WAVES of GLORY Services - WGS

WAVES of GLORY Services - WGS

KUFANIKIWA au KUTOFANIKIWA ni MATOKEO ya uwezo wako wa kufikiri. Kwahiyo ukitaka kubadili maisha yako badili kwanza mawazo yako.

Operating as usual

[12/14/20]   MAMBO 7 YA KUZINGATIA
EWE KIJANA (WA KIUME/KIKE)
Unatakiwa utambue kuwa hakuna maisha ya kesho ila leo, hakuna aliyewahi kuishi kesho, wote tunaishi leo!
Sasa Wewe endelea kukaa ki-hasara hasara, huku unajitia moyo ati Nitaona kesho.. Nitafikiria kesho...Nitajaribu kesho....Nitaanza kesho k**a unafikiri itafika!
Siku zitaendelea kwenda na mwisho wa siku utajipata hakuna hata moja ulilokamilisha Ujanani;
Zingatia haya yatakusaidia;
1. PANGA MALENGO YA MAISHA; USILALE NA KUAMKA TU K**A KUKU
●Lazima ujue unachotaka na unapotaka kufika na ujipange kufikia hapo; Hakuna muujiza wa mambo kutokea tu bila kuyapangilia.
2. ISHI MAISHA YAKO HALISI; ACHANA MAIGIZO NA MAONYESHO
●Usiishi kuwaonyesha watu vile usivyo ili tu wakusifie,maana sifa hizo hazina tija yoyote maishani mwako; Ishi Maisha yako ya kweli,utaeleweka na kukubalika kwa vile ulivyo.
3. ITUMIE VIZURI SAA YAKO; USIVAE TU K**A UREMBO
●Acha kupoteza muda, acha uzurulaji,acha kufanya kila kitu,kwenda kila mahali na kukaa kaa tu ki-hasara hasara
4. ACHA UVIVU; FANYA KAZI, TENA SIO KUCHAGUA CHAGUA KAZI; KAZI NI KAZI.
●Kazi ndio kipimio cha Utu na Pesa ndio sabuni ya roho; acha Upumbavu wa kuchagua chagua kazi kwa nyodo hali hauna kitu; Tena Wasomi na wenye vipaji ndio wana shida zaidi, yaani Shule na vipawa vyao vimewapumbaza vibaya mno.
5. ANZA KUJITEGEMEA; USIPENDE KUKAA KAA KWA WATU NA KUOMBA OMBA HELA.
●Huwezi kujifunza kuendesha gari darasani ila barabarani; Huwezi elewa maisha ya kujitegemea k**a bado unalishwa na unaomba hela kila siku! Toka ukaanze kupambana mwenyewe.
6. KUBALI KUONGOZWA,KUSAIDIWA NA KUSIMAMIWA; ITA JINA LOLOTE UTAKALO ILA UNAHITAJI SAUTI JUU YAKO.
●Wapo watu wakubwa/waliotangulia katika kila eneo la Maisha, unayo nafasi ya kuwa bora na kufanya vizuri katika kila eneo la maisha yako,k**a utakubali kuwa Mtiifu,Msikivu uliye tayari kujifunza kwao; Watakufaa kwa Maarifa,Uzoefu, Makosa na Mafanikio yao.
7. KATIKA YOTE HAPO JUU MCHE MUNGU NA ZIKIMBIE KABISA TAMAA NA ANASA ZA UJANANI
●Hakuna ukamilifu wala Utoshelevu nje ya Mungu; Kijana Mche Mungu kwa bidii yote, naye atakufanikisha
(Sijasema uende sana kanisani ila Nasema Mche Mungu)

14/05/2020

WAVES of GLORY Services - WGS

14/05/2020

WAVES of GLORY Services - WGS's cover photo

21/04/2020

WAVES of GLORY Services - WGS

21/04/2020

WAVES of GLORY Services - WGS's cover photo

13/11/2019

WAVES of GLORY Services - WGS

13/11/2019

WAVES of GLORY Services - WGS's cover photo

13/11/2019

WAVES of GLORY Services - WGS

31/07/2018

SIMPLE SKILLS FOR SUCCESS
*What is success?
Success can mean different things to everyone. So you my star by the following basic things.
1. Define what success means to you. You cannot have success if you do not know what it means for you. Everyone views success differently. True success comes from achieving what will make you happiest in life.
2. Identify your ultimate purpose or goal. Identify the things you love to do, the things that give you satisfaction.
3. Break your goal into small steps.
4. Set a time line for when you want to achieve your objective.
5. Identify what resources you need to achieve your objectives.
6. Start to implement your goals.

18/05/2018

SECRET TO SUCCESS IN LIFE
Before talking about the secret to success or even outlining a formula, it’s important to define success and just what it means to you.Everyone has their own individual definition of success.
WHY IS THAT SO IMPORTANT?
you must set written goals with detailed plans if you want to succeed in life.
STEP 1 — SET A GOAL
It’s quite clear then that in order to succeed in life at any endeavor, we need to set specific goals. But, not only do they have to be specific, they have to be S.M.A.R.T.E.R. goals — goals that are specific, meaningful, achievable, relevant, and time-based. Those goals also need to be constantly evaluated and the plans re-adjusted in order to attain them.
STEP 2 — CREATE A PLAN
While your definition of success (your goals) gives structure to your life, the plan gives it a direction. Without a plan, we’re simply dead in the water. We need to have a general direction of travel even if we don’t know every single step we’re going to take along the way.
STEP 3 — TAKE MASSIVE ACTION
for the person who can effectively manage their time and take action consistently, and do so on a massive scale, any goal is achievable. Thus, part of the secret to success definitely consists of taking action. If you can’t take action, all the goals and planning in the world won’t help you unlock the life of your dreams.
STEP 4 — STAY MOTIVATED
Staying motivated is also a way that you can ensure you take action on a daily basis. But, what are the ways that we can stay motivated even when times are tough and we don’t feel like putting in the work on a given day? How can we still push forward even when nearly every fiber in our beings are screaming that we should either take a break or possibly even give up?
HOW TO STAY MOTIVATED IS ANOTHER LESSON IF POSSIBLE WE WILL DISCUS IT IN ANOTHER PUBLICATION.
WAVES of GLORY Services - WGS
WAVES OF GLORY LEANING RESOURCES CENTER

[09/23/16]   SERIES FOUR(04) Mfululizo wa nne
3. ANZA KUTEKELEZA JAMBO HILO
Ukisha jua namna ya kufanya jambo, hatua inayo fuata ni kuanza kufanya jambo hilo. Hapa nikukukumbushe kitu, Kuna baadhi ya watu husubili wapate kwanza mitaji mikubwa au vitu vikubwa ndipo waanze kukamilisha malengo yao. Kumbuka kua hata mafanikio makubwa huanza kidogokidogo kwahiyo usisubili vikubwa anza na kidogo ulicho nacho.
Gawa malengo lako katika vipende vidogo vidogo kisha anza kutekeleza kipande kimoja kimoja.

[04/16/16]   Your dream is connected to people
-Sales man needs customer
-Doctors needs patients
-Singers needs musicians
-Teachers needs students
So every body you see is an asset for you!

[01/11/16]   Success is like a bicycle when you stop pedaling you will fall, planing is the starting point for any dream or goal that you possess.

WHY? Waves of Glory Services (WGS)

WGS- was a vision from Julius Abasi Kibona coming out in 05/01/2011 especially after knowing his purpose in the world. Life is all about serving God and helping God’s people. Julius noted that he is in the world for only two reasons:


 • Saving God
 • 2. Helping God’s people.

  AIM NOT AN ACCIDENT, I have made for God’s reasons

  Location

  Category

  Telephone

  Address


  Mbalizi

  Opening Hours

  Monday 00:00 - 23:59
  Tuesday 00:00 - 23:59
  Wednesday 00:00 - 23:59
  Thursday 00:00 - 23:59
  Friday 00:00 - 23:59
  Saturday 00:00 - 23:59
  Sunday 00:00 - 23:59
  Other Mbalizi schools & colleges (show all)
  Wenda high school Wenda high school
  Mbalizi, P.O.BOX 1488 MBEYA-TANZANIA

  Welcome to the official Wenda High School page. "OUR UTMOST FOR THE HIGHEST"

  Mbalizi HIGH School Mbalizi HIGH School
  1003 Mbeya
  Mbalizi, +255

  school motto: Zeal and Efficiency

  Mbalizi Polytechnic College Mbalizi Polytechnic College
  P.BOX 4614, Mbeya
  Mbalizi, 25