Kahama S.DA English medium school

Kahama S.DA English medium school

Comments

MUNGU WALINDE WATOTO NA KUWATUNZA WAPE HEKIMA NA ELIMU BORA WAKAITANGAZE SHULE.
Kahama Open High School

Pre-Form One Programme

Hostel zipo
Wakati sasa umewadia kwa kanisa la mungu kuwa na huduma za kujitegemea k**a vyuo vikuu, vyuo vya ufund, shule za primary, sekandary na A level,hospital kwan itafka kpindi cc wasabato tunachangamoto katika shule za ki rom kwan hakuna uhuru wa kuabudu siku ya jumamosi mungu bark kanisa lako liweze kujtegemea kwa kila kitu pale inapowezekana
wanafuzi amujambo xoco

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kahama S.DA English medium school, [email protected], Kahama.

Operating as usual

[06/27/20]   Tangazo
Ndugu mzazi
Uongozi wa kahama SDA pre& primary school unakuomba
Yafuatayo yanapaswa kuzingatia mara mtoto anapokuja shule.
1.Watoto wote wa bweni wataripoti tarehe 28/6/2020.
2. Watoto wa bweni watakabidhiwa kwa uongozi wa shule na wazazi wao.
3.Kwa wale wanaodaiwa ada mhula wa kwaza hakikisha unalipa maana ada yako ndiyo husaidia uendeshaji wa shule.
4.Barakoa zote za watoto ziwekewe majina yao
5.watoto wote wa kutwa watachukuliwa kwenye vituo vyao tarehe 29/6/2020.

07/06/2020

The good school for the best future

08/12/2019
08/12/2019

[02/23/19]   Kahama SDA English medium schoo ni shule inayo mjenga mtoto kuwa raia bora wa duniani na mbinguni.
Je itakufaidi nini ukipata dunia yote harafu ukose mbingu.

23/02/2019

Kahama S.DA English medium school

04/11/2018

Tunaendelea kuuona Mkono wa Bwana

[07/30/18]   God is good

[03/23/18]   Tunamshukuru Mungu kwa kutulinda kwa nusu mhula huu

12/01/2018

Glory to God

[12/25/17]   Uongozi wa kahama SDA English Medium school unawatakia mapumziko mema ya mwisho wa mwaka
na kuwashukuru wadau wote waliojitolea kutusapoti kwa hali na mali kwa mwake 2017, tunasema asante na MUNGU awabariki .

[12/03/17]   Uongozi wa shule ya awali na msingi ya Kahama S.DA Pre & Primary English medium school wanayo furaha kukutangazia nafasi za masomo kwa darasa la kwanza. Na pia tunazo nafasi chache kwa wanafunzi wanaohamia kwa darasa la pili hidi la saba
Shule inafanya vizuri katika mtihani ya kitaifa .
Ewe mlete mwanao abate elimu bora na si bora elimu

[11/14/17]   Karibu Kahama SDA Pre & Primary English medium school moja kati ya shule bora kitaaluma na kiroho melete mwanao apate elimu bora na si bora elimu
Kilicho halisi huishi hudumu

[09/16/17]   Kesho ni siku maalum katika shule ya kahama SDA kutakuwa na mahafali ya pili kwa darasa la saba. Itakayofanyika kwenye viwanja vya shule Kahama SDA Pre& Primary English medium school iliyopo maeneo ya mbulu Mission kila mutu anakaribishwa
"Tumeuona mkono wa MUNGU"

03/09/2017

Kahama S.DA English medium school

22/07/2017

Moja kati ya mabweni ya wasichana yaliyo kwenye hatua za mwisho Katika Shule ya Kahama SDA Pre& Primary English Medium school

[07/14/17]   Ni katika pumziko la sabato Takatifu
BWANA ongoza nafisi yangu....

[05/20/17]   After Sabbath we are preparing ourselves for job

[12/14/16]   Kahama SDA Pre & Primary school ni shule nzuri kwa ajili ya maendeleo ya kielimu, kiroho na hata kimwili mletete mtoto wako apate elimu bora kwa ajili ya maisha yake ya dunia na ulimwengu ujao.
ichague kahama SDA Pre & Primary uonetofauti

24/11/2016

Timeline Photos

18/11/2016

The blessed pupils

[10/23/16]   Mungu anaendelea kututumia katika kazi yake;

14/10/2016

Kahama S.DA English medium school

14/10/2016

Kahama S.DA English medium school's cover photo

[08/07/16]   BWANA Yesu asifiwe

[07/09/16]   Tunazidi kuwakaribisha wazazi na walezi kwenye shule yenye umezo mkubwa wa kumulea mtoto kiroho,kimwili na kiakili
Shule ipo Kahama mjini maeneo ya mbulu

14/06/2016

Kwa wale mlio Kahama na viunga vyake karibuni katika mkutano mkubwa wa Neno la Mungu
Ni maeneo ya Igomelo karibu na ofisi za halimashauri ya Musalala
Mhudumu ni Mwinjilisti wa kimataifa Pr Godwin Lekundayo
Njoo baba, mama,Shahangazi ,kaka na dada yangu uuone mkono wa Bwana.

[04/26/16]   Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.

[04/13/16]   Mungu #mutakatifu #ibarikishule hii kwa sababu ipo ili jina lako litukuzwe

[04/11/16]   Karibuni sana Kahama SDA PRE & PRIMARY English medium school.

Location

Telephone

Address

Other Kahama schools & colleges (show all)
Nyakato Parent's Nursery School-Kahama Nyakato Parent's Nursery School-Kahama
Kahama, 255

ABOUT US. We provide preschool education to unfortunate children aged 3-6yrs who cannot attend pre- school due to family vulnarability.

Sunset pre & primary school Sunset pre & primary school
Kahama
Kahama, SHINYANGA

Shule ipo kahama -Shinyanga ni ya awali na msingi,pia ni ya bweni na kutwa.Mlete mwanao apate elimu na malezi bora kwa taifa la kesho.

Care-JHS-saint John Humanae School. Care-JHS-saint John Humanae School.
Care-Jhs PO.BOX 648
Kahama

https://www.linkedin.com/in/care-jhs-75b6577a Care-Jhs figures out on social basic needs to the children,today and tomorrow backcloth of work in schools,in primary schools.

Kahama college of health sciences Kahama college of health sciences
P.o Box 424
Kahama

Ni chuo kinachotoa mafunzo ya sayansi za afya na jamii.