CDTI RUAHA

CDTI RUAHA

Comments

Mazngla yanpendza
Telesia kikove
What's on your mind?habar zenu ndugu post zimetka Jan asee has kwa wale tunaotaka kuja kusoma huko ruaha cdti sasa jaman hatujui namn ya kupata form
Yatumien mamboma5 yafaid kabla ma5 yahasar, 1 ujana -kbla yauzee, 2 utajir -kbla umaskin, 3 uzima -kbla ya maradh, 4 mudawak -kbla yamajukum, 5 uhay wako ,kblaya umaustp; haya tukiyazinga tia tutafaulu fidunia wl akher inxhaallh mwyixho mwema.
NTA #level#_ 4 #2019/2020#

#Never# fail CDO's at #NATIONAL# _level_ by _##PROFESSIONAL##_๐Ÿ“–๐Ÿ“–๐Ÿ“–๐Ÿ“˜๐Ÿ“—๐Ÿ“˜๐Ÿ“—๐Ÿ“š๐Ÿ“”

_#Agents#_ change๐Ÿ”๐Ÿ”
Oya chuo kinafunguliwa ln mbna bado c elewi nimemaliza form 4 mwaka jana please nisaidien mwana cdti mwenzenu
Bruno
Mugu nisaidie
Iko vizir hongela
Vipi

Chuo Cha Maendeleo ya Jamii kinachotoa Elimu ngazi ya Cheti NTA Level 4 na Diploma ngazi ya awali NTA Level 5 kilichopo Iringa IPOGOLO.

05/12/2020

Habari za weekend??

29/05/2019

ruahacdti.ac.tz

Piga simu namba 0717767549 kwa maelekezo ya namna ya kujiunga na chuo au tembelea tovuti www.ruahacdti.ac.tz

ruahacdti.ac.tz

26/05/2019

ruahacdti.ac.tz

Ingia hapa kupata taarifa za udahili wa wanafunzi kwa mwaka 2019/2020
www.ruahacdti.ac.tz

ruahacdti.ac.tz

07/06/2017

change maker mpo

Tanzania โ€” Ministry of Community Development, Gender and Children 27/06/2016

Tanzania โ€” Ministry of Community Development, Gender and Children

KWA WALE MNAOTAKA KUPATA MATOKEO YENU, YAPO KWENYE TOVUTI HII: www.mcdgc.go.tz

Tanzania โ€” Ministry of Community Development, Gender and Children Ministry of Community Development, Gender and Children (MCDGC). The Ministry's mandate as stipulated in the government notice was development of policy on gender affairs, community development programmes, family planning, parastatal organizations and its management.

16/11/2015

Mliopo Tengeru toeni ushirikiano kuna watu wanataka kujua kama wanaweza kujiunga diploma na form zinapatikana wapi. Asanteni na siku njema.
Maendeleo ni kwa mtu mmoja mmoja kisha taifa kwa ujumla

Tanzania โ€” Ministry of Community Development, Gender and Children 17/06/2015

Tanzania โ€” Ministry of Community Development, Gender and Children

HABARI ZENU?

HATIMAYE MATOKEO YAMETOKA KWA VYUO VYOTE VYA C.D.T.I NA C.D.T.T.I YAANI, BUHARE, MONDULI, RUNGEMBA, RUAHA, MLALE, UYOLE, MABUGHAI NA MISUNGWI.

UNAWEZA KUYATAZAMA KUPITIA www.mcdgc.go.tz

Tanzania โ€” Ministry of Community Development, Gender and Children Ministry of Community Development, Gender and Children (MCDGC). The Ministry's mandate as stipulated in the government notice was development of policy on gender affairs, community development programmes, family planning, parastatal organizations and its management.

10/06/2015

habari zenu

kwa wale mnaoenda kuchkua vyeti chuoni hakikisha unakitambulisho chako cha chuo maana ukifika pale wanaulizia kitambulisho chako kipindi unasoma pale kipo wapi ili ukiache na upewe Cheti

muwe na siku njema

14/01/2015

Hatimaye matokeo yametoka. Na tayari yamebandikwa

10/12/2014

Habari zenu? Tunawatakia likizo njema!

Admin:

23/11/2014

Tunawatakia mitihan mema ya semister ya kwanza kwa CDTI MONDULI, BUHARE, RUNGEMBA, RUAHA, UYOLE na MLALE.

ADMIN 1.

Photos from CDTI RUAHA's post 19/10/2014

BONANZA At mkwawa univerity CDTI tumejitahidi sponsered by amua tanzania
admin alex bayxer

29/09/2014

polen na mitihani guys...
by admin bayxer

27/09/2014

vp wadau uchaguz mmejiandaaje CDO"s
by admin bayxer

23/09/2014

habar zenuuu
byadmin bayxer

Mobile uploads 31/08/2014

Lewandowsk & Google

Photos from CDTI RUAHA's post 31/08/2014

Monduli CDTIMasela wote wa ruaha,buhare,lungemba cdti's zote tumewamic sana

21/07/2014

POLENI SANA WALE MNAOFANYA MTIHANI WA SUPPLIMENTARY NA SPECIAL KWANI IMEKUWA GHAFLA SANA.

21/07/2014

kiukwel nmewa mc

09/07/2014

STORY YA KUSISIMUA
- - - - - - - - - - - - - - -
Siku moja MANJANJAGALA na ROJA walikwenda kwa MGANGA. . . . . .

(itaendelea wakirudi).


Admin:arthur

26/06/2014

hongereni kwa matokeo mazuri & mliopata supplementary msivunjike moyo jiandae vizuri mpka tarehe ya kufungua chuo itakapotangazwa

na mwaka mpya wa masomo

Mobile uploads 25/06/2014

Tuendelee kumwombwea Edwin Mwanri katika kipindi hiki kigumu baada ya kufiwa na baba ake. Mungu amwongoze na kumpa faraja yeye na familia take

Amen

25/06/2014

Matokeo yametoka NTA LEVEL 4 & NTA LEVEL 5 Unaweza kuyacheki kupitia

http://www.mcdgc.go.tz

Click iyo link ila hakikiasha simu yako inakitu kinaitwa PDF ili iweze kufungua izo folder kwa wenye PC its simple

Hongereni kwa waliofaulu

25/06/2014

HATIMAYE MATOKEO YATOKA

Mobile uploads 24/06/2014

Friends Cdti ruaha

Luk they are so happy

What a fantastic photo

@Nancy & John

24/06/2014

I mc u guys!!
:-*by admin bayxer''

16/06/2014

Tangazo

Masnich wote mnaotarajia kuja kumalizia Mondoli bora muende lungemba na buhare maana tumewachoka kama inakuja chuo kufatilia maisha ya watu tutakufanya vibaya na huta amini

Masnich msije monduli mtarudi kwenu na makovu

Mobile uploads 12/06/2014

Let us enjoy the world cup while we are waiting the semester result

Much luv enjoy ur holiday

29/04/2014

Tunawatakia maandalizi mema ya mtihani wa semister

Admni 1.

Mobile uploads 09/04/2014

Mobile uploads

Mobile uploads 09/04/2014

Mobile uploads

Mobile uploads 09/04/2014

Haaaaaaa mitihani ya Leo

Accounting & entraprineurship

Kwa kweli wameshika wengi au kwa upande wako unasemaje

04/04/2014

All pic by admin

Lewandowsk jr

Photos from CDTI RUAHA's post 04/04/2014

Photos from CDTI RUAHA's post

Photos from CDTI RUAHA's post 04/04/2014

Photos from CDTI RUAHA's post

Location

Category

Address

254
IRINGA
Other Education in IRINGA (show all)
Brilhante f.c" Brilhante f.c"
Iringa, 84500-000

falamos sempre sobre futebol

Mafinga College of Health and Allied Sciences -Mafinga CHAS Mafinga College of Health and Allied Sciences -Mafinga CHAS
P.O.BOX 35, Mafinga
Iringa

The Mafinga College of Health and Allied Sciences is one of the oldest Health Training Institution in Tanzania. Initially was established in Iringa in 1973

Iringa Iringa
IRINGA
Iringa

KTA KTA
Iringa, P.O.BOX 246, IRINGA.

Karibu Tanzania Association (KTA) is an umbrella organization whereby all 55 Folk Development Colleges (FDCs) in Tanzania are members.

YOUTH VISION YOUTH VISION
P.o.box 1509
Iringa

We are operating programmes based in our thematic areas of Enterpreneurship and lifeskills, Environment conservation and Tourism

Tosamaganga High School Alumni Tosamaganga High School Alumni
Tosamaganga
Iringa, 026

Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya wadau kupata taarifa kuhusu shule ya Tosamaganga na mikakati ya "alumni" wake kuboresha Taaluma na miundo mbinu

St. James Kilolo Secondary School St. James Kilolo Secondary School
P.O. BOX 2380
Iringa

School History St. James Kilolo Secondary school was started since 2nd May 2011, It is located at Utengule village Kilolo district in Iringa region, about 5Kilometre from Kilolo town. The school was founded by Bishop Tarciruis J.M. Ngalalekumtwa who is

The Global Afrikan Journal of Research The Global Afrikan Journal of Research
Iringa, P.O. BOX 200

From Theory to Praxis in the Development of Afrikan Power!

Networking & Web design Networking & Web design
P.O BOX 118 Iringa-Tanzania
Iringa

Don Bosco VTC Iringa Don Bosco VTC Iringa
P.o Box 159
Iringa

The center, which opened in 1981, initially just ran a small-scale printing course. In 1984 clothing manufacture and carpentry were added to the curriculum. In 1986 it became an officially recognized school for CBA students

Mkwawa sec school Mkwawa sec school
Mkwawa
Iringa

Kukaye Moto Cultural Centre Kukaye Moto Cultural Centre
P.o Box 286
Iringa, +255

Kukaye Moto Cultural Centre is a Socio-Cultural Learning Institution established for developing and promoting African Culture around the globe.