New Montesori

New Montesori

chuo kinatoa elimu ya ualimu wa watoto wadogo.ealychildhood education for diploma and Certificates.ada ni nafuu sana.karibu wote kariakoo Dares salaam mtaa wa pemba.

Operating as usual

15/09/2018

[08/18/17]   Aa

02/02/2017

New Montessori training College kwa kozi ya Malezi ya watoto, Ualimu wa Nursery school, Nasaha kwa watoto wa shule. Entrepreneurs na Life Skill.
Je unatamani ajira karibu chuoni Mnazimmoja.
MAWASILIANO :0673922392

02/02/2017

New Vibe Nursery and Primary School inakutangazia nafasi za masomo kwa mwanao Day care miaka 2-4,Nursery school 4-6,Primary school mtoto wa miaka 6-15.
MAWASILIAMO :0684476272
KARIBUNI

20/08/2016

Timeline Photos

04/02/2016

Timeline Photos

03/02/2016

Timeline Photos

03/02/2016

Timeline Photos

03/02/2016

Timeline Photos

25/12/2015

Timeline Photos

[12/16/15]   1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani.

2. Akatamka mgonjwa,
ninaumwa kwelikweli,
Hata kama nikichanjwa,
haitoki homa kali,
Roho naona yachinjwa,
kifo kimenikabili,
Semeni niseme nini,
kiwafae maishani.

3. Yakawatoka kinywani,
maneno yenye akili,
Baba yetu wa thamani,
sisi tunataka mali,
Urithi tunatamani,
mali yetu ya halali,
Sema iko wapi mali, itufae maishani

4. Baba aliye kufani,
akajibu lile swali,
Ninakufa maskini,
baba yenu sina hali,
Neno moja lishikeni,
kama mnataka mali,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

5. Wakazidi kumchimba,
baba mwenye homa kali,
Baba yetu watufumba,
hatujui fumbo hili,
akili zetu nyembamba,
hazijajua methali,
Kama tunataka mali,
tutapataje shambani?

6. Kwanza shirikianeni,
nawapa hiyo kauli,
Fanyeni kazi shambani,
mwisho mtapata mali,
haya sasa buriani,
kifo kimeniwasili,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

7. Alipokwisha kutaja,
fumbo hili la akili,
Mauti nayo yakaja,
roho ikaacha mwili,
Na watoto kwa umoja,
wakakumbuka kauli,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

8. Fumbo wakatafakari,
watoto wale wawili,
wakakata na shauri,
baada ya siku mbili,
wote wakawa tayari,
pori nene kukabili,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

9. Wakazipanda shambani,
mbegu nyingi mbalimbali,
tangu zile za mibuni,
hadi zitupazo wali,
na mvua ikaja chini,
wakaona na dalili,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

10. Shamba wakapalilia,
bila kupata ajali,
Mavuno yakawajia,
wakafaidi ugali,
Wote wakashangilia,
wakakumbuka kauli,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

11. Wakanunua na ng'ombe,
majike kwa mafahali,
wakapata na vikombe,
mashine na baiskeli,
Hawakuitaka pombe,
sababu pombe si mali,
Kama mnataka mali,
mtayapata shambani.

12. Wakaongeza mazao,
na nyumba za matofali,
Pale penye shamba lao,
wakaihubiri mali,
Wakakiweka kibao,
wakaandika kauli...

"KAMA MNATAKA MALI
MTAIPATA SHAMBANI".
🚶🚶🚶🚶🚶🚶

Miaka hiyo niimba tu kama kujifurahisha wala sikujia maana yake, leo natambua nini maana yake

12/11/2015

Karibuni

03/10/2015

Mobile Uploads

16/09/2015

Mobile Uploads

11/08/2015

Mobile Uploads

11/08/2015

New Montesori

11/08/2015

New Montesori

26/06/2015

Chuo kinaanza masomo 4/1/2016
Tupo Mnazimmoja karibu kabisa na jengo laushirika.
Masomo. English, Computer, Tuition Form I hadi form IV Arts subjects.
Teacher Training courses

12/06/2015

Guys thank you very much for your time and effort

07/06/2015

Cheti

02/06/2015

2015 Graduu

18/09/2014

Timeline Photos

[09/16/14]   MAAFALI YA TANO YA CHUO CHETU NEW MONTESSORI TEACHER;S COLLEHE KESHO TAREHE 16/9/14 KARIBUNI

14/08/2014

Timeline Photos

02/03/2014

the desire to learn

02/03/2014

we welcome all for our programe
Teachers training course and Nursery

22/01/2014

the best man have a little time to relax after hard working

28/12/2013

every thing you do just focus on its goal,and it will happen in very short time.

28/12/2013

we see the future by hope and believe,we know that the end we will celebrate our outcome

26/11/2013

Timeline Photos

26/11/2013

Our tutors

26/11/2013

seminar for pre and Primar School teachers

[09/12/13]   KARIBUNI KATIKA SEMINA KUBWA YA ELIMU TUJIFUNZE PAMOJA KATIKA KUWASAIDIA WANAFUNZI WETU KATIKA NJIA SAHIHI NA BORA
TAREHE 4 NA 5 OCTOBER
CONTACT US [email protected]

17/08/2013

GREAT MY STAFF FOR THIS

17/08/2013

CONGRADUATION MY STUDENT
VERY GOOD

Location

Telephone

Address


12232 Dar Es Salaam
Ilala
PEMBA STREET KARIAKOO
Other Ilala schools & colleges (show all)
Da Legend of Buyuni Secondary School Da Legend of Buyuni Secondary School
Ilala

GET TO KNOW LEGENDS OF THE SCHOOL

Education and expedition Agency Association' EEAA' Education and expedition Agency Association' EEAA'
Ilala

Motto. Human understanding and civilization is much influence by Education

Magnus secondary school Magnus secondary school
Pug Kigogo Fresh
Ilala, 255755081181

5000

The Green Hill Schools The Green Hill Schools
#39855
Ilala, +255

Greehill Nursery, Primary and Main Green Hill Secondary Schools. Co-educational, English medium, Boarding schools.