Green Hill Institute-Mbeya

Green Hill Institute-Mbeya

Comments

Karibun wote kwenye elimu tupanue
Dogo zakalia uko wap saiz
Love among the people is what our creator want
hadisi
OBAMA
utam
kalibunisana watuwote ukitaka kunipata coll me 0743658501

Green Hill Insititute is a legal recognised organization focused on providing in class training, E-learning and out reach programmes to the public.

We Offer the following Program; HOTEL MANAGEMENT, TOURISM STUDIES, TOUR GUARDING OPERATIONS, BUSINESS OPERATIONS AND MANAGEMENT, MATERIAL MANAGEMENT, SECRETARIAL DUTIES, INFORMATION TECHNOLOGY (IT), COMPUTER STUDIES, EVENT MANAGEMENT AND DECORATIONS

Operating as usual

[03/28/19]   HABARI NDUGU WATANZANIA WENZANGU NINAPENDA KUWAPA TAARIFA KUWA KILE CHUO BORA KABISA NA KINACHOTOA MAFUNZO YENYE TIJA KWA KILA MTANZANIA KINAKUTANGAZIA KUWA MSIMU MPYA WA MASOMO NDIYO UNAELEKEA KUANZA WAHI SASA UJIFUNZE NASI. "Green Hill Institute we are committed to excellence "

Mawasiliano yetu ni:

0757753774

[08/05/18]   Chuo cha green hill institute kilichopo Mbeya kinapenda kuwatangazia watu wote wadogo kwa wakubwa nafasi za masomo katika kozi za Hotel Management, Tourism Management and Travel Studies, IT in Journalism, Business Studies, Secretarial Duties and computer applications, Food Production, Tour Guiding, IT. Wahi sasa ili uweze kujipatia ujuzi ambao utakuwezesha kujiajiri na kuajiriwa

[06/15/18]   Wapendwa watanzania wenzangu najua na naona mnavyohangaika kutafta mahali ambapo utapata elimu bora na ya kukufaa katika maisha yako suluhisho lipo ni Green Hill Institute ni chuo bora na chenye wakufunzi wazoefu na wenye weledi katika fani ya kufundisha. WAHI sasa mliohitim form four na hata form six kuna kozi nzuri na zinazowafaa ili muweze kubadili maisha yenu kwa kuajiriwa na KUJIAJIRI kupitia taaluma utakayoipata hapa hapa chuon kwetu piga sim namba 0757753774 kwa utaratibu wa kujiunga

27/07/2017

Timeline Photos

[06/18/17]   EWE KIJANA, MAMA, BABA NA JAMII KWA UJUMLA UNASUMBUKA NA UPATIKANAJI WA AJIRA? NJOO AU MLETE MWANAO APATE MAARIFA NA NAMNA YA KUJIAJIRI KUPITIA KOZI ZITOLEWAZO HAPA CHUONI ZENYE UBUNIFU WA HALI YA JUU AMBAO UTAKUFANYA KUWA BIDHAA HADIM KWENYE SOKO LA AJIRA AU KUIFANYA KAZI YAKO YA KUJIAJIRI KUONEKANA YA PEKEE NA YENYE MVUTO KATIKA KUJIPATIA KIPATO BORA KABISA. WAHI SASA CHUO KINANZA KUPOKEA/KUSAJILI WANAFUNZI WAPYA KUANZIA MWEZI WA SABA 2017. KWA WALE WALIOPO MIKOANI CHUO KIPO MBEYA MJINI, FOREST YA ZAMANI MTAA WA KADEGE JIRANI NA CHUO KIKUU HURIA TANZANIA. KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA: 0757753774 GREEN HILL INSTITUTE NI SULUHISHO LA AJIRA KWA VIJANA NA JAMII KWA UJUMLA

[07/30/14]   NDUGU WAPENDWA MNAOTARAJIA KUJIUNGA NA CHUO CHETU MWAKA 2014, UONGOZI WA CHUO UNAPENDA KUWATANGAZIA KUWA TAREHE RASIMI YA KUANZA MASOMO NI TAREHE 4/8/2014. KARIBUNI PIA AMBAO HAMJACHUKUA FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO BADO HAMJACHELEWA NAFASI BADO ZIPO. NJOO TUJIFUNZE KISHA TUJIAJIRI!

[07/17/14]   WAPENDWA NDUGU ZANGU WATANZANIA ELIMU NI MSINGI WA MAISHA BORA HIVYO UONGOZI WA GREEN HILL INSTITUTE UNAPENDA KUWAKARIBISHA KWENYE MSIMU MPYA WA MASOMO UTAKAOANZA TAREHE 4/8/2014. WOTE MNAKARIBISHWA CHUO KIPO MAENEO YA KADEGE, MBEYA MKABALA NA CHUO KIKUU HURIA UONAPO TANGAZO HILI MJULISHE NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI.

[07/03/14]   NDUGU WADAU WA PAGE YA GREEN HILL INSTITUTE, CHUO KINAPENDA KUWATANGAZIA MUHULA MPYA WA MASOMO UTAKAOANZA TAREHE 4/8/2014. FOMU ZIMEANZA KUTOLEWA RASMI KUANZIA TAREHE 1/7/2014.

KWA MAWASILIANO ZAIDI JUU YA KUJIUNGA NA CHUO PIGA SIMU NAMBA 0757753774.

WOTE MNAKARIBISHWA!

[06/17/14]   GREEN HILL INSTITUTE INAPENDA KUWAKARIBISHA KWENYE STUDY TOUR ITAKAYOFANYIKA TAREHE 27/6/2014.
"IJUE MBEYA NA GREEN HILL"

Location

Category

Products

We Offer Training on the following Programmes: Hotel Operations and Management, Tourism and Travel Studies (Cert&Diploma), Journalism and Broadcasting, Information Technology (IT), Business Administration (Cert&Diploma), Acconting and Office Practice and Secetarial Duties.

Telephone

Address


Forest Mwabulanga Street
Mbeya
1561-MBEYA, TA

Opening Hours

Monday 01:00 - 17:00
Tuesday 01:00 - 17:00
Wednesday 01:00 - 17:00
Thursday 01:00 - 17:00
Friday 01:00 - 17:00
Saturday 01:00 - 17:00
Other Education in Mbeya (show all)
Itundu Secondary School-Mbeya Itundu Secondary School-Mbeya
P.O. Box 2994
Mbeya, 255

The church of christ The church of christ
P.o.box 1110
Mbeya, AIRPORT CHURCH OF CHRIST

You shall know the truth and the truth shall set you free (john 8:32)

Miyombweni Secondary School Miyombweni Secondary School
145 RUJEWA
Mbeya, +255

DISCIPLINE, ACADEMIC & WORK.. KARIBU SHULE YA SEKONDARI MIYOMBWENI KWA ELIMU BORA.

Galaxyopenmbozi Galaxyopenmbozi
Mahenje, Ichesa Road, Mbozi
Mbeya

Kituo cha kutoa elimu kwa vijana

Airport High School Mbeya Airport High School Mbeya
P.O BOX 1772
Mbeya

Airport secondary school is to be a center for provision of quality education in ordinary and advanced secondary level.

Kilimo Tanzania Kilimo Tanzania
Tukuyu
Mbeya

ukurasa huu utakuunganisha na tovuti yetu ya kilimotanzania.com, tovuti hii ni maalumu ya wakulima wa tanzania. utajifunza kilimo cha kisasa

TEKUSEC TEKUSEC
P.O BOX,1104
Mbeya, +27

AC Stationery & Supplies AC Stationery & Supplies
BLOCK T,TEKU
Mbeya, 255

Ac Stationery is dealing with Secretarial services,photocopying, document printing,Bindings,lamination and stationery supplies.

Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI
P.O. Box 1329
Mbeya, +255

MyLab brings in Business Ideas, incubate and transforms them into startups. We provide comprehensive business training, help develop prototypes and link the same to investors. Come and graduate with your business company at hand.

Elishadai Schools Elishadai Schools
TEKU
Mbeya

We provide Cleaning Services in offices and homes, Generally supply in offices and Schools for Pre and Primary

Kanama SEC School Kanama SEC School
Tunduma Road
Mbeya

This îs the page 4 all people who needs succesful in their project . If u a student like this 2 get new ideas and u can get new knowledge. Welcome_ @2015

Counselor Esher Abubakary Counselor Esher Abubakary
M
Mbeya, +255

Hii ni Official Page ya Counselor Esher Abubakary, Kuwa huru kutembelea ili upate:- Ushauri wa Ndoa na Mahusiano Malezi ya watoto wadogo Na mengineyo.