Nuru DayCare

Nuru DayCare

Tunatoa huduma ya kulea watoto wenye umri kwanzia miezi mitatu hadi miaka miwili

[12/08/15]   Kituo hiki kiliundwa baada ya utafiti kufanyika, nakuona uhitaji wa huduma ya malezi kwa wazazi wenye watoto wadogo chini ya umri wa miaka mitatu, kwa mda mrefu huduma hii imekua ikitolewa na walezi tuliowazoea kama yaya;
nasasa kupitia Nuru DayCare tunakuletea huduma mpya inayozingatia afya bora, maadili mema na malezi .
Ili kufanikisha dhima yetu Tumeandaa timu ya watoa huduma wenye ujuzi wa kitaalamu juu ya malezi ya watoto
na wataohakikisha ubaadae wa mwanao upo katika msingi bora

Location

Telephone

Address


3010, Moshi, Tanzania
Moshi
+255
Other Elementary Schools in Moshi (show all)
The Best hope preparatory centre The Best hope preparatory centre
P.o.box 3060
Moshi

The centre of educating & promoting child talent,also helping those who didn't get secondary education.

Futurehope kids Futurehope kids
Njoro
Moshi

Future hope is a Tanzanian organization which provide free education to kids aged 2.5yrs to 6yrs old and whose family income is less than 1$ per day