! 😂 😂 😂
12/08/2019
Ukiwa k**a mpenda maendeleo wa Moshi unadhani nini kinainyima Moshi fursa ya kuwa jiji?
09/08/2019
UTALII WA NDANI.
Tafiti zinasema huyu ndo mnyama anayengoza kwa kuuwa wawindaji katika mapori ya Africa na huwa hang'ati, yeye atakugonga na kichwa, kukuchota na pembe au pua. Inasemekana akikugonga ni sawa na mtu aliyegongwa na gari ikiwa kwenye speed 50.
Pia kutokana na tabia yake hiyo ya kuwaadabisha wanaokatiza kwenye anga yake imepelekea kupewa majina k**a Black death au widow maker.
PICHA
Anaonekana akiwa ametoka kuoga kwenye uji wa tope, huwa wanafanya hivi kushusha joto la mwili k**a ww unavyooga au kuwasha AC. Pia hufanya hivi kujilinda na vijidudu virukavyo k**a nzi, mbung'o pamoja mbu (ukiangalia juu ya kichwa utaona wengi wanapaa paa apo wameshindwa kutua) vile vile wanafanya hivi kuuwa viroboto na kupe wanaowapata wakiwa kwenye nyasi ndefu.
nicheki inbox kwa booking
08/08/2019
Huu ni mzunguko wa mwenge barabara ya Moshi Arusha. Mwenge umetolewa na sasa unajengwa mlima Kilimanjaro. Usisahau kupiga picha hapa ukiwa Mo town.!
08/08/2019
Moshi yetu kutoka mashambani
11/05/2019
Wanamoshi katika mstari kumuaga Billionaire Mengi.
07/05/2018
Nani anajua jina la Huyu nyoka?
12/08/2017
Kwa mara nyingine tena Halmashauri ya Manispaa ya Moshi imeshika nafasi ya kwanza katika mashindano ya usafi wa mazingira kwa Halmashauri za manispaa na majiji nchini. Tangu kuanzishwa kwa mashindano hayo Moshi imekua ikishika nafasi ya kwanza miaka mingi mfululizo isipokua mwaka jana ambapo Manispaa ya Iringa iliongoza na Moshi kushika nafasi ya pili.
Hii ni kumaanisha kuwa manispaa ya Moshi ndiyo eneo safi zaidi kuliko eneo lolote la Tanzania bara. Licha ya kuongoza nchini, Manispaa ya Moshi imewahi kuongoza kwa usafi wa mazingira kati ya manispaa na majiji yote Afrika Mashariki mara kadhaa.
Pongezi Kwa mstahiki Meya Ndug. Mboya na Mbunge Japhary Michael Muendelee na Moyo Huo huo.