Handeni Islamic Secondary School

Handeni Islamic Secondary School

Comments

selemani mkwizu

Tunapokea wanafunzi wakike na wakiume kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Zipo nafasi za bweni na kutwa. Ada ni nafuu sana na inalipwa kwa awamu.

Operating as usual

01/10/2020

Handeni Islamic Secondary School's cover photo

22/09/2020

Handeni Islamic Secondary School's cover photo

11/09/2020

Handeni Islamic Secondary School's cover photo

[09/11/20]   TUMESHAANZA KUTOA FORM ZA KIDATO CHA KWANZA NA PRE FORM ONE

11/09/2020

KIDATO CHA KWANZA 2021

04/09/2020
27/12/2018

MLETE MWANAO AAPATE ELIMU NA MALEZI BORA

[10/30/18]   NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA 2019 ZINAPATIKANA

22/10/2017

Mzazi wa Mhitimu wa kidato cha nne Shafii Juma Alhaj Juma wa Mkata akitoa nasaha kwa niaba ya wazazi wote kwa wahitimu ktk mahafali ya tano Handeni Islamic

22/10/2017

Risala ya wahitimu ikisomwa kwa mgeni rasmi Mh Mwenyekiti wa Halmashauri na diwani

22/10/2017

Ni mahafali ya tano ya kuwaaga wahitimu wa kidato cha nne 2017 @ Handeni Islamic sec

[10/20/17]   UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI HANDENI ISLAMIC UNAWAAALIKA WAZAZI NA WADAU WOTE KUSHIRIKI MAHAFALI YA 4 YA KUWAAGA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE 2017.

ALLAH (SW) AWAJAALIE VIJANA AFYA NJEMA WAWEZE KUFANYA MITIHANI YAO INAYOANZA TAR 30/10/2017

22/09/2017

Tunawatakia Jum'a Mubarak

29/08/2017

NAFASI ZA MASOMO MWAKA 2018
MLETE MWANAO APATE ELIMU BORA

29/05/2017

Uonhozi wa Handeni Islamic unawatakiwa mwezi wenye baraka
Ramadhani Mubarak

[05/23/17]   Vijana wetu wa kidato cha nne leo wameanza mitihani yao ya mock mkoa wa Tanga. Tunamuomba Allah (subhaanah wata'ala) awafanyie wepesi waweze kufanya vizuri zaidi ktk mitihani hii.

Amiiiiiin

19/05/2017

Uongozi wa shule unawatakia maandalizi mazuri ya mtihani wa mock mkoa unaoanza siku ya jumatatu ya tar 22/05/2017. Kila la kheri wenetu, Allah awajaalie afya njema na mfaulu vizuri.

08/05/2017

Handeni Islamic Secondary School

08/05/2017

Handeni Islamic Secondary School's cover photo

17/02/2017

Karbuni sana Muzdalifah kwa Elimu na Malezi Bora shule ya sekondari iliyopo mtoni kijichi dar

06/01/2017

Muzdalifah ipo dar

06/01/2017

Handeni Islamic Secondary School

06/01/2017

Handeni Islamic Secondary School's cover photo

14/11/2016

Vijana wetu wa kidato cha pili leo tar 14 Nov wameanza mitihani yao. Tunamuomba Allah awajaalie vijana wetu mfaulu mitihani yenu muingie kidato cha tatu.

05/06/2016

Si kila upewalo nawe walisambaza, lichunguze kwanza ikiwa nilaupuiz achana nalo

05/06/2016

Probably, we have less than a Day to welcome the holy month, Shahru Ramadhaan.
Please consider the listed below before and once we are on the field.

Taqabbalallah Minnaa Waminkum

04/06/2016

Handeni Islamic Sec School inawaombea Ramadhwaan iliyomiminiwa khayr na barakah nyingi kutoka kwa Allaah, mchume thawabu tele, Swawm zikubaliwe, dhambi zighufuriwe, na Allaah Atutakabalie 'amali zetu.

11/02/2016

Tujihadhari na kufanya maovu kwa siri!
Ujumbe mzitoooo

05/02/2016

Tunawakia Ijumaa kareem

[02/04/16]   Ucku mwema wadau!

28/04/2015

ALHAMDULILLAH!
TUMETHUBUTU na TUMEWEZA الله ameijaalia shule ya primary ILALA ISLAMIC kutunukiwa tuzo ya shule bora ya msingi ktk mkoa wa Dar es salaam.

23/12/2014

NAFASI ZA MASOMO 2015

21/12/2014

Ilala Islamic

21/12/2014

Ofisi za Shule yetu ya sekondari Ilala Islamic
KARIBU SANA

[11/02/14]   Uongozi wa shule unawatakia kila la kheri vijana wote wa kidato cha NNE wanaoanza mitihani yao kesho tatehe 3/11/2014.

Videos (show all)

Si kila upewalo nawe walisambaza, lichunguze kwanza ikiwa nilaupuiz achana nalo
Tujihadhari na kufanya maovu kwa siri!Ujumbe mzitoooo

Location

Category

Telephone

Address


173 Handeni Tanga
Handeni
255