IdrisaTv online

IdrisaTv online

Pata habari motomoto zikiwemo za elimu, michezo ,burudani na kisiasa pamoja na historia za watu mashuhuri hapa duniani. taratibu ndio mwendo

Operating as usual

15/10/2018

Dullah chafu Ft Raza melody _ Kimenuka ( official singeli Audio)

Kwa wale wapenzi wa singeli, hii hapa singeli mpya kabisa kutoka kwa Dulla Boy Chaf Ft Razameloudy Tz ngoma inaitwa #Kimewaka.. Usisahau kusubscribe, like na kucomment .

Bonyeza hapaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://youtu.be/OF-YPFavgHY

Ni wasanii kutoka Masasi Mtwara ..enjoy a good music

06/08/2018

Kauli mbiu yetu ni "Habari ni haki yako"
Cc: Idrisa Nurudini, Humphrey Van Morise Makavely

[08/06/18]   IdrisaTv online
Itarudi hivi punde kwa Habari kemkem . Tunaomba radhi kwa kimya kilichojitokeza ,hii yote ilisababishwa na uwekaji mpya wa vifaa vya kuendeshea matangazo.

Usisahau kushare na kulike video zetu pia usisahau kusubscribe

Cc: Idrisa Nurudini, Humphrey Van Morise Makavely

24/02/2018

MTWARA; Maonyesho ya ngoma za asili
Bonyeza hapa chini kuangalia

https://youtu.be/KlzxanUXJfQ

Usisahau kusubscribe na kushare

Cc: Idrisa Nurudini

17/01/2018

AJABU KUBWA KUWAHI KUTOKEA DUNIANI NI HILI

https://youtu.be/MxxTXjVVPFA

Ni huko nchini Korea

17/01/2018

AJABU KUBWA KUWAHI KUTOKEA DUNIANI NI HILI

Maajabu ya dunia huko nchini Korea..
Bonyeza hiyo link ujionee maajabu ya dunia huko nchini πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Cc: Idrisa Nurudini

https://youtu.be/MxxTXjVVPFA

Ni huko nchini Korea

12/01/2018

MANENO 10 YATAKAYORUDISHA IMANI YA KIJITUMA

Maneno kumi ambayo yatarudisha imani yako ya kujituma katika kipindi hiki kigumu.
Tazama video mzima kwa kubonyeza hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Cc: Idrisa Nurudini

https://youtu.be/-JMYTVTMntw

Aliyaongea mtangazaji wa clouds media ndugu Harisi kapiga, mwaka jana Usisahau ku subscribe na kushare

12/01/2018

Maombi ya Babu Seya kwa Watanzania.

Babu seya awaomba Watanzania msaada. Tazama video mzima kwa kubonyeza hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Cc: Idrisa Nurudini Ukashizzle De Classic Tz Humphrey Van Morise Makavely

https://youtu.be/kmz4TiQ1P00

Aliyasema hayo pale alipotembelewa gerezani mwaka Jana.

youtube.com 04/01/2018

Idrisa TV Online

Pata Habari motomoto na za uhakika kwa kujisajili na channel hii hapa chini πŸ‘‡πŸ‘‡

https://www.youtube.com/channel/UC8dMWUjqG6JF_o6RmiIzTAg

Cc: Idrisa nurudini

youtube.com Usisahu ku subscribe, like , comment na kushare

04/01/2018

IdrisaTv online

04/01/2018

IdrisaTv online's cover photo

12/06/2017

DakuuuuuπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸƒπŸƒ

millardayo.com 04/02/2017

Maneno ya Wema Sepetu >>> 'Mtumia unga mimi atleast najua kutumia na fursa (Kidding)' - millardayo.com

Maneno ya Wema Sepetu >>> β€˜Mtumia unga mimi atleast najua kutumia na fursa (Kidding)’ http://millardayo.com/wm3/

millardayo.com Mwigizaji staa wa bongomovie ambaye jina lake linatajwa sana sasa hivi midomoni mwa Watanzania baada ya kutajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa kwa tuhuma za utumiaji wa dawa za kulevya, ametuletea APP yake ambayo itakua na habari zake zote. Kwenye post Wema Sepetu aliyoweka kuhusu hiyo APP yake aliandi...

millardayo.com 04/02/2017

CAF imechezesha droo ya CHAN 2018, watakaocheza na Tanzania wametajwa - millardayo.com

CAF imechezesha droo ya CHAN 2018, watakaocheza na Tanzania wametajwa, kila kitu nimekuwekea hapa >>> http://millardayo.com/caf03/

millardayo.com Shirikisho la soka baraniΒ CAF leo Fabruary 3 2017 Libreville Gabon limechezesha droo ya kupanga timu zitakazoshiriki michuano ya mataifa ya Afrika 2018 kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani maarufu k**a CHAN 2018. Droo hiyo imechezeshwa na kwa upande wa timu ya taifa ya Tanzania katika haraka za ku...

millardayo.com 04/02/2017

Leo imetangazwa picha ya Instagram yenye Likes nyingi zaidi duniani - millardayo.com

Leo imetangazwa picha ya Instagram yenye Likes nyingi zaidi duniani, bonyeza hapa kusoma zaidi >>> http://millardayo.com/inst/

millardayo.com Kitabu cha rekodi za dunia cha Guiness kimetangaza picha ya Instagram iliyovunja rekodi kwa kupata likes nyingi zaidi kuliko picha nyingine yoyote iliyowahi kupostiwa. Picha aliyoipost mwimbaji staa wa Marekani Beyonce na kuthibitisha kuhusu ujauzito wake wa Mapacha imeivunja rekodi hiyo kwa kupata…

millardayo.com 04/02/2017

FULL VIDEO: Alichosema mkuu wa Polisi TZ kuhusu ishu ya dawa za kulevya iliyoibuliwa juzi na Makonda - millardayo.com

FULL VIDEO: Alichosema mkuu wa Polisi TZ kuhusu ishu ya dawa za kulevya iliyoibuliwa juzi na Makonda bonyeza hapa kutazama >>> http://millardayo.com/hd02/

millardayo.com Mkuu wa jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Ernest Mangu amekutana na Waandishi wa habari leo February 4 2017 na kuelezea ishu ya dawa za kulevya iliyoibuliwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na kuhusisha baadhi ya watu maarufu na wanaotuhumiwa kufanya biashara hiyo, kila kitu alichosema kip...

millardayo.com 04/02/2017

FULL VIDEO: Wema Sepetu, T.I.D na wengine walivyoingia Polisi kuhojiwa leo - millardayo.com

FULL VIDEO: Wema Sepetu, T.I.D na wengine walivyoingia Polisi kuhojiwa itazame hapa >>> http://millardayo.com/wm033/

millardayo.com Jana February 2 2017 mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda alikutana na Waandishi wa habari na kutaja orodha ya Wanaofanya biashara ya dawa za kulevya na wanaotuhumiwa kutumia dawa za kulevya. Leo baadhi ya waliotajwa wameonekana wakiingia kwenye kituo kikuu cha polisi kati Dar es salaam, tazama k...

22/11/2016

IdrisaTv online's cover photo

22/11/2016

IdrisaTv online

18/11/2015

IdrisaTv online

31/10/2015

IdrisaTv online

[10/31/15]   "kwetu raisi ni mfumo unaochaguliwa na tume...sisi ni wawakilishi na kwenye maamuzi hatumo"........viva roma viva...

[03/03/15]   Leo ni siku ya kuzaliwa kwangu....naomba dua zenu

[12/29/14]   Bado siku mbili mwaka tuumalize.....ni wakati wako wa kushukuru kwa mungu kwa yale yote ambae amekufanyia katika mwaka 2014......na pia kuomba dua ili akujaalie katika mwaka 2015....

[10/21/14]   mambo niaje wadau...........!!?......nafikir nyote wazima......nachoweza kusema n kuwa mungu ametoa na mungu ametwaa.......r.i.p mtu mzima yp........comment r.i.p k**a unakubali kazi zake jamaa......

[07/01/14]   ni furaha ilioje kuanza mwez salama.comment amen k**a umeamka salama ili mwenyezi mungu akulinde katika kipindi chote cha mihangaiko yako ya kila siku...sh

[06/10/14]   K**a unataka ushauri wowote tafadhali andika hapa ili nikushauri.

[06/09/14]   "Nothing wrong in love"plz amini hilo...

Location

Category

Telephone

Address


Maendeleo
Masasi

Opening Hours

Monday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Tuesday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Wednesday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Thursday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Friday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Saturday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Sunday 00:00 - 23:59
09:00 - 17:00
Other Masasi schools & colleges (show all)
Al-Azizu Islamic Center-Masasi Al-Azizu Islamic Center-Masasi
Masasi, 284 MASASI

THE ISLAMIC FOUNDATION MUZDALIFAH NURSERY & PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL P.O.Box 284 MASASI TANZANIA Tel: +255 785470877 Mob: +255 784 460 864

Abbey Sec School - Ndanda Abbey Sec School - Ndanda
Ndanda
Masasi, TANZANIA

Abbey Secondary School. A school apostolate of the Missionary Benedictines of Ndanda Abbey near Masasi Mtwara Region. Here young boys receive intergrated formation: Intellectual, Moral, Spiritual, Social. Try Abbey!

Avasty Training College Avasty Training College
Masasi
Masasi, 284 MASASI

AVASTY TRAINING COLLEGE P.O.Box 284 Masasi-Mtwara Tanzania Mobile: +255 (0)7130884402/788173083 Email:[email protected]