Rauf-Rahim - ARRAZ

Rauf-Rahim - ARRAZ

Comments

Omary. hassan

Omary. Hassan

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rauf-Rahim - ARRAZ, Education, Fuoni.

Operating as usual

11/03/2017

Tukiwa maenei ya mbuzini.... Wana arraz ktk shughli ya harusi

28/02/2017

Sema neno moja kwetu........

28/02/2017

Tukiwa haibariya......uwanja ulikua moto moto kweli

[10/26/15]   haki za wazazi tuzidumisheni na tuwape mapenzi wawe furahani.
tutunze wazazi kasema manani kwani wamepata kazi toka udogoni. hivyo tusije wauzi wote maishani kwani tutapata radhi zake rahmani.
Dumisha malezi k**a utotoni kwa wako mlezi alo uzeeni. hebu acha upuuzi ewe ihsani ulee wazazi kwa njema ihsani.
Na hao mama wazazi tusiwaudhini kwani wameanza malezi toka utumboni yeye chakula hawezi wala hakitamani kwa tisa miezi yeye yupo mashakani.
Dhmunni la ujumbe huu ni kwamba tuwasamani wazazi kwa yao mema malezi.
by: ustadh Ismail kutoka Raufu Rahim

04/09/2015

ndani ya fikira zako yafaa kuzingatia, duniani si mafiko akhera twaelekea. upo na pirika zako wazunguka na dunia, kifo kipo nyuma yako wendapo cha kufatia, ila kwa masikitiko hili hujaangalia wangapi swahiba zako wamekwisha tangulia, wengine wadogo zako kadhaa ulowalea, tena kwa mikono yako wallahi kimewachukua, leo machoni hawapo kifo kimewafikia, akhera huko walipo mengi wanajijutia. duh jamani safari hakika safari nzito. kumbuka kuna pepo akhera twendako na pia kuna moto akhera twendapo.
huo ni ujumbe wa leo kutoka kwa ust Nassor cholo wa almadrasat Rauf-Rahim. wabbillah taufiq

18/07/2015

tunamshuku mungu kwa kumaliza kufunga mwezi mtukufu wa ramadhani na mungu atulipe ujira uliojuu kabisa.... hakika mungu ndie anaejua k**a kuna uwezekano wa kufika ramadhani ya mwakani au la..ila kwauwezo wake allha (sw) atatujalia uhai na uzima ili tufike ramadhani ya mwakani tuweze kufunga na kufainika ktk mwezi huo....sote tunafahamu kwamba kumaliza kwa ramadhani ni kufuata kwa sikukuu ya eid fitri..hivo jukumu letu ni kusherehekea pamoja na kuvaa vizuri, kula vizuri, kunywa vizuri, kutembeleana, kufanya ibada na tusitumie sikukuu hii kwa kufanya maovu na kumuasi mwenyezi mungu...Almadrasat Raufu Rahim ikishirikikiana na wana subasao inawatakia waislamu wote EID MUBARAK....

02/07/2015

TETEZI ZA SOKA KATIKA LIGI YA VYUO 2015
kwa wale wote waohitaji kujua ratiba ya ligi zetu hii apo chini>
GONGA LIKE ILITUKUJUE MPENDA MAENDELEO ????>

02/07/2015

TETEZI ZA SOKA KATIKA VYUO (MADRASA) NDANI YA MWEZI WA RAMADAN 2015
Viongozi wa Al-madrasat raufu rahim (ARRAZ) ikishirikiana na uongozi mzima wa Almarasat Qadiria (AQAZ) iliyopo Aman znz ilifanya kikao chao kilichofanyika baada ya mechi yao kumaliza kati ya AQAZ na ARRAZ ilichezwa siku ya Alhamis 25/06/2015. Mada kuu ya kikao hicho ni kuinua tasnia ya soka Zanzibar upande wa vyuo(madrasa). Hivyo viongozi hao wameamua kuanzisha ligi ya vyuo zitakazo anza mwezi 15 ramadan hapo uwanjani AMAN nje. Idadi ya vyuo(madrasa) viivyotakiwa ni madrasa nane tu. Zawadi kwa mshindi wa mwanzo ni kuwekewa maulidi katika uwanja wao yatakayo kuwa chini ya usmamizi wa AQAZ. Vyuo vilivyo shiriki katika ligi hiyo ni hivi vifuatavyo:
1. RAUF-RAHIM (ARRAZ)
2. QADIRIA (AQAZ)
3. NURUL-HUDA
4. MUNAWWAR (MUSHAZA)
5. NASRU-LLAH (WAPENZI WA BWANA)
6. SWABIRINA
7. HIDAYA
8. NURUL-YAKIN.
Vyuo vyote mnaombwa kukubali matokeo na kutofanya vurugu katika ligi zetu na tumuombe mungu tumalize salama na kumaliza salama . AMIN.
K**A KWELI UNAPENDA KUINUA TASNIA YA SOKA KWA MADRASA ZETU GONGA LIKE. ¿ ¿ ¿ ¿ ¿ ¿ ¿ ¿ ¿

Untitled Album 29/06/2015

GONGA LIKE K**A WW UNAIPENDA RAUF RAHIM

GONGA LIKE K**A WW UNAIPENDA RAUF RAHIM

27/06/2015

TETEZI ZA SOKA KATI YA QADIRIA (AQAZ) NA RAUF (ARRAZ)
juzi alhamis ya tarehe 25/06/2015 kulikua na mpambano la soka kati ya aqaz na arraz lililochezwa uwanja wa amani nje. matokeo ya pambano hilo ni 1-1. Arraz ilianza kuichapa aqaz goli la kwanza lililofungwa na mwanafunzi idrisa zuber ndani ya dk 83 za pambano hilo. aqaz ilifanya jitihada ya nguvu na mnamo dk 87 ilirudisha goli hilo lililofungwa na mwanafunzi cholo kutoka aqaz.
matokeo yalikua km hivi:

AQAZ ARRAZ
1 Goal scored 1
52% Possession 48%
8(5) Shoots (on target) 5(3)
4(3) Fouls (offside) 2(2)
3 Corner kicks 3
5 Free kicks 4
71% Passes completed (%) 70%
5 Crosses 3
5 Interceptions 7
6 Tackles 6
8 saves 10

27/06/2015

Rauf-Rahim - ARRAZ's cover photo

Untitled Album 27/06/2015

Untitled Album

27/06/2015

Rauf-Rahim - ARRAZ

Location

Category

Telephone

Address


Fuoni
POSTA
Other Education in Fuoni (show all)
Zanzibar Learning 4 Life Foundation Zanzibar Learning 4 Life Foundation
P.o. Box 1870
Fuoni

Heroes Community Academy (HCA) and Learning 4 Life Foundation creating a bright future for the children who are orphaned or come from very difficult families. We do this by offering them free educational opportunities for them to achieve their dreams.