Mudio Islamic English Medium Primary School

Mudio Islamic English Medium Primary School

Comments

Shule hii matangazo hayajajitosheleza.

ipo wapi, Ada bei gani?

KARIBU KATIKA SHULE ITAKAYOMLEA MTOTO WAKO KATIKA MALEZI YA KIISLAMU NA KUFANYA VIZURI PIA KITAALUMA

Operating as usual

30/08/2020

KARIBU SANA MUDIO ISLAMIC SCHOOLS KWA TAALUMA BORA NA MALEZI BORA YA MWANAO

27/06/2020

KARIBU SANA KWA TAALUMA NZURI YA MWANAO

02/03/2020

Moja ya lengo letu ni kukuhakikishia ufaulu mzuri wa mtoto wako katika taaluma yake .
MLETE MWANAO MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL

27/02/2020

KARIBU MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL

SHULE IPO KILIMANJARO, HAI

KWA MALEZI BORA NA ELIMU BORA KWA MWANAO TUNAKUKARIBISHA NA KUHAKIKISHA JUKUMU AMBALO KWAMBA UMETUPATIA TUNALISIMAMIA

17/02/2020

MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL
NI KITUO KINACHOHITAJI KUHAKIKISHA KINA MLEA MTOTO WAKO KATIKA MAZINGIRA MAZURI NA MALEZI AMBAYO KWAMBA YATAMFANYA KWA KIASI FLANI AJISIKIE BADO YUKO NYUMBANI IJAPOKUWA YUPO SHULE

HILI NI KUTOKANA NA KUMUWEKEA SEHEMU ZA KUPUMZIKA NA HATA KUCHEZA MICHEZO AMBAYO IKO KATIKA TARATIBU ZA KIMALEZI

KARIBU MLETE MWANAO KATIKA KITUO SAHIHI SI BORA KITUO

SHULE INAPATIKANA KILIMANJARO, WILAYA YA HAI

10/02/2020

ASSALAM ALAIKUM WARAMATULLAH WABARAKATU

KARIBU MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL

MIONGONI MWA LENGO LA SHULE NI KUHAKIKISHA MSINGI MZURI WA ELIMU NA MALEZI MAZURI KWA MTOTO WAKO

MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL WAPO WALEZI AMBAO KWAMBA WAKO TAYARI KUHAKIKISHA TAALUMA YA MTOTO WAKO INAKAA VIZURI.

KARIBU SANA

06/02/2020

KARIBU MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL

NI SHULE AMBAYO KWAMBA INAHITAJI NA IPO KWA KUHAKIKISHA MSINGI MZURI WA MTOTO WAKO KATIKA UKUAJI WAKE NA MALEZI YAKE

WASWAHILI WANASEMA

"SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI"

KWANI WAKATI WA KUMUANDAA MTOTO WAKO NA KUHAKIKISHA MALEZI MAZURI NDOO HUU

MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL IKO TAYARI KWA AJILI YA KUMKUNJA MTOTO WAKO ANGALI MBICHI KWA KUZINGATIA MISINGI YA ALLAH NA MAFUNDISHO YA MTUME صلى الله عليه وعلى وسلم

KARIBU SANA

04/02/2020

Ni shule gani itakulelea mtoto wako katika misingi ya dini yake

Je hujapata tuu kila unapompeleka unamuona yuko vile vile
karibu

MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL

KWA MAWASILIANO 0769 955 569

03/02/2020

Umuhimu wa shule ni kumlea mtoto wako katika malezi ya dini malezi ya kujitambua.
Kwanini wewe mzazi uwe bize ikikose elimu yako.

Na mwanao unamuandalia mazingira gani ukitoka usiku ukirudi usiku maendeleo ya mtoto wako huyajui.

Hujachelewa mlete mtoto wako

MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL

Hakika Kuna walezi wa kukulea watoto wako katika hali zote

02/02/2020

MLETE MWANAO KWA MALEZI BORA NA ELIMU BORA

02/02/2020

Share post hii kuwafahamisha watu kuhusu page hii

02/02/2020

KARIBU MUDIO ISLAMIC ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL

KWA MALEZI BORA YA MTOTO WAKO
KWA MSINGI BORA WA ELIMU KWA MTOTO WAKO

Want your school to be the top-listed School/college in Moshi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Kilimanjaro, Hai
Moshi
HAIS.L.P8387

Opening Hours

Monday 06:00 - 21:30
Tuesday 06:00 - 21:30
Wednesday 06:30 - 21:30
Thursday 06:00 - 21:30
Friday 06:00 - 21:30
Saturday 06:00 - 16:00
Other Schools in Moshi (show all)
Innotaxi Driving SCHOOl Innotaxi Driving SCHOOl
Vijana
Moshi

Mafunzo Bora ya udereva, leseni, bima na Latra

Study Methodology Study Methodology
A 1104 Kasturi Voyage , Behind Mkt Yard
Moshi, 412105

Study Methodology

NSOO Secondary School NSOO Secondary School
Kibosho Mashariki
Moshi, P.O.BOX8053,MOSHI

The school is owned by Catholic Diocese of Moshi, its 13km from Moshi town to the way going Mweka Wi

Active Kids Daycare & Nursery School Active Kids Daycare & Nursery School
Bomang'ombe
Moshi, 25312

Ni shule iliyopo CCM Bomang'ombe inatoa huduma ya Elimu na malezi kwa watoto

Moshi Technical Secondary School Moshi Technical Secondary School
Katanini
Moshi, 25115

This is an Official Facebook Account for Moshi Technical Secondary School Located in Moshi-Tanzania

Timothy primary school Timothy primary school
Newland
Moshi

We strive for purity intelligence and discipline

Saint Ursula Primary School Saint Ursula Primary School
Mweka
Moshi

Tunatoa Elimu bora kwa shule ya msingi, kuanzia Darasa la Awali hadi Darasa la saba, Bweni na kutwa

Bright Future School Bright Future School
Moshi
Moshi

Faraja Seminary Faraja Seminary
Mabogini
Moshi, POBOX.3064

Academic Excellence Spiritual Awareness Self Discipline

Highbrow OPEN School Highbrow OPEN School
P. O BOX 8507
Moshi, 25104

Ni shule Bora kwa watahiniwa wa Kujitegemea K**a; - Resitters & QT (Masomo ya sekondari kwa miaka 2).

Nronga Secondary School Nronga Secondary School
P. O. BOX 1667 MOSHI
Moshi, NIL

NRONGA SECONDARY SCHOOL