Uraa Vocational Training Centre, Machame Video January 2, 2018, 7:57am

Videos by Uraa Vocational Training Centre in Machame. Chuo cha ufundi Uraa ni Chuo kilicho sajiliwa na VETA kutoa mafunzo ya ufundi stadi, Uashi,Useremala,Ushonaji, Umeme. Chuo kinatoa hadi Level III.

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Uraa anapenda kuwakaribisha kwenye #Mahafali ya Chuo #Pamoja_na_Uzinduzi wa hostel ya Wahitim wa mwaka 2017
. Siku ya tar 17/01/2018
Saa 07:00 mchana
Mgeni Rasmi atakua Mh, Baba Askof F.O.Shoo. na Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini

Other Uraa Vocational Training Centre videos

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Uraa anapenda kuwakaribisha kwenye #Mahafali ya Chuo #Pamoja_na_Uzinduzi wa hostel...

C