Data And Research Enterprises

Data And Research Enterprises

DARE is the abbreviation of Data And Research Enterprises, DARE is concerned with Research activities, Data analysis, Data Management, Programme design such as Preparation of Strategic Plan, Consultancy and Trainning

DARE TANZANIA is a Tanzania, globally recognised leader in the development of data-driven insights and ideas. We provide insights into the rapidly changing needs and preferences of consumers, and ideas about how brands can engage customers and what their businesses should do to succeed. Quite simply, using data, analytics and technology, DARE TANZANIA enables brands to create new and sustainable s

Operating as usual

[08/23/19]   "If You Are At An Advantaged Position, Allow Others to reach and attain their small goals through your assistance! Be a pillar, not nn Obstacles" Hon. Uhuru Kenyatta, the president of Republic of Kenya #sharingiscaring

[04/21/19]   Tunawatakia Pasaka Njema/Wish you happy passover, May Jesus victory be revealed in our lives.

08/05/2018

Data And Research Enterprises

Thanks for following our page, we promise to offer the best services

DARE[T] LTD essentially deals with research works and data management in the aspects of training,consultancy and advocacy

[06/05/17]   AINA TANO (5) ZA UWEKEZAJI ZINAZOWEZA KUBADILI MAISHA YA JAMII

Ili kuweza kupata mafanikio endelevu katika maisha yako ni muhimu ukawa mwekezaji au ukasaidia uwekezaji. Uwekezaji upo wa aina nyingi. Hapa ninakuletea aina za uwekezaji unazoweza kuzifanya ili kukuwezesha wewe na wale watu wako wa karibu kuishi maisha ya utajiri wa kujitosheleza:

1. Uwekezaji binafsi
Watu ambao wanatengeza utajiri wanafanya uwekezaji binafsi. Hawa wanakuwa wasomaji kwa kujifunza. Daima huweka jitihada ya kujiboresha wao wenyewe siku hadi siku na kuongeza mipaka ya maeneo ambayo wanona wakijaribu watafanikiwa. Wanaongeza maarifa na uwezo wa kushawishi siku hadi siku. Na kiwango cha jitihada wanachoweka katika kujiboresha huwa kipo katika hali ya kukua siku hadi siku..
2. Kuwekeza kwa wengine
Mwanamafanikio maarufu duniani Zig Ziglar alisema ukitaka kupata kitu chochote katika maisha ni vizuri uwasaidie wengine wapate vile wanavyovihitaji katika maisha yao. Watu wenye utajiri utagundua wamewekeza kuwasaidia wengine wafikie malengo yao na hivyo kusababisha na wao kufanikiwa kwa kuwafanikisha wenzao.
3. Wekeza katika taasisi
Katika taasisi unayofanya wekeza katika kuijenga taasisi hiyo ili iweze kuwa bora na taasisi inapoweza kuwa bora inawezesha kuongeza upataji wa mapato. Kuongezeka kwa mapato kwa taasisi kwa ujumla kunasaidia pia wale waliosababisha kuongezeka kwa mapato kuneemeka na hiyo faida. Kwa hivyo hili likifanyika katika kipindi chako cha kutumikia taasisi yako maanake utaongeza kujenga utajiri siku hadi siku.
4. Wekeza katika mali zinazoongezeka thamani
Ubadilishaji wa fedha kwenda katika mali ambazo zinaongezeka thamani na zinafanya kazi badala yako siku hadi siku huongeza utajiri kwako. Mfano wa hili ni nyumba ambayo imejengwa kwa lengo la kupangasha au kukodisha. Sasa ile fedha uliyowekeza katika hiyo nyumba utaipata kwa kuendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka bila ya wewe kufanya kazi.
5. Wekeza katika mawazo
Vitu vingi tunavyoviona leo havikuanza moja kwa moja bila kupitia hatua fulani, vingi vilianza k**a wazo na kuendelezwa. Mawazo amabyo ni mazuri yakichanganywa na uchukuaji hatua wa kuyaweka katika matendo huleta matokeo mazuri ambayo yanaleta utajiri. Hivyo k**a unataka kubadiri maisha yako wekeza katika mawazo na kisha weka uthubutu wa kutekeleza mawazo yako.

[05/31/17]   MFUKO WA KUENDELEZA WAJASIRIAMALI WANANCHI

Mfuko huu ulianzishwa mwaka 1994 kwa Azimio la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaendeshwa na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO)

Madhumuni na Walengwa wa Mfuko
Kutoa mikopo kwa wenye viwanda vidogo na wafanyabiashara wadogo Tanzania Bara kwa lengo la kuondoa umasikini kwa kuanzisha na kuendeleza miradi yao katika sekta ya uzalishaji inayohusika na viwanda vidogo, kilimo na kusindika vyakula (matunda na mboga), ufugaji na madini, sekta ya biashara inayohusika na uuzaji wa vyakula na vinywaji, maduka ya bidhaa mchanganyiko.Sekta nyinginezo ni k**a vile afya (maduka ya dawa baridi), huduma za uchapishaji, ujenzi, utalii na uchukuzi.

Masharti/Vigezo vya utoaji Mikopo chini ya mfuko huu
i. Muombaji awe ni raia wa Tanzania
ii. Mradi/Biashara unaoombewa mkopo uwe umeasajiliwa kihalali na wenye uwezo wa kukopesheka
iii. Makazi ya Muombaji yawe ya kudumu na yanatumbulika na kiongozi wa serilali za Mitaa
iv. Muombaji wa mkopo awe nie mmiliki halali wa Mkopo
v. muombaji awe na uwezo na nia ya kurejesha mkopo kwa muda uliopangwa
vi. Muombaji wa mkopo awe tayari kufungua akaunti ya Benki kwa jina la biashara yake
vii. Kwenye mikopo ya mtu mmoja mmoja muombaje awe na wadhamini wawili wenye dhamana
viii. Kwenye Mikopo ya Vikundi muombaji awe tayari kujiunga kwenye vikundi vya mshik**ano na kuweka akiba ya mkopo k**a dhamana ya mkopo

Muundo wa Mkopo
i. Muda wa Marejesho ni kuanzia miezi 6-36 kulingana na kiwango cha Mkopo
ii. Kwa mikopo ya Vikundi marejesho ya mikopo hufanyika kwa wiki au Mwezi
iii. Riba ya mkopo ni asilimia 18% kwa miradi ya uzalishaji na asilimia 22% kwa miradi ya biashara
iv. Kiwango cha mkopo ni hadi hadi shilingi milioni tano kwa miradi ya uzalishaji.
Kwa maelezo zaidi wasilina na /tawi lolote lililopo karibu nawe

SIDO Headquarters,
Road,
Upanga,
P.O. Box 2476,
Tel: (022) 2151945/8
E-mail: [email protected]
Wed-site: www.sido.go.tz
Dar es Salaam.

Videos (show all)

"Dhambi ya Ubaguzi haina mwisho" Mwl J.K Nyerere,  ndugu zetu wazawa wa afrika ya kusini baada ya Kuwamaliza Wageni, Mta...
MFUKO WA VIJANA NA WANAWAKE(YOUTH &WOMEN FUND)Mfuko huu unatokana na asilimia 10 ya Mapato ya ndani ya Serikali za mitaa...

Location

Products

training, consultancy on research works, advocacy on research works, data management,data analysis

Telephone

Address


P.O BOX 35728
Kasulu

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Other Kasulu schools & colleges (show all)
BOGWE Secondary School BOGWE Secondary School
100 Kasulu
Kasulu

BOGWE SECONDARY SCHOOL IS LOCATED AT KASULU DISTRICT

Magaba Secondary School Magaba Secondary School
P.O.Box 264, Kasulu,Kigoma.Tanzania
Kasulu, 262

MAGABA Secondary School is a school with a division of Science, Business and Art.