AC Stationery & Supplies

AC Stationery & Supplies

Ac Stationery is dealing with Secretarial services,photocopying, document printing,Bindings,lamination and stationery supplies.

[07/13/16]   BODI YA MIKOPO imetoa siku 7 kwa wanafunzi ambao hawajahakikiwa waende wakafanye hivyo, vinginevyo usipofanya hivyo utakuwa Mwanafunzi hewa na kupelekea kufutiwa Mkopo.

[02/22/16]   AC STATIONERY INAWATAKIA WANA TEKU WOTE UE NJEMA.
Mungu awabariki wote ktk mitihani yenu mfanye vizuri na wote mfaulu.

[11/05/15]   Wazee wa Hapo Kazi tuuu mpooooo!!

ZAIDI ya wanafunzi 50,000 watashindwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu kutokana na kushindwa kupata mikopo kutoka katika Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Anaandika Charles William … (endelea).
Hayo yamebainika ikiwa ni siku tatu tangu HESLB kutoa majina ya wanafunzi waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016, huku idadi kubwa ikiwa haimo katika majina hayo.
Katika mwaka huu wa masomo bodi ya mikopo imeweza kuwapatia mikopo wanafunzi 12,000 pekee sawa na 17.1% ya waombaji zaidi ya 70,000, hivyo kufanya idadi ya wanafunzi waliokosa mikopo kufikia asilimia 82.9 ya waombaji wote.
Wanafunzi waliokosa mikopo ya kuwawezesha kujiunga na elimu ya juu na hivyo wazazi wao kutakiwa kugharamia elimu hiyo wameelezea kusikitishwa na hali hiyo huku wakiitaka serikali kuwaangalia kwa jicho la kipekee kwani hawana uwezo wa kuanza masomo pasipo kufadhiriwa na serikali.
Wanafunzi hao walionekana kukata tamaa ya kutimiza ndoto yao ya kujiunga na elimu ya chuo kikuu, wamefika makao makuu ya bodi hiyo huku wakiongozana na baadhi ya viongozi wa serikali ya wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kutaka kujua hatima yao.
“Nimetokea Tabora, wazazi wangu walinipa Sh. 100,000 ya kutumia wakiamini tunapewa mikopo na serikali, lakini tumenyimwa na hatujui hatima yetu, nimebakiwa na Sh. 6,000, naomba serikali ituhurumie, isikie kilio chetu hatustahili kuteseka hivi,” ameeleza Abdul Omary mwanafunzi mteule UDSM.
Fatuma Bakari, mwanafunzi mwingine kutoka UDSM, amesema: “Siwezi kujiunga na Chuo bila mkopo, tumefika hapa ili kuomba bodi ya mikopo itusaidie hatuna tumaini lolote zaidi ya kuomba Mungu atusaidie tuweze kupata mikopo na kuanza masomo.”
Waziri wa Mikopo serikali ya wanafunzi (Daruso), Sh*tindi Venance ameeleza kutokukubaliana na majibu waliyopewa na uongozi wa juu wa bodi ya mikopo kwani yanakatisha tamaa na kuzima ndoto za wanafunzi wa masikini kusoma chuo kikuu.
“Hapa UDSM ni wanafunzi 600 tu waliopata mikopo kati ya wanafunzi 7,000 waliopangiwa kuanza masomo, hili ni janga kubwa kwa watoto wa masikini kwani hawawezi kujisajili chuoni wala kupata makazi katika mabweni mpaka walipe ada na wengi wametoka mikoani.
“Tunachukua hatua moja mbele na kuamua kulifuatilia suala hili kwa katibu mkuu wa wizara ya elimu na katibu mkuu wa wizara ya fedha kwa sababu bodi bado wanasisitiza tuwe na subira ilihali muda umeenda na wanafunzi wanateseka” ameeleza Sh*tindi.
Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa HESLB, Omega Ngole amewaambia wanahabari waliofika ofisini kwake kuwa bodi haistahili kulaumiwa kwani serikali kupitia wizara ya fedha na wizara ya elimu ndio yenye uwezo wa kutenga kiasi cha fedha kulingana na mahitaji ya wakati husika.
“Lengo la bodi ya mikopo ni kuwawezesha wanafunzi wa vyuo vikuu kusoma kwa ufadhili wa serikali na wala sio kuwakwamisha, tunaendelea kujadiliana na serikali kuona kama itatuongeza fedha ili tuweze kutoa awamu ya pili ya majina ya wanafunzi waliopata mikopo, tunawaomba wanafunzi wavute subira,” anaeleza Ngole
Hata hivyo Ngole amesema hawezi kusema lini watatangaza majina ya awamu ya pili kwani hilo linategemea ni lini serikali itatoa fedha kwa ajili ya wanafunzi wa awam ya pili.
Katika mwaka uliopita wa masomo 2014/2015 serikali ilitoa mikopo kwa wanafunzi 30,000 sawa na 51.7% ya waombaji wote 58,000 na hivyo kufanya waliokosa mikopo kuwa wanafunzi 28,000 sawa na 49% pekee tofauti na mwaka huu ambapo waliokosa wamefikia asilimia 82.9

HAPA KAZI TU

My take.
Lowassa Lowassa watakukumbuka baba. Uliahidi Elimu buree acha waisome namba.

C & P from somewhere

[11/03/15]   HABARI YA LIKIZO WANACHUO WOTE WA TEKU MBEYA, nafikiri ilikuwa nzuri kwa kila mmoja wenu na Mungu amewajali Afya njema pia na Nguvu mpya.
Karibuni tena wote, AC STATIONERY inawatakia mema kwa Wanachuo wote. Mungu awabariki sana.

[08/04/15]   Management yetu inawatakia Likizo njema

[06/18/15]   AC STATIONERY INAWATAKIA WANACHUO WOTE MTIHANI MWEMA

[01/01/15]   MANAGEMENT OF AC STATIONERY WISHING YOU A HAPPY NEW YEAR 2015- all the best

[11/10/14]   Hi everybody
Welcome all to AC STATIONERY

[04/10/14]   TBE 203
Introduction to business
Available at AC STATIONERY

[04/06/14]   TGE 444
Tourism & Leisure
Available at AC STATIONERY

Location

Category

Telephone

Address


BLOCK T,TEKU
Mbeya
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 19:00
Other Education in Mbeya (show all)
Tummy's Stationery Tummy's Stationery
RETCO-MBALIZI ROAD
Mbeya, +255

Dealers in stationery supplies, Secretarial services and Logo designing. We print Posters, Business Cards, Receipt Books, Tax Invoices and Bus Tickets,

Galaxyopenmbozi Galaxyopenmbozi
Mahenje, Ichesa Road, Mbozi
Mbeya

Kituo cha kutoa elimu kwa vijana

Kilimo Tanzania Kilimo Tanzania
Tukuyu
Mbeya

ukurasa huu utakuunganisha na tovuti yetu ya kilimotanzania.com, tovuti hii ni maalumu ya wakulima wa tanzania. utajifunza kilimo cha kisasa

Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI
P.O. Box 1329
Mbeya, +255

MyLab brings in Business Ideas, incubate and transforms them into startups. We provide comprehensive business training, help develop prototypes and link the same to investors. Come and graduate with your business company at hand.

The church of christ The church of christ
P.o.box 1110
Mbeya, AIRPORT CHURCH OF CHRIST

You shall know the truth and the truth shall set you free (john 8:32)

Kanama SEC School Kanama SEC School
Tunduma Road
Mbeya

This îs the page 4 all people who needs succesful in their project . If u a student like this 2 get new ideas and u can get new knowledge. Welcome_ @2015

Counselor Esher Abubakary Counselor Esher Abubakary
M
Mbeya, +255

Hii ni Official Page ya Counselor Esher Abubakary, Kuwa huru kutembelea ili upate:- Ushauri wa Ndoa na Mahusiano Malezi ya watoto wadogo Na mengineyo.

Itundu Secondary School-Mbeya Itundu Secondary School-Mbeya
P.O. Box 2994
Mbeya, 255

TEKUSEC TEKUSEC
P.O BOX,1104
Mbeya, +27

Zantel Mbeya Zantel Mbeya
Old Bagamoyo Road
Mbeya, 405

Ujasiliamali wa kufanya kazi nasi ni mzuri maana unalipwa pesa unayoitaka kuitengezeza kwa mwezi kwa mauzo unayoyafanya.

Elishadai Schools Elishadai Schools
TEKU
Mbeya

We provide Cleaning Services in offices and homes, Generally supply in offices and Schools for Pre and Primary

Green Hill Institute-Mbeya Green Hill Institute-Mbeya
Forest Mwabulanga Street
Mbeya, 1561-MBEYA, TA

Green Hill Insititute is a legal recognised organization focused on providing in class training, E-learning and out reach programmes to the public.