Forest Industries Training Institute - FITI

Forest Industries Training Institute - FITI

Comments

NAOMBA KUULIZA NINA ENEO LA HEKA 4 LINA CHEM CHEM ZA MAJI YAANI LINA ASILI YA MAJI, LIPO UKANDA WA PWANI, JE NI AINA IPI YA MITI NAFAA KUPANDA?
sarah
hello
Nipo mapanda iringa nahitaji kazi
forest is one among tourist attraction in Tanzania so we are able to take our forest to be secured and safe
Majbu ya application yanatoka lini?
Majibu ya kujiunga na coz Yaan toka muda gani
Hello

We offer Technician certificate in Forest Industries Technology and various short courses including Timber Grading and Inspection,Logging,Woodworking and Sawdoctoring.

Also selling timber, beehives and furnitures.

Operating as usual

04/06/2021

Call of Application for academic year 2021/2022

Call of Application for academic year 2021/2022

Photos from Forest Industries Training Institute - FITI's post 04/06/2021

FITI Main Campus,Viwanda Road,Njoro Ward,Moshi Municipality,Kilimanjaro Region.
Karibuni

FITI | Home 30/05/2021

FITI | Home

Call for applications for academic year 2021/2021.
Please visit our website:www.fiti.ac.tz for more information

FITI | Home some page description here

30/05/2021

Call for applications for academic year 2021/2022

Call for applications for academic year 2021/2022

21/06/2020

Nafasi za kujiunga na masomo..

18/06/2020

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO KWA MWAKA WA MASOMO 2020/2021

26/05/2020

TANGAZO

14/05/2020

TANGAZO
Kwa kufuata kalenda ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi - NACTE ya mwaka wa masomo 2019/20, Chuo kilipaswa kuanza kupokea maombi ya nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2020/21 tarehe 15/05/2020.
Baraza limeahirisha zoezi hilo mpaka litakapotangaza tena kutokana na maambukuzi ya ugonjwa wa COVID-19.
Asanteni.

12/04/2020

Tunawatakia pasaka njema..yenye furaha na amani...

07/04/2020

Ujasiri wako ulileta ushindi,tutazidi kukuenzi shujaa wetu.

fiti.ac.tz 31/03/2020

FITI | Home

Wanafunzi wote mnajulishwa kuwa matokeo ya Semester ya kwanza mwaka wa masomo 2019/2020 yanapatikana kwenye tovuti ya Chuo(www.fiti.ac.tz)
Tarehe ya kufanya mitihani ya marudio(Supplementary) itatangazwa badae.
Tunawatakia kila jema.

fiti.ac.tz some page description here

08/03/2020

Hongereni wanawake wa chuo cha Viwanda vya misitu FITI Moshi kwa kusherekea siku yenu.

25/12/2019

Chuo kinawatakia Christmas njema na mwaka 2020 wenye mafanikio..

12/12/2019

Mkuu wa chuo cha Viwanda vya misitu FITI Moshi anawashukuru wadau wote walioshiriki nasi katika mahafali ya 22 ya chuo chetu.

22/10/2019

Mfuko wa misitu Tanzania unatangaza nafasi 4 za ufadhili kwa wanafunzi 2 wa Stashahada na 2 wa Astashahada ya Technolojia ya viwanda vya misitu kwa mwaka wa masomo 2019/2020. Kwa maelezo kuhusu vigezo na muda wa kutuma maombi soma kwenye mbao za matangazo -FITI

21/10/2019

Ratiba ya masomo Semester ya I wiki ya I

05/10/2019

Majina ya Applicants waliochaguliwa kujiunga na Chuo kozi ya Odinary diploma mwaka wa masomo 2019/20

05/10/2019

Majina ya Applicants waliochaguliwa kujiunga na Basic technician certificate mwaka wa masomo 2019/20.

04/10/2019

Ratiba ya mitihani ya marudio(Supplementary) Semester ya 2 ni k**a inavyoonekana hapo chini. Wale wenye Supplementary mnakumbushwa kulipia ada ya mitihani hiyo(20,000/= kwa kila somo) kabla ya kuanza mitihani hiyo, Kinyume na hapo hutoruhusiwa kufanya mtihani.

[09/30/19]   Form ya maombi ya kwa ajili ya hostel inapatikana kupitia tovuti ya Chuo. Mwisho wa kupokea fomu hizo ni tarehe 03/10/2019. Maelekezo mengine yapo kwenye form hiyo. Tafadhali zingatia muda ili kuepuka usumbufu utakaojitokeza.

fiti.ac.tz 13/09/2019

FITI | Home

Matokeo ya Semester ya 2 mwaka wa masomo 2018/19, tarehe za kufanya mitihani ya marudio (supplementary), usajili na tarehe ya kufungua chuo inapatikana kupitia tovuti ya Chuo. Kwa taarifa zaidi tembelea www.fiti.ac.tz

fiti.ac.tz some page description here

19/08/2019

Mkuu wa chuo kwa niaba ya bodi ya ushauri ya chuo pamoja na wakufunzi wote anawatakia wanachuo wote kila la heri katika mitahani yao inayoanza Leo tarehe 19_23/8/2019 mkafanye vizuri na hatimaye kufaulu vyema.

#Tutunze na kuijali misitu yetu#

04/08/2019

Mitihani ya semester ya 2 mwaka wa masomo 2018/19 itaanza 19-23/08/2019. Ratiba ni k**a inavyoonekana hapo chini.
Wanafunzi wote wanaaswa kupitia sheria za mitihani ili kuepuka usumbufu utakaojitokeza wakati wa mitihani.
Chuo kinawatakia wanafunzi wote maandalizi mema.

22/05/2019

Katika kutekeleza azma ya "Tanzania ya kijani" wanafunzi wetu wa certificate one na diploma wakishirikiana na Taasisi ya utafiti wa Misitu TAFORI - Moshi wameshiriki zoezi la upandaji miti katika msitu wa hifadhi wa Kahe. Watanzania wote tupande miti kwa ajili yetu na vizazi vijavyo.

01/05/2019

Chuo kinawatakia watu wote Mei mosi njema 2019, tuchape kazi kwa maendeleo yetu na Taifa kwa ujumla.## hapa kazi tu ##

30/04/2019

Chuo kinazidi kuhimiza upandaji miti ili kupunguza mabadiliko ya tabia ya nchi yaliyojitokeza hivi karibuni, pia kinawaalika kununua miche bora inayopatika katika bustani ya chuo. Tunza mazingira nayo yakutunze.

29/04/2019

Katika kutekeleza sera ya viwanda hapa nchini Leo Forest Development Trust (FDT) wameandaa maonyesho ya tekinolojia mbali mbali za uchakataji wa mazao ya misitu na kualika wadau mbali mbali k**a Mkurugenzi wa idara ya misitu na nyuki, Wakala wa huduma za misitu TFS, Wakulima na wachakataji wa mazao ya misitu kutoka maeneo mbali mbali, chuo cha Viwanda Vya Misitu kilipata nafasi ya kushiriki na kuelezea kuhusu machine ya slide tech ambapo chuo ndo mdau mkuu wa hiyo machine hapa nchini sambamba na Hilo chuo kilielezea kuhusu mafunzo yatolewao hapa chuoni na kualika watanzania wenye sifa kujiunga na mafunzo hayo. KARIBUNI SANA FITI. TUTUNZE NA KUILINDA MISITU YETU.

27/04/2019

Chuo kinaendelea kuboresha mitaala yake ili wahitimu wanaozalishwa waweze kushindana katika soko la ajira(kujiajiri ana kuajiriwa). Pichani ni wadau mbalimbali kutoka Idara ya misitu na nyuki, TFS, TAFORI,SHIVIMITA, SAFIA,NACTE, Chuo cha misitu- FTI,Mkuu wa chuo mstaafu,Wawakilishi wa wanafunzi wanaosoma na waliohitimu pamoja na Wakufunzi wa chuo wakiwa katika warsha ya kuboresha mtaala wa Certificate na Diploma ya Technolojia ya viwanda vya misitu katika ukumbi wa mikutano uliopo Chuo cha VETA -Moshi iliyofanyika April 25,2019.

13/04/2019

Ratiba ya masomo semester 2,kuanzia tarehe 15-19 Aprili 2019

10/04/2019

New supplementary examinations time table revised on 10/04/2019

[04/08/19]   Hello, mnajulishwa kuwa matokeo ya mitihani semester ya 1 March 2019 yanapatikana kupitia tovuti ya chuo(www.fiti.ac.tz).

Kwa wale wanafunzi wote watakaorudia mitihani(Supplementary) wataanza mitihani hiyo tarehe 10-12/04/2019 hivyo wanatakiwa kulipia ada ya supplimentary (sh.20,000/= kwa kila somo) kabla hawajaanza mitihani hiyo.

15/03/2019

Wanafunzi wa Astashahada na Stashahada wakifanya mitihani ya muhula wa kwanza(first semester examination) March 2019

18/12/2018

Chuo kinatoa mafunzo ya muda mfupi (short course) na muda mrefu (long course) ya utengenezaji wa misumeno (Saw doctoring). Mafunzo hayo ni muhimu sana kwa viwanda vyote vya uchakataji magogo(Sawmill) kwani wataalamu hao ni wachache nchini. Picha chini ni baadhi ya wanafunzi wa kozi ya muda mrefu wakiongozwa na mwalimu wao(baadhi ya picha) katika mafunzo kwa vitendo ya utengenezaji wa misumeno ya duara (Circular saw doctoring) hapa chuoni.

03/12/2018

Mkurugenzi wa misitu na nyuki Dr. Ezekiel Mwakalukwa amewapongeza wahitimu wa Astashahada na stashahada ya tekinolojia ya viwanda vya misitu katika mahafali ya 21 ya chuo cha Viwanda vya misitu-FITI.
Pia amewaasa wahitimu kufanya kazi kwa weledi,ufanisi,uzalendo,maadili na nidhamu kwa manufaa yao binafsi,familia na Taifa kwa ujumla. Amesema kuwa dhamira ya Wizara ni kutatua changamoto zilizopo kwa maendeleo ya chuo na kuleta mchango mkubwa katika Tanzania ya viwanda.
Pichani aliyekaa mbele Joho la rangi nyeusi na nyekundu ni Mkurugenzi wa misitu na nyuki, kulia kwake ni Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya chuo na kushoto kwake ni Kaimu Mkuu wa chuo, Nyuma ni wahitimu wa Stashahada (1) Astashahada (2) na Wakufunzi (3)

Location

Products

Basic Technician Certificate (NTA 4), Technician Certificate (NTA 5) and Ordinary Diploma (NTA 6) in Forest Industries, short courses in Timber grading, Logging, furniture making, sawmill management, Chainsaw maintenance and others. We sell beehives and timber produced from Pinus patula, Cupressus lustanica and Grivellia robusta

Telephone

Address


Forest Industries Training Institute, Box 1925, Moshi
Moshi
+255

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30
Other Moshi schools & colleges (show all)
International School Moshi Tanzania International School Moshi Tanzania
Lema Road
Moshi, PO BOX 733

UWC East Africa is the newest member of the UWC movement. It has two boarding campuses in Moshi and Arusha in northern Tanzania. The school was established in 1969 as International School Moshi and became a UWC in 2019.

Hope International School Hope International School
Kibosho Road
Moshi

Hope International School is a Cambridge International accredited, affordable, high quality, English speaking Christian school catering to Internationals and locals in Moshi, TZ.

TEMA Secondary School TEMA Secondary School
TEMA SECONDARY SCHOOL
Moshi, 25209

Tema secondary official page

GraphoGame Tanzania GraphoGame Tanzania
[email protected]
Moshi, 8957 KILIMANJARO

Increase awareness of GraphoGame, a game based, child friendly learning methodology helping children learn to read more effectively in Tanzania.

Agape Lutheran Junior Seminary Agape Lutheran Junior Seminary
Mamba, Mkolowony
Moshi

“Surely, I have a delightful inheritance.”

Minja High and Technical School Minja High and Technical School
MINJA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL
Moshi, P.O.BOX 7045 UGWENO

Minja High and Technical School is one of the oldest secondary School in Tanzania.The School is located at the top of Pare mountain Ugweno -Mwanga -Kilimanjaro- Tanzania. Minja high school

Mkuu High school Mkuu High school
P.o.Box 145
Moshi, +255

TLSB Kilimanjaro Regional Library TLSB Kilimanjaro Regional Library
Kibo Road
Moshi, 863 MOSHI TANZANIA

To share all opportunities, challenges, donation belong to library

MCF Paradise Academy MCF Paradise Academy
Moshi
Moshi

MCF Paradise Primary Academy (PPA) is a school focused on the education and edification of the whole child.

Kingosere Adventure Kingosere Adventure
Majengo
Moshi

We welcomes volunteers who are interested to work with us in schools and environment activities in our Area Moshi Kilimanjaro Tanzania

Tanzania Police School - Moshi Tanzania Police School - Moshi
P.O. Box 3024
Moshi

Moshi Police Academy is one among the Tanzania Police Training Academy under NACTE