Usafi wa mazingira

Usafi wa mazingira

mazingira ni muhimu katika jamii kwaiyo yanatakiwa yawe safi sikuzote zamaisha yetu

Operating as usual

[10/14/14]   Tusafishe vyoo tuchome takataka tufyeke nyasi zilizopo pembe zoni mwa nyumba zetu tufukie vidimbwi vya maji machafu kuna wengine hawana vyoo,jamanivyoo vya muhimu tusipo kuwa na vyoo mazingila hayata pendeza lazima mazingila yawe safi siku zote

14/10/2014

Usafi wa mazingira

[10/14/14]   tujitaidi kuweka mazingila kuwasafi sikuzote kukuchapo maana mazingila safi kwa upande mwingine ndiyo uhai wetu kunaathali nyingi zakuwa mazingila machafu,yakwanza ambayo ninzito zaidi kuliko ni,KIPINDUPINDU.namilipuko mingi mibaya,tujiepushe kwakusafisha mazingila usafi ndo kilakitu kwetu

[10/14/14]   najuwa sote tunajuwa umuhimu wa mazingila, mazingila yakiwa safi na afya zetu zinakuwa imala,kwamfano.. mazingila yanyumba yakiwa masafi unaweza ukajiamini popotepale

07/10/2014

usafi nimuhimu kwa afya zetu

Location

Telephone

Address


Iringa-Mvumi
RLABS
Other Iringa-Mvumi schools & colleges (show all)
Preventdrugabusecampany Preventdrugabusecampany
[email protected]
Iringa-Mvumi, +255

Kupiga vita dhidi ya matumizi ya madawa ya kulevya

Children planet nursery school Children planet nursery school
[email protected]
Iringa-Mvumi, RLABS

nimeamua kudili na watoto kwasababu naona jamii nyingi zimekuwa zikiwatelekeza watoto na haki mojawapo ya mtoto ni kupata elimu