Masauda Education Centre

Masauda Education Centre

Comments

Kituo cha ELIMU MASAUDA ILIYOPO MBULU MJINI MTAA WA SANU GAWA KAMA ILIVYOKUWA IKIFANYA VIZURI KWENYE SECTA YA ELIMU MIAKA ILIYOPITA SASA INAWATAARIFU KUWA MWAKA 2020 TUMEJIPANGA KUFANYA MAGEUZI MAKUBWA YA KIELIMU ILI KULETA MAENDEKEO KWA JAMII.

COURSE ZINAZOFUNDISHWA NI KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA Cha SITA KWA MICHEPUO IFUATAYO

HKL, HGK HGL NA HGE

PIA WANAFUNZI wanaorudia mitihani WA KIDATO CHA NNE TUNAFUNDISHA KWA MASOMO YOTE YAANI SAYANSI (science)
NA SANAA(arts)

PIA KUNA ELIMU YA SEKONDARI KWA MWAKA MMOJA YAANI QT

LAKINI PIA KUNA ENGLISH COURSE kwa muda wa miezi mitatu utaweza kuongea kiingereza kama mzungu.

Ewe mzazi/mlezi mlete mwanao masauda education centre kwa ELIMU bora.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba
0685-091298, 0742-396354,
0786-765091, 0624-201885,
[email protected]

Kituo kipo Mbulu mjini, Sanu lango la upande wa juu la NTC (Nursing Training Collage) zamani MCH (nyuma ya hospitali ya Wilaya) karibu na kanisa la Sabato

Tunawawezesha wanafunzi kustahamili changamoto za biashara huria na soko huria katika utendaji.

Operating as usual

09/10/2013

WAMEPENDEZA SANA NA WANAELEWA SANA MASOMO YA DARASANI

09/10/2013

PRE-FORM ONE STUDENTS DONGOBESH SUB-CENTRE

09/10/2013

PRE-FORM ONE STUDENTS MASAUDA DONGOBESH SUB-CENTRE

09/10/2013

Timeline Photos

[03/25/13]   KARIBU MASAUDA EDUCATION CENTRE

Location

Category