Uraa Vocational Training Centre

Chuo cha ufundi Uraa ni Chuo kilicho sajiliwa na VETA kutoa mafunzo ya ufundi stadi, Uashi,Useremala,Ushonaji, Umeme. Chuo kinatoa hadi Level III.

Operating as usual

29/11/2021

Muda Ni sasa #Karibu Ujiunge na Masomo ya Ufundi Stadi, na #Ubunifu!!!

Muda Ni sasa #Karibu Ujiunge na Masomo ya Ufundi Stadi, na #Ubunifu!!!

26/11/2021

Chuo Kina watangazia nafasi za kujiunga kwa Mwaka 2022,
Kwa mawasiliano zaidi
0755 893 565

03/10/2021

"Kwa wale wanahitaji kujiunga na Chuo chetu mwakani, fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni kwetu, karibu sana tukuhudumie."

Au wasiliana nasi kwa namba hizi
+225 755 069 370
+225 672 018 222

10/09/2021

#KARIBUNI_SANA

#KARIBUNI_SANA

25/08/2021

Kupitia mtandao sasa unaeza kujifunza utangulizi wa Forex Kwa lugha ya kiswahili

Kupitia mtandao sasa unaeza kujifunza utangulizi wa Forex Kwa lugha ya kiswahili

24/08/2021

Chuo sasa kinatoa Mafunzo ya Muda mfupi kulinbana na Fani zilizopo, Vyeti vitatolewa Kwa watakao Maliza Mafunzo
KARIBU URAA .V.T.C. FOR BETTER FUTURE
Ukiiskia habari hii mjulishe na mwenzio

Chuo sasa kinatoa Mafunzo ya Muda mfupi kulinbana na Fani zilizopo, Vyeti vitatolewa Kwa watakao Maliza Mafunzo
KARIBU URAA .V.T.C. FOR BETTER FUTURE
Ukiiskia habari hii mjulishe na mwenzio

13/08/2021

Chuo Cha Uraa Vocational Training Centre sasa kinatoa huduma za Bidhaa mbali mbali zinazo tengenezwa Chuoni kulinbana na Uhitaji wa Mteja,
*Furniture za Mbao.
*Furniture za Chuma.
*Nguo za mishono mitindo Mbalimbali
Bidhaa zetu ni zina Ubora wa Hali ya Juu Kwa bei poa.
#Karibuni Sana

20/06/2021

Kwa mafunzo stadi na Ubunifu karibuni Uraa VTC

01/07/2019
19/01/2018

#let_your_dreams_to_be_true. at Uraa Vocational Training Centre
#For
#Masonry_and_blicklaying
#Electrical_Installation
#Motor_Installation
#Welding
#Cappentry_and_journey
#Tailoring_and_designing
#Computer_application_and_entertainment

#striving_for_brighter_future

02/01/2018

Uraa Vocational Training Centre

02/01/2018

Uraa Vocational Training Centre's cover photo

02/01/2018

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Uraa anapenda kuwakaribisha kwenye #Mahafali ya Chuo #Pamoja_na_Uzinduzi wa hostel ya Wahitim wa mwaka 2017
. Siku ya tar 17/01/2018
Saa 07:00 mchana
Mgeni Rasmi atakua Mh, Baba Askof F.O.Shoo. na Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini

27/11/2017

#Striving_for_brighter_future

06/11/2017

#HABARI NJEEMA KWA WOTE
Chuo cha ufundi Uraa kinaawattangazia wale wote wanaoenda mafunzo ya Techologia (computer) tutaanza kuendesha mafunzo ya muda mfupi ifikapo tar 13/11/2017.
wote mnakaribishwa mjulishe na mwenziio mara tu uppatappo tangazo hili

#STRIVING_FOR_BETTER_FUTURE

13/09/2017

Uraa vocatational tunawatengeneza mafundi wazuri kwa habari zaidi fika Chuoni kujionea mwenyewe

13/09/2017

Kwa ufundi mzuri wa kushona nguo za like naza kiume jiunge na chuo cha ufundi uraa kujifunza kushona mitindo mbali mbali

13/09/2017

Uraa Vocational Training Centre

Chuo cha ufundi Uraa ndicho chuo pekee nchini Kwetu kinacho toa mafunzo ya
#Umrme_Wa_majumbani_na_Viwandani kwa pamoja kwa kujali soko LA ajira

#Nyote_mnakaribishwa

13/09/2017

Uraa Vocational Training Centre

Chuo cha Ufundi Uraa kinapenda kuwatangazia nafasi za mafunzo ya ufundi stadi kwa mwaka 2017/2018. Kwa fani zifuatazo

#Umeme Wa majumbani na viwandani.

*#Uashi- na uchoraji ramani za majengo

*#Ushonaji- nguo za harusi na mitindo.

*#Useremala- Kupaua paa za kisasa na kutengeneza furniture

Chuo kimesajiliwa kufundisha hadi Level III kwa ngazi ya VETA
Chuo kipo machame shari mkabala na KKKT usharika wa Uraa.
Chuo kinafikika kwa barabara ya Moshi Arusha kupitia magari ya #Uswaa_bwani, #Masama_Mula na #Machame_Kyalia
#Wote mnakaribishwa
Mawasiliano zaidi #0755069370 au 0763435061

29/08/2017

Hizi ndizo practical za Chuo cha #Uraa
Hao ni wanafunzi Wa #ujenzi #Level2 wakimalizia ghorofa ya Hostel mpya Chuon

28/08/2017

Uraa Vocational Training Centre

24/08/2017

#waalim_wa_fani_ya_UJENZI_Wakiikagua_kazi_iliyofanywa_na_wanafunzi_wa_fani_hiyo

16/08/2017

Chuo cha ufundi Uraa ndicho chuo pekee nchini Kwetu kinacho toa mafunzo ya
#Umrme_Wa_majumbani_na_Viwandani kwa pamoja kwa kujali soko LA ajira

#Nyote_mnakaribishwa

11/08/2017

Chuo cha Ufundi Uraa ndio Chuo pekee kinacho tengeneza mafundi wakuaminika wa #viwandani, #Mashirika na #Taasisi zote za ndani na nje ya Tanzania

11/08/2017

Profile pictures

11/08/2017

Uraa Vocational Training Centre

11/08/2017

Uraa Vocational Training Centre's cover photo

11/08/2017

Mbunge wa Hai mh Freeman Mbowe akiongozana na uongozi wa Chuo wakati alilo watembelea Wanachuo jana tar 10/8

07/08/2017

Chuo cha Ufundi Uraa kinapenda kuwatangazia nafasi za mafunzo ya ufundi stadi kwa mwaka 2017/2018. Kwa fani zifuatazo

#Umeme Wa majumbani na viwandani.

*#Uashi- na uchoraji ramani za majengo

*#Ushonaji- nguo za harusi na mitindo.

*#Useremala- Kupaua paa za kisasa na kutengeneza furniture

Chuo kimesajiliwa kufundisha hadi Level III kwa ngazi ya VETA
Chuo kipo machame shari mkabala na KKKT usharika wa Uraa.
Chuo kinafikika kwa barabara ya Moshi Arusha kupitia magari ya #Uswaa_bwani, #Masama_Mula na #Machame_Kyalia
#Wote mnakaribishwa
Mawasiliano zaidi #0755069370 au 0763435061

07/08/2017

Uraa Vocational Training Centre's cover photo

07/08/2017

Uraa Vocational Training Centre's cover photo

07/08/2017

Profile pictures

07/08/2017

Uraa Vocational Training Centre

Videos (show all)

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Uraa anapenda kuwakaribisha kwenye #Mahafali ya Chuo #Pamoja_na_Uzinduzi wa hostel...

Location

Category

Telephone

Address

Uraa
Machame
25305