EDI Secondary School

EDI Secondary School

Comments

Que voulez-vous dire ?
Mechi bab kubwaaa,

Graphics za pcha zimeandaliwa na Mwanafunzi wa Edi Secondary wa kidato cha tatu,
Karibu Edi sec,
Ushirikiano na amani kati ya mwalimu na mwanafunzi ni 100%
Nidhamu pia ni 100%
Taaluma pia ni 100%
Kudumisha vipaji, designing, na kutoa support kwa wanafunZi weti ni 100%
Welcome Edi Secondary School for Better Education
Kudra dauda afra
Shule ya Edi sekondari ilikuwa na Mahalo ya kidato cha iv tarehe 24/10/2019 yaliyofaana Sana na Baraka Tele za Mungu. Sifa kwa Bwana mwenyezi.
shule yenye vpaji vyakmwaga edi
j pili ukibet2 umeliwa k**a unabixh ubet
Umesomeka Mkubwa 2gether
Ni muda sahihi wa kumleta mwanao kwenye shule inayojali kipaji cha mwanao.EDI SECONDARY SCHOOL inatoa nafasi ya kusoma bure kwa mwanafunzi mwenye uwezo wa kusakata kabumbu,kwa watoto wa k**e na wakiume ,Mlete mwanao ajisomeshe kupitia kipaji chake.Sisi tunamjali wewe je?
Nitapata nafas ya kfundisha [hist & engl]
Mnamtambua mwanafunzi anaeitwa damari joachim? kabila mha kutoka kigoma kibondo kitahana?
nipigie
0742104223

Shule ya Sekondari ya binafsi yenye michepuo ya sayansi, biashara na sanaa. O - Level.

Operating as usual

[11/09/19]   Tunawakaribisha wote vijana wa k**e na wakiume kujiunga na masomo 2020. Chagua EDI kwa huduma bora ya masomo na huduma za kiroho. Mungu ni Bwana mweza yote.

07/11/2019

Mgeni rasmi Dr. Moses akitoa vyeti kwa wahitimu na wafanyakazi bora mahafali 2019

07/11/2019

Mahafali ya tisa ya Kidato IV Edi Sekondari (2019).

31/10/2019

Nawakaribisha vijana wanaotaka kujiunga kidato cha 1 na kuendelea kwa mwaka 2020. Edi ni shule nzuri.

27/04/2019

Mandhari mazuri ya Edi Sekondari. Twasema karibu sana.........

[01/05/19]   Menejimenti ya shule inawakaribisha kujiunga na masomo ya 2019 kidato cha kwanza na wanaohamia. Pia Qt/Pc. Karibuni sana

[11/06/17]   Edi secondary & soccer Academy inawakaribisha wote wa k**e na kiume kujiunga na masomo ya sekondari kwa mwaka 2018 na Pia wenye vipaji katika soccer njoo mkuze vipaji vyenu. Angalia tangazo kwa mawasiliano

06/11/2017

EDI Secondary School's cover photo

06/11/2017

Edi Secondary & Soccer Academy

06/11/2017

Untitled Album

Untitled Album 06/11/2017

Soccer academy ya Edi Sec. ikicheza Mbeya city under 20 Siku ya Simba vs Mbeya City

Soccer academy ya Edi Sec. ikicheza Mbeya city under 20 Siku ya Simba vs Mbeya City

29/10/2016

TUNAISHUKURU WIZARA YA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA KUPITIA KWA MH WAZIRI PROF. @JOYCE NDALICHAKO KWA KUTAMBUA JITIHADA ZETU.....HII NI FARAJA KUBWA SANA KWA SHULE YETU

NI AHADI YETU KUFIKIA MALENGO YETU YA KUWA SHULE BORA ZAIDI NDANI YA JIJI LA MBEYA, NA TANZANIA KWA UJUMLA LKN PIA KUENDELEA KWA NIA HIYO HIYO KUTOA ELIMU BORA KWA GHARAMA NAFUU

#NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA NA ZILE ZA KUHAMIA BADO ZIPO WASILIANA NASI SASA

MENEJA WA SHULE #0755391740 AU 0715391740 AU FIKA SHULEN UYOLE YA KATI MBEYA BARABARA YA MALAWI KARIBU NA KAMBI YA WACHINA

KWA MAHITAJI YA FOMU ZA KUJIUNGA NJE YA JIJI LA MBEYA PIGA SIMU 0755013324 AU 0658582977

Karibu Shule ya Sekondari EDI

28/10/2016

EDI Secondary School's cover photo

28/10/2016

EDI Secondary School's cover photo

25/10/2016

NAFASI MPYA KWA MUHULA MPYA WA MASOMO 2017 SHULE YA SECONDARI YA EDI...

SHULE IPO UYOLE MBEYA NI SHULE YA KUTWA NA BWENI KWA JINSIA ZOTE....ADA ZETU ZINAJALI KIPATO CHA KAWAIDA....ADA NI #SH. LAKI 6 TU KWA KUTWA... NA #SH. MIL 1.5 KWA BWENI UNARUHUSIWA KULIPA KWA AWAMU... WAALIMU WENYE UZOEFU NA MAZINGIRA RAFIKI KWA KIJANA KUJISOMEA.

#KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU YA MENEJA WA SHULE #0755391740,, #0715391740,, 0620335088,,

KWA MAHITAJI YA FOMU NJE YA JIJI LA MBEYA TU PIGA SIMU #0755013324,, #0658582977

25/10/2016

EDI Secondary School's cover photo

25/10/2016

Mahafali ya saba......tumeweza na tunasonga mbele.....

Uongozi wa Shule kwa ujumla unawatakia maisha mema baada ya kumaliza elimu yenu ya kidato cha nne na masomo mema huko mbeleni #mtihanimwema

07/05/2016

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Amosi Makala akizindua Michezo ya shule za sekondari (UMISETA) jana ijumaa tar 6 may 2016 katika Viwanja vya Sokoine jijini Mbeya

#ElimuBoraNaMichezoKwaAfya

22/04/2016

Maandalizi ya UMISETA Yanashika kasi................

Kwa Mara nyingine Timu yetu ya mpira wa miguu imeendeleza ubabe katika viwanja vya shule ya sekondari ya Iyunga, kwa kuwaadhibu wenyeji shule ya sekondari Iyunga jumla ya mabao 3-0 katika mechi iliyochezwa hii leo...tar. 22 april 2016

#ElimuBoraNaMichezokwaAfya

19/04/2016

EDI Secondary School

Tunakumbusha kuwa nafasi za kujiunga (kuhamia) kidato cha kwanza na cha Tatu Edi Secondary zimebaki chache....wahi sasa......
#Shule yetu ni moja ya Shule bora sasa hivi ndani ya jiji la Mbeya....na ada Zetu zinamjali mtu wa kipato cha chini kabisa........pia utaruhusiwa kulipa kwa awamu........

Fomu za kujiunga zinapatikana shuleni Edi secondary uyole ya kati Mbeya....piga no 0755391740 au 0715391740.....

JIJINI dar utazipata ktk ofisi za #jsfashion na #dsmbrokers Kimara mwisho....au call n whatsapp 0755013324

#karibu Edi Secondary School

18/04/2016

Elimu Bora...na Michezo kwa Afya.....

Ijumaa wiki hii Timu yetu ya netball ilifanikiwa kwa mara nyingine kuendeleza wimbi la ushindi kwa kuichapa timu ya netball ya shule ya secondary lutengano kwa mabao 7-3...... wakati huo huo timu ya mpira wa miguu pia ilipata ushindi wa bao 3-2......

(mechi hizi zote zilipigwa viwanja vya shule ya Lutengano)

[04/17/16]   Mlete mtoto wako katika shule ya Secondary EDI iliyopo Uyole-Mbeya. Nafasi za Form One na wale wanaotaka kuhamia zipo.Kwa mawasiliano: 0755226197,0715226197

17/04/2016

Ujenzi wa majengo mapya ya kisasa unaendelea....k**a uavyoona Ukumbi mkubwa na wakisasa unaotegemewa kuwa ukumbi mkubwa zaidi Uyole...madarasa ya kisasa na mabweni pia...

Karibu Edi secondary School....

Kumbuka ada zetu zinajali kipato chako na kiwango bora cha elimu

24/12/2015

Tunaposema ADA nafuu MAZINGIRA bora na ELIMU bora .....tunamaanisha.............

Hivi unajua kuwa ada yetu ni sh 550,000 tu kwa wanafunzi wa kutwa na 1,400,000 kwa Mwaka.....na utailipa kwa awamu

TUMEDHAMIRIA KUTOA ELIMU BORA KWA GHARAMA NAFUU

TUNAZO NAFASI CHACHE ZA KUJIUNGA NA MUHULA WA MASOMO 2016 .......KARIBU HUJACHELEWA

MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA

0755 39 17 40- MENEJA WA SHULE
0786 31 03 64- MKUU WA SHULE

Fomu za kujiunga na shule kwa Dar es salaam piga no 0755-01 33 24

08/09/2015

Muhula mpya wa masomo unakaribia.....😊😊 **********
Umeshafanya maamuzi ya shule inayokufaa au kumfaa mwanao???? K**a bado hata hujachelewa saaana........ # FANYA MAAMUZI SAHIHI

Karibu #Edi secondary school... Shule IPO uyole Mbeya....ni shule bora yenye waalimu wakutosha na wenye taaluma bora....na mazingira bora ya kujisomea

Shule ina mchepuo ya sayansi na Sanaa..... Nafasi zipo kwa ajili ya maandalizi ya kidato cha kwanza mwaka 2016 yaan ( pre-form one) itakayoanza #tar. 21sep 2015

Karibu Edi secondary school..... Kwa Elimu bora ya uhakika

#fomu za kujiunga na shule ni sh. 10,000 tu

Mawasiliano zaidi piga simu zifuatazo

Meneja >>>> 0755 391740 0715 391740

Mkurugenzi > 0755 226197 0715 226197

Afisa uhusiano 0755-013324 pia waweza kutumia namba hii kwa kupata form ya kujiunga na shule kwa dar

Pia waweza kutembelea page yetu katika mtandao wa Facebook...tafuta EDI secondary school

22/07/2015

Tunakumbusha kuwa nafasi za kujiunga (kuhamia) kidato cha kwanza na cha Tatu Edi Secondary zimebaki chache....wahi sasa......
#Shule yetu ni moja ya Shule bora sasa hivi ndani ya jiji la Mbeya....na ada Zetu zinamjali mtu wa kipato cha chini kabisa........pia utaruhusiwa kulipa kwa awamu........

Fomu za kujiunga zinapatikana shuleni Edi secondary uyole ya kati Mbeya....piga no 0755391740 au 0715391740.....

JIJINI dar utazipata ktk ofisi za #jsfashion na #dsmbrokers Kimara mwisho....au call n whatsapp 0755013324

#karibu Edi Secondary School

08/07/2015

Tar 6/7 jtatu wiki hii muhula wa pili umeanza rasmi....#baada ya kumaliza likizo ya kati kati ya Mwaka.......#nafasi chache za kuhamia kidato cha kwanza na cha Tatu zipo........karibuni sana.....form za kujiunga na Shule zinapatikana @Edi secondary schoo offices Mbeya au kwa Dar es salaam katika ofisi za #DSM brokers & #JS fashion kimara au kwa kupiga no.0755013324

08/07/2015

EDI Secondary School's cover photo

[03/20/15]   Ikiwa tunaelekea katikati ya muhula wa kwanza wa masomo kwa mwaka wa 2015, tunapenda kuwakumbusha wale waliouliza kuhusu nafasi za kuhamia kidato cha kwanza na cha tatu, kuwa waharakishe maana nafasi ni chache....

Form zinapatikana shuleni EDI Uyole Jijini Mbeya, kwa Dar es salaam piga namba 0755-013324, 0714-754749.

[01/29/15]   Unaweza kuwa bado hujafanya maamuzi sahihi kuhusu shule inayofaa wewe kusoma au kumpeleka mwanao/ndugu yako......

Unaweza kuamini shule yenye kiwango bora cha ufaulu k**a EDI Secondary School inakupa fursa ya kupata elimu bora kwa ada nafuu mno?.....

Ni kwa ada ya shilingi 550,000 (laki tano na elfu hamsini) tu kwa mwaka kwa wanafunzi wa kutwa.....

Na shilingi 1,400,000 (milion moja na laki nne) tu kwa wanafunzi wa bweni.....

Hii ni shule pekee inayojali kipato cha mtanzania wa kawaida.....

Form za kujiunga zinapatikana shuleni Uyole Mbeya, Kwa Dar es salaam piga no 0755-013324, 0714-754749

[01/23/15]   Nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza, pamoja na nafasi za kuhamia kidato cha pili na tatu bado zipo chache wahi hujachelewa.

Form zinapatikana shuleni EDI Uyole Jijini Mbeya, kwa Dar es salaam piga namba 0755-013324, 0714-754749.

[01/23/15]   THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
FORM TWO SECONDARY EDUCATION EXAMINATION (FTSEE) 2014 RESULTS
HIGHLAND ZONE
CENTRE: S3736 - EDI
School Overall Grade Summary
A B+ B C D E F
F 9 21 40 35 59 66 31
M 25 46 44 58 50 36 20
TOT 34 67 84 93 109 102 51
C H G K E P C B B
R I I E I N H H I /
E V S O S G Y E O M
P I T G W L S M L A
E C O R A I I I O T
A S R A H S C S G H
T S . Y P I H S T Y .
E E . . H L . . R . .
CNO R NAME OF CANDIDATE X . . Y I . . Y . . GPA CLASS
0001 AISHA IDD ZOHORO F Absent ABS
0002 AMINA A MWESYA F B+ B+ B B B D B C E 3.1 MERIT
0003 ANGEL T MORERD F B+ A B B B+ D D B F 3.3 MERIT
0004 CHRISTINA M JAPHET F E D E E D F F D F 0.4 PASS
0005 CHRISTINA J NANGELEKI F A B+ D C A D D B F 3.0 MERIT
0006 CLAUDINA J KANJANJA F B+ B+ B C B D D C E 2.7 MERIT
0007 COLLETHA M KILUMBI F C B+ D C B D C D E 2.1 CREDIT
0008 EMMY PAULO ALON F E D E E D E E D E 0.4 PASS
0009 FARIDA JAMES MZUNA F B+ A C C B+ D C B E 3.1 MERIT
0010 FAUZIA VENANCE NGETA F D C E E C E F E F 0.7 PASS
0011 FELISTA FEDI MBUGI F E E E E D E E E F 0.1 FAIL
0012 GLORY A KASEBELE F C D B D D D D B E 1.7 CREDIT
0013 JOYCE NUHU MSEMWA F C C E E B E E E F 1.0 PASS
0014 JUDITH M MASHAKA F E D E D D E F D F 0.6 PASS
0015 LISABELA ALFREDY SEMBELE F B D E C C E E E F 1.1 PASS
0016 MAGDALENA J KYANDO F D C D F D E F D F 0.9 PASS
0017 MAGRETH D SANGA F F E E E E E F E F 0.0 FAIL
0018 MIRIAM G KYENGULA F B B D C B E F D F 1.9 CREDIT
0019 NAOMI A MWASANKINGA F C A C C B D E B F 2.6 MERIT
0020 NAOMI F MWAMBIPILE F B B+ C C B D D D E 2.3 CREDIT
0021 NEBI H SAGHA F B+ B+ B D B+ D C B E 3.0 MERIT
0022 NEEMA ANANGISYE F B B+ D D B D D B F 2.3 CREDIT
0023 PHATIMA FELIX MWAKALILA F E D E D E E F E F 0.3 PASS
0024 PHINE P TEMBA F Absent ABS
0025 SHOLASTICA BEATUS MAPUNDA F E D E E E E F E F 0.1 FAIL
0026 SMILE A HAULE F C B B D B E D C D 2.1 CREDIT
0027 VAILETH BOSCO PENZA F Absent ABS
0028 VASTER M ADMIN F A A B+ B A B B+ B+ A 4.6 DISTINCTION
0029 ALEX ALPHONCE EPHRAIM M B B+ B+ E B+ C B B+ F 3.4 MERIT
0030 AYUBU ESSAU LULAMSO M B+ A B D B+ C B B+ E 3.6 DISTINCTION
0031 BARAKA A KAPUSHI M A A A C B+ C B+ B+ C 4.1 DISTINCTION
0032 CASTO JOSEPH NYALANGA M D B D E C E E D F 1.1 PASS
0033 CHRISTIAN ELISHA ALPHONCE M A B+ B D C E F D F 2.3 CREDIT
0034 CLAUD BOAZ M D C C C C E E D F 1.4 PASS
0035 CLEOPHAS G KALONGA M B+ A B B B+ E D B+ F 3.4 MERIT
0036 CONRAD UTHANT NDAMBO M C D E E C D E C F 1.1 PASS
0037 ELIA M SWAI M D C C E D D D C F 1.4 PASS
0038 ERASTO JOSEPH MWANASINDELE M A A B+ B B+ C B+ B E 4.0 DISTINCTION
0039 FRANCE R KUMBURU M B+ A B C B+ C D B E 3.3 MERIT
0040 FRANK J NGESI M D C D E C E D C F 1.3 PASS
0041 GEOFREY L MSIGWA M B+ C C C B+ C B B F 2.9 MERIT
0042 GEOFREY ROBEN GOODLUCK M C B B+ C B D C D F 2.4 CREDIT
0043 GOODLUCK GABRIEL TIMOTHEO M C B D D A E E E E 1.7 CREDIT
0044 HASSAN NGELEZA MWALWAYO M A A B+ C B+ C B B+ D 3.9 DISTINCTION
0045 IBRAHIM E KIMARO M B+ A B+ C A B B B C 3.9 DISTINCTION
0046 JOFREY HEZRON KASAMBALA M B B+ B C B D D B E 2.7 MERIT
0047 JOSEPH E NJANGO M A A B+ B B+ C C C D 3.6 DISTINCTION
0048 LAYSON A LAYSON M B+ A B+ C A C B B+ D 3.9 DISTINCTION
0049 LWITIKO MICHAEL MWASIWELO M B A D E C D D E F 1.9 CREDIT
0050 MARANATHA PETER MINGA M B+ B+ B+ C B D C B D 3.1 MERIT
0051 MARKO LAZARO MSIGWA M E B E D D E E E F 0.7 PASS
0052 MICHAEL NEBSON MWAKAJILA M B B C B A D D B F 2.9 MERIT
0053 OMEGA B SANGA M D C D C B C E D F 1.7 CREDIT
0054 SILVER J STIMAR M A A B+ B A B B+ B+ B+ 4.4 DISTINCTION
0055 SIMON K NANGELEKI M C B+ D D A E D C F 2.3 CREDIT
0056 PETER DANKEN MWAMAKULA M B+ A C D B D E B F 2.7 MERIT
0057 RAYMOND T GWAMAKA M C B+ D D B E F C F 1.9 CREDIT
0058 STEPHANO VENANCE MNYOLIMA M B B D D B E E C F 1.9 CREDIT
0059 CHRISTER A MWANYASI F B+ B C C B D E C F 2.4 CREDIT
0060 JULIETH L KIJALO F B B+ B C B+ D C B E 3.0 MERIT
0061 YUNISTER M DAVID F C B E C B E F D F 1.6 CREDIT
0062 ZAINABU PATRICK NGONDE F D D D C D E F E F 0.9 PASS
0063 FABIAN ATUPELE BUKUKU M B+ B+ B+ C C D C C E 2.9 MERIT
A F 2 4 0 0 2 0 0 0 1
M 6 12 1 0 6 0 0 0 0
B+ F 6 8 1 0 4 0 1 1 0
M 9 7 10 0 9 0 3 7 1
B F 5 4 7 3 11 1 1 8 0
M 5 6 5 5 7 2 6 8 0
C F 6 3 4 12 2 0 4 4 0
M 5 5 5 12 7 10 4 8 2
D F 3 8 6 6 7 13 7 8 1
M 5 1 8 8 2 9 8 5 4
E F 6 2 11 7 3 14 6 8 9
M 1 0 2 6 0 10 8 3 6
F F 1 0 0 1 0 1 10 0 18
M 0 0 0 0 0 0 2 0 18

[01/23/15]   TAARIFA:

Uongozi wa shule ya sekondari Edi unapenda kuwataarifu wazazi pamoja na wanafunzi wote kuwa matokeo ya kidato cha pili tayari yamefunguliwa katika mtandao wa baraza la mitihani NECTA.....

Hata hivyo tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa matokeo hayo kucheleweshwa, hii ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu, baada ya kufuatilia iligundulika kuwa kuna makosa yalifanyika baraza la mitihani (NECTA).

Baada ya muda mfupi matokeo hayo yatawekwa hapa katika page hii.

Aidha tunawatakia masomo mema wanafunzi wote wa shule yetu, na mafanikio mema katika masomo yao.

Shahidi Mwandembo
P.R.O

[12/21/14]   Utawala wa Shule ya Sekondari ya EDI, unawatakia mapumziko mema ya mwisho wa mwaka. Tunawatakia sikuu kuu njema za Christmas na mwaka mpya.

[09/15/14]   ikiwa ni siku chache kutokea darasa la 7 kumaliza mitihan yao..... nafasi za maandalizi ya kidato cha kwanza bado zipo....... ada zetu ni nafuu na shule ina ubora wa hali ya juu.......

Location

Category

Products

O - Level Education

Telephone

Address

Mbeya
+255

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:30
Tuesday 08:00 - 15:30
Wednesday 08:00 - 15:30
Thursday 08:00 - 15:30
Friday 08:00 - 15:30
Saturday 09:00 - 13:00
Other Schools in Mbeya (show all)
Kilimo Primary School Kilimo Primary School
Mart Uyole
Mbeya, P. O BOX 400

A primary School Uyole Mbeya

Mbeya Polytechnic College Mbeya Polytechnic College
IGANZO
Mbeya, +255

We offer certificate and diploma courses in General Agriculture,ICT, Business Administration and General agriculture & Natural Resources Management

Irambo Sec 2005 to Date Irambo Sec 2005 to Date
KINONDONI
Mbeya

Green House Computers & Technology Green House Computers & Technology
Soweto
Mbeya

computer sales eg. -laptop and desktop computers -windows installation and programming -hardware service*computer maintenance* -sales hard disk,ram,processor flash and memory card e.t.c -internet services. -web design and graphic design

Bakari M.Saidi Bakari M.Saidi
Sokomatola
Mbeya, +255

Graphic designer for Music Cover,Posters,Fylers,Calender,Banner,Business Card,Logos.

Kajunjumele sec school Kajunjumele sec school
Kyela
Mbeya, 531

KAJUNJUMELE SEC SCHOOL IS THE SCHOOL WHICH ESTABLISHED IN 2006 DURING WARD SCHOOL ESTABLISHMENT IS LOCATED IN KAJUNUMELE WARD-KYELA,MBEYA,TANZANIA

Mpuguso Secondary School Mpuguso Secondary School
Mpuguso
Mbeya

It is a school started on 12th April 2004 with only 3 teachers, the late Madam Gilbert (headmistress), Mwangosi and Timothy. It is located at Ushirika TKY

The Carlton Institute of Management & Technology The Carlton Institute of Management & Technology
Old Airport, P. O. Box 1448
Mbeya, +255

An Institute of higher learning that promotes creative learning & research leading to unlimited knowledge & environmentally friendly innovation!

Mbalizi Institute of Health Science Mbalizi Institute of Health Science
Mbeya

school of clinical medicine, medical laboratory science and nursing