Elohim Development Company

Elohim Development Company

Comments

GLES KIUKWELIUME NIKONGA

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elohim Development Company, Education, Mbezi Kimara, Dar es Salam.

[09/14/16]   Ninawasalimu katika Jina la Bwana Yesu Kristo.

KANISA LA MORAVIAN TANZANIA

Kwa hapa Tanzania kanisa la Moraviam lilianza mwaka 1895. Mpaka sasa tuna majimbo saba(7) kwa mfuatano huu:
1. Jimbo la Kusini (makao makuu ni Rungwe)
2. Jimbo la Magharibi (makao makuu ni Tabora)
3. Jimbo la Kusini Magharibi (makao makuu ni Mbeya-Jakaranda)
4. Jimbo la Rukwa makao makuu ni Sumbawanga)
5. Jimbo la Kigoma (makao makuu ya ni kasulu)
6. Jimbo la Kaskazini (makao makuu ni Arusha) na
7. Jimbo la Mashariki (makao makuu ni Dar es Salaam)

Mkazo wa kanisa la Moravian duniani ni Umoja, uhuru na upendano.

[09/04/16]   Wanatafutwa walimu waasomo yafuatayo:

1. Ualimu wa chekechea
2. Computer
3. Cherehani (ushonaji)
4. Cherehani (kubarizi)
5. Tuition Pr school
6. Tuition Sec
Nk
Center inaitwa ELOHIM TRAINING CENTER. Ipo Chamazi Magengeni kwa mzee Mfindi.

[10/06/12]   October 2, 2012

Mpendwa mtu wa Mungu aliye hai
__________________________________________
Yah: Ombi la mchango wako kuendeshea kongamano la wake za wachungaji
Familia ya Mchungaji Joachim Mwaseba wanakuomba na kukukaribisha kushiriki baraka kwa kuwabariki mama – wachungaji kwa njia ya mchango wako ili semina waliyo andaliwa iwe na faida kwa
Akina mama – mchungaji watakuwa na semina ya siku tano ili kujifua kwaajili ya kuendana na mabadiliko ya kimtazamo wa kiuchumi, kijamii na kiroho ambayo itawakusanya akina mama wazio pungua 100.
Semina hiyo itafanyika Dar es Salaam kuanzia tarehe 01 – 07/04/2013. Hii ni semina ya kwanza kwa kundi hili la watumishi. Na huu ni mwanzo wa semina kwa kundi hili, bila shaka zitaendelea kila mwaka mara au zaid ya mara moja kila mwaka.
Kusudi la semina ni kuboresha maisha ya familia za wachungaji kiroho, kijamii na kiuchumi, na kutambua uwepo wao na umuhimu wa huduma ya watumishi hawa kwa jamii ya wanzania na kwa kanisa pia. Lakini pia semina inakusudia kukuza vipawa vya mke wa mchungaji na kuanzisha ulinzi maalum kwa vipawa vyao na kwao wenyewe pindi mwenzake anapo kuwa kazini na hata anapo kuwa hayuko kazini kwa sababu mbali mbali kama vile kuugua, kustaafu au kupatwa na mazingira magumu zaid.
Familia yetu imegundua kuwa watu hawa wana juhudi sana ya kuhudumu. Kwa bahati isiyo nzuri hawakupewa nafasi stahiki. Watu hawa wanahudumiana sana kama kundi maalum; hawakupewa uwezo. Wanalea familia zao katika mazingira ya jitihada kubwa; hawakupewa vitendea kazi sahihi. Wanajitahidi kubuni miradi; hawakuinuliwa kimitaji. Semina hii inakusudia kuwatia moyo na kuwajengea uwezo wa kifikra na kiutendaji wa hali ya juu kuendana na wakati tuliopo (it must be a strategic and modernizing seminar for Pastors’ Wives).
Familia ya mchungaji inaomba sana msaada wako kutimiza hayo yote kwaajili ya semina ya mama - wachungajihawa. Makisio ya semina nzima ni shilingi 32,000,000.00.
Tunaomba Mungu akutumie kutuwezesha ili akubariki mara 1000 ya utakavyo mtolea kwa kulipenda kundi hili. Huu ni muujiza wako.
Nb: Tunaomba mchango utufikie kabla ya tarehe 25/03/2013. Ukiwahi zaidi utatuzaidia kulipia mambo mengine kma ukumbi na vitini.
Unaweza kutuma mchango wako kwa namba za cm hapo chini.
Bwana akubariki sana.

___________________________
Tulipo & Mch. Joachim Mwaseba
Wabeba maono ya kututoa hapa
M -PESA 0763654255
Tigopesa 0655654255
AirTel Money 0684077386

[05/22/12]   Dar es Salaam tunategemea kuwa na kongamano la watoto zaidi ya 90,000 katika viwanja vya jangwani. kongamano litakuwa mwezi wa saba mapema. walengwa ni watoto wenye umri wa shule za msingi. kutakuwa na mafundisho ya Neno la Mungu na michezo mingi ikiwa ni pamoja na maonyosho ya sarakasi.

kongamano limeandaliwa na huduma ya Love Tanzania Festival ambayo inaongozwa na wamarekani wenye mzigo kwaajili ya Tanzania.

Kutokana na idadi kubwa ya watoto, kongamano (idara ya watoto) tunategemea kuwa na walimu ambao ni walezi wasio pungua 2,000 kutoka makanisa yote yaliyoko Dar es Salaam. Walimu hao ni walimu walio wakristo katika shule za msingi na sekondari, walimu wa vipindi vya dini mashuleni, na walimu wa shule za jumapili katika makanisa yote pamoja na wote wenye mzigo na kanisa la Tanzania.

njoo jiunge nasi.

[05/21/12]   Tunaweza kujikwamua na umasikini kwa kumtegemea Mungu. Je ni kweli maneno haya? Maana yake nini kujikwamua kwa kumtegemea Mungu?

[05/21/12]   Welcome at round table for the glory of Christ Jesus

Location

Category

Telephone

Address


Mbezi Kimara
Dar Es Salam
Other Education in Dar es Salam (show all)
Aiesec ifm Bridge 2016 Aiesec ifm Bridge 2016
Dar Es Salam

College of Business Education College of Business Education
Bibi Titi Road
Dar Es Salam, P.O. BOX 1968

The origin of the College of Business Education (CBE) is closely linked to the history of the Nation itself. It was soon after Independence on 9th December 1961, that the newly independent state found itself in need of trained personnel to Commercial and

Pwani Vision Pwani Vision
MKURANGA, PWANI TANZANIA EASTERN AFRICA
Dar Es Salam

NGO'S WE SHOW THE WAY TO AN AIDS FREE LIFE AND DRUG ABUSE,WE TAKE THE LEAD WE STOP AIDS WE KEEP PROMISE.

The Institute of Finance Management The Institute of Finance Management
P.O Box 3918
Dar Es Salam, 255

The Institute of Finance Management (IFM)

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere School Mwalimu Julius Kambarage Nyerere School
Dar Es Salam

We are a English Medium School in Tanzania, located in Mbezi Beach area. Visit our website for more information.

Elim Camp Coaching Tanzania Elim Camp Coaching Tanzania
P.O.BOX 11806, DSM
Dar Es Salam, +255

We coach, Form Four, Form Six .We Prepare Students To Sit For National Exam Through Solving Questions. Every Saturday From 09:00 AM - 01:00 PM

MAHDI Health Initiative MAHDI Health Initiative
Tanzania
Dar Es Salam

A page dedicated to humanity which aims to teach and serve the world on the basis of health for a safer, healthier and a brighter future.

Tanzania students magazine - tsm Tanzania students magazine - tsm
Dar Es Salam

NGO which is ready to support students' talents and help students who are in need

Mama Africa's Diary 2015 Mama Africa's Diary 2015
Kijitonyama, Dar Es Salaam
Dar Es Salam, 72816

Mama Africa's Dairy 2015. In the Magic Year of 2015, I want to share with my Facebook Friends about Africa, Our Motherland. I want young Africans to be ...

SisiKazi Center SisiKazi Center
20 Sinza Mori Street
Dar Es Salam

SEEC seeks to shift the Tanzania focus from poverty eradication to wealth creation, from depending on international aids to international investments.

Charge Your Brain Charge Your Brain
Dar Es Salam
Dar Es Salam, 255755 751959 / 255713751959

Your mind is like a garden,Whatever you plant will grow.Your thoughts are seeds you're planting, They produce, each after its kind.And, you just like a Gardner, Can choose which seeds you

Little Angels Paradise Little Angels Paradise
Mwenge
Dar Es Salam, P.O. BOX 62021 DSM

A centre for day care, pre school education and fun learning activities aiming at providing safe, educative and fun enviroment for all children. Its fun all the time!!