Elishadai Schools

Elishadai Schools

We provide Cleaning Services in offices and homes, Generally supply in offices and Schools for Pre and Primary

[04/21/19]   Uongozi na Wafanyakazi wa Elishadai Schools unawatakia Pasaka njema Watanzania wote

[11/17/18]   KARIBU ELISHADAI SCHOOLS TUKUHUDUMIE

Uongozi wa Shule ya Awali Elishadai Day Care Center kinachoendeshwa na Shule za Elishadai, tunawatangazia nafasi kwa Mwaka mpya wa Masomo 2019/2020 katika Shule yetu iliyopo Kisesa, Mwanza

Watoto wa Umri wa Miaka 2-5 wanapokelewa kwa ajili ya Malezi bora ya Kielimu, Kimaadili na Kiafya

Mlete Mwanao tumlee, tumjengee Misingi imara ya Maisha yake ya Kesho

Kituo Kipo Kisesa,Mwanza

KARIBU TUKUHUDUMIE

Kwa Mawasiliano zaidi Piga 0765427282, 0673504470

[12/04/15]   Habari za asubuhi, Uongozi wa Shule ya Elishadai unaendelea kuwakumbusha wazazi wenye Watoto walio na Miaka 2 hapi 6 kuwaleta watoto wao kupata elimu bora katika Shule yetu ya Watoto, Fomu zimeanza kutoka, Shule ni ya Kutwa ipo Maeneo ya Mkolani, Mita 100 kutoka Stendi ya Mkolani upande wa Mashariki kama unatokea Mjini, Mtoto atapata mahitaji yote kupitia ada yako ( Chakula, Masomo, Sare, Madaftari na Begi ), Mlete mwanao apate Elimu bora na Malezi Mazuri.
Karibu sana!

Kwa Mawasiliano zaidi Piga simu namba :- 0763504470/0673504470

[12/03/15]   Tumeanza kutoa fomu leo Tarehe 03/12/2015 za kujiunga na masomo kwa Mwaka 2015/2016, tunawakaribisha wazazi na walezi kuwaleta watoto wenu wa Miaka 2 hadi 5 kwenye Kituo chetu kilichopo Mkolani, Jijini Mwanza.

Mlete mtoto wako apate malezi mazuri, elimu bora kwa ufanisi wa hali ya juu!

Kwa Maelekezo zaidi pia simu na: 0763504470/ 0673504470
Karibu sana!!

[12/02/15]   Mkurugenzi wa Shule ya Msingi Elishadai!!
Anawakaribisha wazazi walete watoto wao wanaotarajia kuanza masomo ya Awali kwa mwaka mpya wa masomo wa 2015/2016, tunapokea watoto kuanzia miaka 2 hadi 5, mlete mwanao ajifunze kwa nadharia na vitendo pia ajifunze nidhamu bora!!
Kwa Mawasiliano zaidi piga 0763504470 au 0673504470
Karibu sana!

24/11/2015

Elishadai Schools

Location

Category

Telephone

Address


TEKU
Mbeya
Other Education in Mbeya (show all)
Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI
P.O. Box 1329
Mbeya, +255

MyLab brings in Business Ideas, incubate and transforms them into startups. We provide comprehensive business training, help develop prototypes and link the same to investors. Come and graduate with your business company at hand.

AC Stationery & Supplies AC Stationery & Supplies
BLOCK T,TEKU
Mbeya, 255

Ac Stationery is dealing with Secretarial services,photocopying, document printing,Bindings,lamination and stationery supplies.

The church of christ The church of christ
P.o.box 1110
Mbeya, AIRPORT CHURCH OF CHRIST

You shall know the truth and the truth shall set you free (john 8:32)

Counselor Esher Abubakary Counselor Esher Abubakary
M
Mbeya, +255

Hii ni Official Page ya Counselor Esher Abubakary, Kuwa huru kutembelea ili upate:- Ushauri wa Ndoa na Mahusiano Malezi ya watoto wadogo Na mengineyo.

Good Shepherd Academy. Mbeya - Tanzania Good Shepherd Academy. Mbeya - Tanzania
Https://www.google.com/maps/place/Good+Shepherd+Academy/@-8.91812,33.4404156,18z
Mbeya

This is the official page of Good shepherd day care and kindergarten which was established in 2012 in Mbeya City, Mbeya Region, Tanzania.

Tummy's Stationery Tummy's Stationery
RETCO-MBALIZI ROAD
Mbeya, +255

Dealers in stationery supplies, Secretarial services and Logo designing. We print Posters, Business Cards, Receipt Books, Tax Invoices and Bus Tickets,

TEKUSEC TEKUSEC
P.O BOX,1104
Mbeya, +27

Zantel Mbeya Zantel Mbeya
Old Bagamoyo Road
Mbeya, 405

Ujasiliamali wa kufanya kazi nasi ni mzuri maana unalipwa pesa unayoitaka kuitengezeza kwa mwezi kwa mauzo unayoyafanya.

Marco training center Marco training center
Mbeya, 53119 MBEYA

You will get education,life training, technique to attack the business and success in life. TOGETHER WE CAN!!.

Itundu Secondary School-Mbeya Itundu Secondary School-Mbeya
P.O. Box 2994
Mbeya, 255

Kilimo Tanzania Kilimo Tanzania
Tukuyu
Mbeya

ukurasa huu utakuunganisha na tovuti yetu ya kilimotanzania.com, tovuti hii ni maalumu ya wakulima wa tanzania. utajifunza kilimo cha kisasa

Green Hill Institute-Mbeya Green Hill Institute-Mbeya
Forest Mwabulanga Street
Mbeya, 1561-MBEYA, TA

Green Hill Insititute is a legal recognised organization focused on providing in class training, E-learning and out reach programmes to the public.