Kwamsisi Primary School - Korogwe

Kwamsisi Primary School - Korogwe

Comments

TUNAPASWA KUMSHUKURU MUNGU. SHUKRANI ZA PEKEE KWA WALIMU KWA KAZI KUBWA YA KUWAANDAA WATOTO HAWA, WAZAZI KWA USHIRIKIANO WENU, SERIKALI YA KIJIJI NA HALMASHAURI, HASA MWENYEKITI WA HALMASHAURI, MKURUGENZI WA MJI NA AFISA ELIMU MLITUTIA MOYO SANA. JUHUDI HIZI TUTAZILNDA KWA NGUVU ZETU ZOTE.
HATIMAE UJENZI WA CHOO CHA WALIMU UMEKAMILIKA, PONGEZI KWA WANANCHI WA KWAMSISI, WALIMU, UONGOZI WA KIJIJI NA HALMASHAURI YETU YA MJI KWA MSAADA MKUBWA WALIOTUPA KATIKA KUKAMILISHA UJENZI HUU.

Kwamsisi Primary School is located in the village of Kwamsisi, Kwamsisi Ward, 15 kilometers from Korogwe Town Council. The school is located on the West of Korogwe.

This school was founded in 1946 and was in the school program for rural development project during the period of socialism. The school also is situated five kilometers from the main road Segera- Arusha at Kwakombo village.

06/04/2017

wazawa wa Kwamsisi kuna haja ya kujenga shule ya pili .ona watoto wetu walivyo wengi kwenye darasa moja tena la kwanza,kweli watajua kusoma wote?

[09/01/16]   Nawapongeza sana walimu wa Shule ya Msingi Kwamsisi kwa kuamua kuchimba shimo la choo cha walimu kwa mikono yao. Haya ndiyo maamuzi magumu kwangu ya mwaka 2016, big up!

[12/28/15]   Heri ya mwaka mpya wanafunzi woooote

[11/21/15]   Hivi karibuni tunamaliza mhula wa pili wa masomo, Tunawatakia likizo njema wanafunzi wote popote walipo,

Tunawapongeza sana wanafunzi wa Shule ya Msingi Kwamsisi waliohitimu masomo yao Sept 2015 kwa ufaulu wao wa asilimia 100 za BRN.

Hivi karibuni S/M Kwamsisi itaanzisha project kubwa ya "CHANGIA SHILINGI" project hii itawahusu wana Kwamsisi wote wanaoitakia mema shule yao iwe wamewahi kusoma hapa au kuishi, Vilevile project itawagusa marafiki zetu wa hapa FB na watanzania wote, makamuni na taasisi zote zilizopo maeneo yetu ya karibu.

Tunawaomba wote mliowahi kupitia shuleni hapa kutuunga mkono pindi wakati na taratibu zote zikikamilika ili tuboreshe miundo mbinu ya shule kwa kukarabati majengo, ofisi na kuweka umeme katika baadhi ya majengo ikiwemo ofisi, madarasa na nyumba moja ya mwalimu ili tuweze kutumia teknolojia katika kufundisha/kujifunza.

Tunaomba ushauri wenu juu ya jambo hili...

[09/15/15]   kuna tetesi kwamba wazazi wa wanafunzi wamegoma kuchangia chakula cha mchana kwa ajili ya watoto wao. Je hili lina ukweli? na wewe mdau wa maendeleo ya kitaaluma kijijini Kwamsisi unalisemeaje hili?

last day in school- sept. 2015 13/09/2015

the signing out from Kwamsisi Primary School, Wonderful and sucssessful journey

the signing out from Kwamsisi Primary School, Wonderful and sucssessful journey

[11/29/14]   Tunawatakia wanafunzi wenzetu na walimu wao likizo njema.....Tunawatakia pia heri ya sikukuu zote za mwisho wa mwaka na zaidi....Heri ya mwaka mpya wa 2015..Tunawashauri wazazi wote watuandalie vifaa kwa ajili ya mhula mpya wa masomo!

saadan tour 18/11/2014

students enjoying the tour

students enjoying the tour

18/11/2014

Kwamsisi Primary School - Korogwe's cover photo

Untitled Album 30/07/2013

School Water, Sanitation and Hygiene (SWASH). Hii ni zana ya kuoshea mikono baada ya kutoka msalani kwa wanafunzi. wananchi hasa maeneo ya vijijini wanahimizwa kutumia zana hizi. Vinaitwa Vibuyu Chirizi

School Water, Sanitation and Hygiene (SWASH). Hii ni zana ya kuoshea mikono baada ya kutoka msalani kwa wanafunzi. wananchi hasa maeneo ya vijijini wanahimizwa kutumia zana hizi. Vinaitwa Vibuyu Chirizi

24/05/2013

closing day

16/05/2013

Neema za chakula cha mchana mashuleni, hili linawezekana kwa shule zote Tanzania?

[05/10/13]   Kwamsisi Primary School is facing a serious problem of clean and safe water for regular use of students. A reliable source of water available is the Pangani river situated three kilometers and a half (3.5 Kms) from the school, resulting in students spend a lot of time to fetch some water about three times a week, and lose a lot of studying periods.
In addition, the research on worms and bilharzias disease, data suggest that Kwamsisi Primary School is one of the schools that its students are mostly affected by these diseases, the main reason being lack of access to clean and safe water for students.

10/05/2013

SELF RELIANCE PROJECT

07/05/2013

Kwamsisi Primary School - Korogwe's cover photo

07/05/2013

vijana wakifanya vitu vyao

07/05/2013

Tradition Ngoma at Kwamsisi! its very fun during Stadi za Kazi lesson!

30/04/2013

Kwamsisi Primary School - Korogwe's cover photo

Location

Category

Address

P.O.Box 535
Korogwe
Other Korogwe schools & colleges (show all)
Kwakombo Primary School Kwakombo Primary School
P.O.BOX 266
Korogwe, TANGA

We are dedicated to offer in spite of our challenges a very good quality education to our students!