Itundu Secondary School-Mbeya

Itundu Secondary School-Mbeya

Comments

hi
MAMBO NIAJE WADAU WANGU
Kuna kidto cha 5na 6
Its Our School

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Itundu Secondary School-Mbeya, Education, P.O. Box 2994, Mbeya.

Operating as usual

[12/02/16]   NI WAKATI MWINGINE TENA UMEWADIA.

NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2017
KIDATO CHA I
PIA KWA WANAHAMIA KWA VIDATO VINGINE (II - IV) NAFASI ZIPO

MASOMO YANAYOFUNDISHWA:
MASOMO YA SAYANSI PAMOJA NA KILIMO(AGRICULTURE)
SANAA PAMOJA NA FASIHI YA KIINGEREZA(LITERATURE IN ENGLISH)

FOMU ZINAPATIKANA:

DSM: THE SALVATION ARMY, KILWA RD
MBEYA: KANISA LA JESHI LA WOKOVU-MBALIZI, MWANJELWA(SHUKRANI CENTRE)

KWA MAWASILIANO ZAIDI

0768 392 697, 0713 780 079.

KARIBUNI WOTE

[07/02/16]   Pongezi kwa vijana wetu waliopata nafasi ya kuendelea na masomo ya kidato cha tano. Kila la heri huko muendako mkaitangaze vema Itundu yetu. Jitihada zenu, ushirikiano na walimu na kwa neema yake Mungu mmefika hapo mlipo....endeleeni na safari na Mungu awatangulie

01/12/2015

Final touches before the second session!

Kwa mwanafunzi anapopata dakika hata kumi kabla ya kuingia kwenye mtihani kwake ni muda mzuri wa kuperuzi japo ukurasa mmoja. Mazingira yenye utulivu yanahitajika.

15/11/2015

K**a ilivyo dunia ya leo, na sisi tupo mstari wa mbele kuhakikisha vijana wetu wanapata kile kinachostahili. Masomo ya sayansi hufundishwa kwa vitendo katika maabara zetu zilizokamilika na walimu wenye ujuzi na taaluma yao.

Ada yetu ni nafuu sana kwani kazi yetu ni kuhudumia jamii.Karibuni sana kwa nafasi za masomo kwa vidato I-III na pia tuna kituo kwa ajili ya watahiniwa binafsi ambapo tunawandaa kwa ajili ya kurudia mitihani yao.

Mazingira mazuri na yenye utulivu.

FOMU ZINAPATIKANA;

DSM: Jeshi la Wokovu-Kurasini, Kilwa road nyuma ya Uwanja wa Taifa

MBEYA; Shukrani Centre-Mwanjelwa
Family Store- Kabwe
Kanisa la Jeshi la Wokovu Mbalizi
Kanisa la Jeshi la Wokovu- Ilembo
Au tuandikie - [email protected] nasi tutakutumia fomu hiyo

MAWASILIANO

0687206505
0765878956
0713780079

KARIBUNI SANA

14/11/2015

Itundu Secondary School-Mbeya's cover photo

14/11/2015

Itundu Secondary School-Mbeya

Location

Category

Telephone

Address


P.O. Box 2994
Mbeya
255
Other Education in Mbeya (show all)
Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI
P.O. Box 1329
Mbeya, +255

MyLab brings in Business Ideas, incubate and transforms them into startups. We provide comprehensive business training, help develop prototypes and link the same to investors. Come and graduate with your business company at hand.

Aggrey Teachers' College Aggrey Teachers' College
Mbeya, P.O BOX

CHUO CHA UALIMU TEOFILO KISANJI (CHUTEKI) S.L.P 693 MBEYA Barua pepe: [email protected]

Airport High School Mbeya Airport High School Mbeya
P.O BOX 1772
Mbeya

Airport secondary school is to be a center for provision of quality education in ordinary and advanced secondary level.

Green Hill Institute-Mbeya Green Hill Institute-Mbeya
Forest Mwabulanga Street
Mbeya, 1561-MBEYA, TA

Green Hill Insititute is a legal recognised organization focused on providing in class training, E-learning and out reach programmes to the public.

Kilimo Tanzania Kilimo Tanzania
Tukuyu
Mbeya

ukurasa huu utakuunganisha na tovuti yetu ya kilimotanzania.com, tovuti hii ni maalumu ya wakulima wa tanzania. utajifunza kilimo cha kisasa

Zantel Mbeya Zantel Mbeya
Old Bagamoyo Road
Mbeya, 405

Ujasiliamali wa kufanya kazi nasi ni mzuri maana unalipwa pesa unayoitaka kuitengezeza kwa mwezi kwa mauzo unayoyafanya.

Marco training center Marco training center
Mbeya
Mbeya, 53119 MBEYA

You will get education,life training, technique to attack the business and success in life. TOGETHER WE CAN!!.

Counselor Esher Abubakary Counselor Esher Abubakary
M
Mbeya, +255

Hii ni Official Page ya Counselor Esher Abubakary, Kuwa huru kutembelea ili upate:- Ushauri wa Ndoa na Mahusiano Malezi ya watoto wadogo Na mengineyo.

Elishadai Schools Elishadai Schools
TEKU
Mbeya

We provide Cleaning Services in offices and homes, Generally supply in offices and Schools for Pre and Primary

AC Stationery & Supplies AC Stationery & Supplies
BLOCK T,TEKU
Mbeya, 255

Ac Stationery is dealing with Secretarial services,photocopying, document printing,Bindings,lamination and stationery supplies.

Miyombweni Secondary School Miyombweni Secondary School
145 RUJEWA
Mbeya, +255

DISCIPLINE, ACADEMIC & WORK.. KARIBU SHULE YA SEKONDARI MIYOMBWENI KWA ELIMU BORA.

Tummy's Stationery Tummy's Stationery
RETCO-MBALIZI ROAD
Mbeya, +255

Dealers in stationery supplies, Secretarial services and Logo designing. We print Posters, Business Cards, Receipt Books, Tax Invoices and Bus Tickets,