MBEYA Adventist Primary School

MBEYA Adventist Primary School

MBEYA ADVENTIST PRIMARY SCHOOL is a Seventh day Adventist Organization in Southern Highlands Conference of South-Tanzania Union Mission. IGANZO area

Operating as usual

tanzania.go.tz 18/02/2016

Tovuti Kuu ya Serikali: Welcome

tanzania.go.tz/ matokeo_2015/Olevel.htm
P2500 CHUO CHA UFUNDI - VETA

tanzania.go.tz Tovuti Kuu ya Serikali imebuniwa, kutengenezwa na kuendeshwa na Wakala ya Serikali Mtandao. Lengo kuu la Tovuti Kuu hii ni kuwezesha upatikanaji wahuduma za umma kwa uwazi, urahisi na gharama nafuu kutoka Taasisi mbalimbali za umma kwa manufaa ya wananchi, wafanyabiashara, watumishi na wadau wengine…

[01/24/16]   TANZIA:
Tumempoteza kijana wetu mpendwa (MWINUKA, MOSES) wa darasa la saba.
Tujifariji kwa maneno haya (Mwanzo 3:19)

21/01/2016

Siku ya kupanda miti Leo hii ktk vyanzo vya maji jirani na MAPS

21/01/2016

Photos from MBEYA Adventist Primary School's post

16/01/2016

The school chaplain feeding the Holly bread

16/01/2016

MBEYA Adventist Primary School's cover photo

16/01/2016

Special singing group of the week

16/01/2016

Katika ibada ya siku ya Sabato Leo.
Today's Sabbath day worship here at MBEYA Adventist primary school

[01/13/16]   The school had just opened. Welcome all

[12/12/15]   Karibu katika muhula wa masomo unaoanza tarehe 10/01/2016

17/11/2015

Get the MAPS 5th graduation DVD now. Contact 0784/0767/0715/0622(829989)

16/11/2015

SHC session

16/11/2015
14/11/2015

MAPS YOUTH DAY......... JESUS IS COMING. 14/11/2015. At MAPS

www.amkamtanzania.com 02/11/2015

USHAURI; Ushauri Muhimu Kwa Wanafunzi Waliomaliza Kidato Cha Sita Mwaka 2015. « AMKA MTANZANIA

USHAURI;

Ushauri Muhimu Kwa Wanafunzi Waliomaliza Kidato Cha Sita Mwaka 2015.

K**a kuna mtu yeyote unayemfahamu amemaliza kidato cha sita mwaka huu, tafadhali sana mtumie makala hii, ITABADILI MAISHA YAKE.

Siku chache zilizopita nilikutana na kijana aliyemaliza kidato cha sita mwaka huu. Tulizungumza mambo machache kuhusiana na shule, mitihani ilikuwaje na hatimaye tukaja kwenye likizo. Kwanza aliniambia hajachaguliwa kwenda kwenye jeshi la kujenge taifa. Mimi nikamuuliza una mpango wa kufanya kitu gani kwenye likizo hii. Alinijibu kwamba anafikiria kusomea kozi ya kompyuta au kozi ya udereva. Ila akaniambia tena yeye mwenyewe kwamba kompyuta hatasoma kwa sababu amekuwa akitumia kwa muda mrefu na anajua mambo yote ya msingi.

Nilimuuliza tena, k**a utasomea udereva unafikiri itahitaji miezi mitano? Akaniambia hapana. Nikamuuliza atafanya nini sasa kwa muda wote huo? Mwenyewe alikiri kwamba kwa miezi mitano watakayokuwa likizo, atachoka sana maana hata kwa siku chache alizokaa nyumbani ameshaanza kuchoka.

Nilimshauri kijana huyu baadhi ya mambo anayoweza kufanya katika kipindi hiki wanachosubiri kwenda vyuo vya elimu ya juu. Nimeona niwashirikishe wengine pia kupitia mtandao huu kwa sababu najua atakayefanyia kazi hiki ninachoshauri hapa atabadili maisha yake kwa kiasi kikubwa sana.

K**a wewe ni kijana ambaye umemaliza kidato cha sita mwaka huu 2015 na unasubiri kuingia kwenye vyuo vya elimu ya juu, jambo la kwanza kabisa unalotakiwa kujua ni kwamba una likizo ya miezi mitano. Vyuo vya elimu ya juu mwaka huu 2015 havitafunguliwa mpaka uchaguzi mkuu utakapofanyika na kwa kuwa uchaguzi unafanyika mwishoni mwa mwezi oktoba, vyuo vitafunguliwa mwezi novemba. Hivyo ukihesabu kuanzia mwezi huu wa sita mpaka wa kumi unapata karibu miezi mitano. K**a hujachaguliwa kujiunga na jeshi, miezi hii mitano ni mingi sana na unaweza kubadili maisha yako kabisa.

Kwa miaka saba uliyokuwa kwenye shule ya msingi, na hii sita uliyokuwa kwenye shule ya sekondari, walimu wako wamefanya kazi nzuri sana ya kukufundisha kuhusu kuhusu ulimwengu wa kazi. Walikuambia usome kwa bidii, ufaulu vizuri na utapata kazi nzuri na kuwa na maisha bora. Lakini kwa kuwa ulikuwa ‘bize’ na masomo hukupata muda wa kuangalia hali halisi ya ajira inavyoendelea. Utafaulu na kuingia chuoni lakini ndoto ulizojengewa hazipo tena, hivyo unahitaji kuwa na mtizamo tofauti kuhusiana na ulimwengu wa kazi.

Yafuatayo ni baadhi ya mambo ninayokushauri ufanye wakati huu wa likizo.
1. Jifunze kutoa thamani, hili ni hitaji namba moja la mafanikio kwenye maisha.
Katika kipindi hiki cha likizo, jifunze kutoa thamani, hakuna kitu kitakusaidia kwenye maisha yako k**a hiki kimoja. Tafuta kazi yoyote unayopenda kufanya au unayoweza kufanya na omba uifanye. Utakapopata nafasi ya kuifanya, ifanye kwa moyo mmoja, weka kila kitu ulichonacho kwenye kazi hiyo na thamani yako itaonekana. Kazi yoyote utakayopata usiangalie ni kiasi gani wanakulipa, bali angalia ni thamani gani unaweza kuiongeza pale. Fanya kazi sio kwa kupata kipato, bali kwa kujifunza kuhusu kazi, kujifunza kushirikiana na watu kwenye maeneo ya kazi. Kujifunza jinsi watu wanavyofanyiana majungu kwenye maeneo ya kazi, na mengine mengi ambayo yatakuandaa na ulimwengu unaokuja mbele yako.

Najua miaka karibu 20 iliyopita mingi umeitumia darasani na ulikuwa unachukuliwa k**a mtoto, ila sasa hivi unaingia kwenye utu uzima na hivyo unahitaji kujifunza mambo mengi yatakayokuwezesha kufanikiwa kwenye haya maisha.

Swali kubwa utakaouliza hapa ni utapataje hiyo kazi iwapo hata waliohitimu vyuo hawapati. Jibu langu ni kwamba kazi zipo nyingi sana hasa kwa wewe unayetaka kufanya kwa muda tu na huhitaji malipo makubwa, tena usihitaji malipo kabisa, ukipata wanaokupa nauli na chakula, shukuru zaidi. K**a utakosa kabisa mahali pa kufanya kazi kwa muda nakupa njia moja ambayo haishindikani. Kwa miaka sita uliyokuwa kwenye elimu ya sekondari umejifunza mambo mengi sana. Kwenye eneo lolote unalokaa tanzania, kuna shule ya sekondari karibu(asante kwa shule za kata) na katika shule hizi kuna uhaba wa walimu na hata yale masomo ambayo yana walimu wa kutosha bado wanafunzi wanafeli.

Moja nenda kwenye shule zote zinazokuzunguka na waombe wakupatie nafasi ya kufundisha kwa muda, onesha kwamba una kitu kikubwa unataka kuwasaidia wadogo zako.
Pili kusanya watoto wa sekondari kwenye mtaa unaokaa na waambie wao au wazazi wao kwamba unafundisha tuisheni ya masomo uliyosomea wewe kidato cha tano na cha sita. Wawekee gharama ndogo wanayoweza kuimudu na hata k**a ni ndogo kiasi gani wafundishe. Hapa wafundishe vizuri sana na kwa njia ambayo wataelewa vizuri kile unachowafundisha. Hii itakujenga sana kwenye kutengeneza na kutoa thamani kwa wengine. Usianze kusema mimi sijui kufundisha, mimi sina hobi ya kufundisha mimi sijui nini..... hakuna anayejua chochote, tunajifunza tunavyokwenda kwenye maisha. Na hutafanya hivi miaka yako yote, ni miezi hii mitano tu. Utakachokifanya sasa kitakusaidia sana mbeleni hata k**a hakuna kikubwa unachoingiza kwa sasa.

Nakumbuka nilipomaliza kidato chasita, mtihani wa mwisho nilifanya siku ya jumanne, siku ya jumatano nilisafiri kwenda nyumbani, alhamisi nikaandika barua za kuomba kufundisha kwenye baadhi ya shule na jumatatu ya wiki iliyofuata nilianza kufundisha. Nilifundisha mpaka wiki moja kabla ya kuripoti chuoni. Nilijifunza mambo mengi sana kuhusu maisha na kazi, nilijifunza jinsi ya kutoa thamani, jinsi ya kuepuka majungu ya ofisini na mengine mengi. Na hata miaka mitatu baadae nilipopata matatizo chuoni na kusimamishwa masomo, hii ilikuwa sehemu yangu ya kwanza ya kujitengenezea kipato huku nikitafakari maisha yangu yanakwendaje.

Nakusihi sana mdogo wangu, tafuta njia yoyote ile ya kutoa thamani kwa wengine. Usiseme kwamba unahitaji kupumzika, movie unazoangalia, mitandao ya kijamii utakayoshinda unaangalia kila siku haviongezi thamani yoyote kwenye maisha yako, yaani ni sifuri.

Nilitaka nikushirikishe mengi lakini naona muda hautatutosha, nivumilie nikupe jambo jingine muhimu la pili.

2. Soma vitabu kumi.
Katika wakati huu wa likizo, soma vitabu kumi. Yaani kumi ndio kiwango cha chini ninachokushauri, ila ukiweza endelea zaidi ya hapo. Sio kwamba nataka nikurudishe shuleni, najua ulikuwa unakesha kusoma mavitabu makubwa ili ufaulu mtihani, japo ulikuwa hupendi kusoma vitabu hivyo. Sasa nakuambia usome vitabu kumi ambavyo utavipenda na kuna mengi utakayojifunza. Vitabu hivi kumi naomba uvisome kwa utaratibu ufuatao.

Vitabu vitatu viwe vinahusiana na kile kitu ambacho unataka kusomea utakapoenda chuoni. Sio viwe vya somo, bali vinavyoelezea kuhusu kitu hiko, historia yake, umuhimu wake na hata mabadiliko yanayoendelea kuhusiana na sekta hiyo. K**a unataka kuwa daktari soma vitabu vinavyohusiana na udaktari, k**a unataka kuwa mwalimu, mwanamuziki na kila aina ya kazi, tafuta vitabu vinavyohusiana na sekta hiyo na vizome. Utapata uelewa mkubwa sana wa sekta hiyo na kufikiria mara mbili k**a kweli upo tayari kuingia kwenye hiyo sekta. Najua kwa sasa utakuwa umechagua sekta kwa sababu ya kufuata mkumbo au kuambiwa, ila hujapata muda wa kutosha wa kuijua vizuri sekta hiyo..

Vitabu vitatu vingine viwe ni hivi, THINK AND GROW RICH, THE RICHEST MAN INA BABYLON na RICH DAD POOR DAD. Sitatoa maelezo mengi hapa, visome vitabu hivi halafu k**a utamaliza kuvisoma na k**a utajali, niandikie email kwa yale uliyojifunza.
Vitabu sita tayari, vimebaki vinne.

Vitabu viwili, fikiria watu ambao unawakubali sana na siku moja ungependa kuwa k**a wao. Kisha tafuta vitabu vilivyoandikwa kuhusu wao na visome. Soma vitabu hivi na jua ni changamoto gani walizipitia na jinsi gani walizivuka. Utajifunza mengi sana ambayo yatakuandaa na maisha yako ya sasa na ya baadae.

Vitabu viwili vilivyobaki soma kuhusu historia, uchumi, biashara na ujasiriamali. Kwanza tafuta kitabu kimoja kizuri sana kinachoelezea kuhusu ujasiriamali, kisome. Ni lazima utakuwa mjasiriamali kwenye maisha yako, hata k**a utakuwa umeajiriwa. Tafuta kingine kinachoelezea historia ya dunia kwa ufupi, hapa nako utajifunza mambo ya msingi sana kuhusu dunia, ilipotoka na ilipo sasa.

Vitabu kumi sio vingi kwa miezi mitano, soma vitabu viwili kila mwezi, kitabu kimoja kila wiki mbili na kwa sababu vitabu vingi vina kurasa kati ya 200 mpaka 400, soma kurasa 20 mpaka 30 za kitabu kila siku na utamaliza vitabu hivyo.

www.amkamtanzania.com AMKA MTANZANIA ni mtandao unaokuhamasisha wewe mtanzania kuchukua hatua juu ya maisha yako. Kupitia mtandao huu utajifunza na kuhamasika ili uweze kuchukua hatua ya kufikia mafanikio makubwa. K**a unataka kutumiwa makala nzuri na vitabu moja kwa moja kwenye email yako, BONYEZA MAANDISHI HAYA na ujaz…

www.muungwana.com 31/10/2015

Angalia matokeo ya darasa la saba yapo hapa ~ MUUNGWANA BLOG

Angalia matokeo ya darasa la saba yapo hapa - Angalia matokeo ya darasa la saba yapo hapa http://www.muungwana.com/2015/10/angalia-matokeo-ya-darasa-la-saba-yapo.html

www.muungwana.com Angalia matokeo ya darasa la saba yapo hapa

[10/31/15]   SLE 2015 EXAMINATION RESULTS

MBEYA ADVENTIST PRIMARY SCHOOL - P1005083

WALIOFANYA MTIHANI : 28
WASTANI WA SHULE : 191.1071
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 1 kati ya 83
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 1 kati ya 1065
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 426 kati ya 16096
THANK YOU LORD

14/09/2015

Mobile Uploads

[09/05/15]   WE WELCOME YOU TO THE STD SEVEN GRADUATION THAT WILL BE FROM 11-13 SEPTEMBER 2015 AT THE GROUNDS OF MBEYA ADVENTIST PRIMARY SCHOOL-MAPS (Tunakukaribisha katika mahafali ya darasa la saba yatakayofanyika kuanzia 11-13 September 2015 katika viwanja vya Shule ya Msingi ya Waadventista Mbeya)

02/07/2015

TAiN meeting

22/06/2015

Photos from MBEYA Adventist Primary School's post

02/06/2015

MAPS day opening

[05/27/15]   Welcome to the MAPS big DAY on Friday 29th May,2015. Where by many sports and games will be done with pupils and staff members. Sharing different activities and having the special lunch together. WELCOME ONE WELCOME ALL.

22/03/2015

Children taking lunch

[03/19/15]   Mabadiriko ofisi ya uhasibu
1. Stella Mahega mhasibu mkuu anachukua nafasi ya Lauteli Pesambili aliyehamishwa.
2. Elirehema Mrema mhasibu anachukua nafasi ya Emmanuel Chaula aliyehamishwa

[12/04/14]   Call +2552504043

[12/04/14]   Welcome for 2015 academic year. Bring your children. The school will be opened on 04/01/2015

18/11/2014

Pupils have started their annual examinations up to tomorrow. God bless them

[04/05/14]   HAPPY SABBATH BRETHRENS

[04/05/14]   THE SPIRITUAL WEEK Of PRAYERS THAT WAS CONDUCTED BY MRS. PR. MUSA MIKA IS ENDING UP TODAY. WELCOME ALL

25/03/2014

Photos from MBEYA Adventist Primary School's post

05/02/2014

Pupil from classes

01/02/2014

Blasband at school

01/02/2014

Timeline Photos

Videos (show all)

MAPS day opening

Location

Telephone

Address


Mbeya Adventist Primary School. P.O. Box 99, Mbeya-Tanzania-East Africa
Mbeya
99
Other Mbeya schools & colleges (show all)
Kajunjumele sec school Kajunjumele sec school
Kyela
Mbeya, 531

KAJUNJUMELE SEC SCHOOL IS THE SCHOOL WHICH ESTABLISHED IN 2006 DURING WARD SCHOOL ESTABLISHMENT IS LOCATED IN KAJUNUMELE WARD-KYELA,MBEYA,TANZANIA

Zantel Mbeya Zantel Mbeya
Old Bagamoyo Road
Mbeya, 405

Ujasiliamali wa kufanya kazi nasi ni mzuri maana unalipwa pesa unayoitaka kuitengezeza kwa mwezi kwa mauzo unayoyafanya.

Miyombweni Secondary School Miyombweni Secondary School
145 RUJEWA
Mbeya, +255

DISCIPLINE, ACADEMIC & WORK.. KARIBU SHULE YA SEKONDARI MIYOMBWENI KWA ELIMU BORA.

Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI Tanzania Entrepreneurship Development Institute - TEDI
P.O. Box 1329
Mbeya, +255

MyLab brings in Business Ideas, incubate and transforms them into startups. We provide comprehensive business training, help develop prototypes and link the same to investors. Come and graduate with your business company at hand.

EDI Secondary School EDI Secondary School
Mbeya, +255

Shule ya Sekondari ya binafsi yenye michepuo ya sayansi, biashara na sanaa. O - Level.

Mbalizi Institute of Health Science Mbalizi Institute of Health Science
Mbeya

school of clinical medicine, medical laboratory science and nursing

Kilimo Tanzania Kilimo Tanzania
Tukuyu
Mbeya

ukurasa huu utakuunganisha na tovuti yetu ya kilimotanzania.com, tovuti hii ni maalumu ya wakulima wa tanzania. utajifunza kilimo cha kisasa

Airport High School Mbeya Airport High School Mbeya
P.O BOX 1772
Mbeya

Airport secondary school is to be a center for provision of quality education in ordinary and advanced secondary level.

Cbe mbeya campus Cbe mbeya campus
3810 Mbeya
Mbeya

CBE MBEYA CAMPUS is an bisiness college wich is found all over tanzania but this one is a new campus wch is alocated in mbeya city

Green House Computers & Technology Green House Computers & Technology
Soweto
Mbeya

computer sales eg. -laptop and desktop computers -windows installation and programming -hardware service*computer maintenance* -sales hard disk,ram,processor flash and memory card e.t.c -internet services. -web design and graphic design