BEDSC ICT 2013

BEDSC ICT 2013

CHANGIA MAWAZO YAKO PIA PATA TAARIFA

Operating as usual

09/11/2013

BEDSC ICT 2013's cover photo

[11/09/13]   habariiiii mazeee

[11/09/13]   mafunzo yameahilishwa mpaka hapo tutakapotangaziwa kwa mara nyingine tena

HAVE A NICE WEEKEND

[11/08/13]   Mnakumbushwa wana ICT wote kesho saa 3 asubuhi kutakuwa na mafunzo maaluma yatakayotolewa na uongozi wa serikali ya wanachuo pale library.mambo yatakayofundishwa ni k**a ifuatavyo
1,NOTE TAKING
2.SHARPENING YOUR READING SKILLS
3.ACCADEMIC WRITTING SKIILS
4.PRESANTATION SKILLS
5.LOCATING A BOOK IN THE LIBRARY
6.DOING YOUR ASSINMENT
7.HOW TO MAKE A REFERENCE
8.TIME MANAGEMENT
9.PREPARATION OF UE
Unaombwa kuhudhulia mafunzo hayo ni mhimu sana

[11/08/13]   special kwa wale wanaosoma MT111 imebadilika kutokana na hayo mabadiliko kipindi kitakuwa siku ya jumatano saa 8-10 jioni wajulishe na wengine

[11/08/13]   Mnakumbushwa tena wale wa BEDSC ICT jumatatu tarehe 11/11/2013 saa mbili asubuhi kufika library kwa ajiri ya vitambulisho vyenu

08/11/2013

BEDSC ICT 2013

KWA WOTE BEDSC ICT ambao hawajakusanya form zao za usajiri tafadhali leta form yako BLOCK R room no 60.mwana BEDSC ICT unaombwa umuelekeze mgeni yeyote anaefika kuhusu utaratibu huu

CHANGIA MAWAZO YAKO PIA PATA TAARIFA

[11/07/13]   WALE WOTE WANAOSOMA BEDSC ICT CHUO KIKUU CHA DODOMA MNAOMBWA WOTE KUJOIN GROUP HII ILI KUJULISHANA ZAIDI KWA YALE YANAYOJILI

Location

Category

Address


Box 131
Maswa
+255