Koshumas Training Institute / Koshumas Piano Lessons

Koshumas Training Institute / Koshumas Piano Lessons

KOSHUMA’S MUSIC LESSONS are the simplest lessons for everyone who is looking to play piano,guitar or drum for the first time. Lesson times are arranged to suit the student’s schedule.

All levels of ability welcome - from beginners to the more advanced students. Students may register for a 2-lesson trial class. After that, students register for ongoing, weekly lessons. Lessons are billed monthly (prior to the classes taking place). Students may arrange for 30 minute, 45 minute or 60 minute increments. Young children start with 30 minutes lessons. Older students receive 45 to 60 minute lessons. TRIAL LESSON -FREE OF CHARGE to any children aged 4 - 11!

Operating as usual

28/07/2021

Afterschool music programs
Tunatoa mafunzo ya music kwa bei nafuu sana. Watoto kuanzia miaka minne na kuendelea.
Vituo vyetu ni Mikocheni, Kunduchi, Kinyerezi na Kisasa-Dodoma.
~
KTI kwa sasa pia imeanza kutoa huduma ya kukufuata nyumbani.
0785422058
#raisingmusicaltalents

16/06/2021
06/06/2021
22/04/2021

Mwandikishe mwanao kwenye masomo ya muziki. Tunafundisha kupiga kinanda, guitar, ukelele, drum na kuimba.
Tunapatikana Dodoma Kisasa. 0785422058

Mwandikishe mwanao kwenye masomo ya muziki. Tunafundisha kupiga kinanda, guitar, ukelele, drum na kuimba.
Tunapatikana Dodoma Kisasa. 0785422058

14/04/2021
09/04/2021

We pledge to provide everyone with a great support to experience playing music. #raising_musical_talents

We pledge to provide everyone with a great support to experience playing music. #raising_musical_talents

29/03/2021

Experience the joy of learning to play music

Experience the joy of learning to play music

Photos from Koshumas Training Institute / Koshumas Piano Lessons's post 24/03/2021

6 years ago!! Our founder and CEO was conducting music group lessons for Ardhi University Students. God is so Great!! #raising_musical_talents #shikasanaulichonacho

13/03/2021

Weekend music classes available at KTI. For kids and adults. Contact us: 0785422058

11/03/2021

Furahia ofa yetu yenye punguzo la 13% kwa wateja wetu wa Dodoma.
Tunapokea watoto kuanzia miaka 4 na kuendelea.
Mafunzo tunayotoa ni #piano #guitar #drums #singing n.k
0785422058
TUNAPATIKANA DODOMA-KISASA

06/03/2021

We are excited to announce the opening of our 4th Branch, conveniently located at Kisasa-Dodoma.
We inspire and nurture your child through musical works.

We are excited to announce the opening of our 4th Branch, conveniently located at Kisasa-Dodoma.
We inspire and nurture your child through musical works.

05/03/2021

Habari njema kwa wakazi wa Jiji la Dodoma. KTI imewafikia. Tunapokea watoto kuanzia miaka 4 na kuendelea.
Tunapatikana Kisasa, karibu na De Amazon.
0785422058

Habari njema kwa wakazi wa Jiji la Dodoma. KTI imewafikia. Tunapokea watoto kuanzia miaka 4 na kuendelea.
Tunapatikana Kisasa, karibu na De Amazon.
0785422058

19/02/2021

Congratulation Alya for passing level 1 of your Vocal Training. 👏👏👏

Congratulation Alya for passing level 1 of your Vocal Training. 👏👏👏

06/02/2021

Vipindi vyetu vya wikiend sasa vinapatikana kwenye matawi yetu yote. #piano #guitar #vocals #drums #ukelele 0785422058

27/01/2021
08/01/2021

Tunaanza mafunzo rasmi tar 11 Jan. Make sure you register your child/yourself before 10th Jan. @music_bus_ #piano #guitar #violin #drums #vocals 0785422058 #koshumas_training_institute

Tunaanza mafunzo rasmi tar 11 Jan. Make sure you register your child/yourself before 10th Jan. @music_bus_ #piano #guitar #violin #drums #vocals 0785422058 #koshumas_training_institute

06/01/2021

After School Music Programs.

After School Music Programs.

05/01/2021

Mafunzo tunayotoa yapo kwenye utaratibu mzuri wa kumfanya mtoto afurahie kuucheza mziki kila anapofika KTI

Mafunzo tunayotoa yapo kwenye utaratibu mzuri wa kumfanya mtoto afurahie kuucheza mziki kila anapofika KTI

05/01/2021

Bado nafasi chache zimebaki tumalize usajili wa intake ya Mwaka huu. Maswali yamekuwa mengi k**a tunapokea na watu wazima. Jibu ni NDIO!! Tuna madarasa kwa ajili ya watu wazima pia. Tupigie 0785 422 058. Mwisho wa kujiandikisha ni tar 10/01/20.

Bila shaka wewe ni miongoni mwa wale wanaotamani sana siku moja wajue kupiga Saxophone. Karibu kwenye madarasa yetu #mikocheni #kunduchi na #kinyerezi
Anza mwaka kwa kujifunza chombo cha mziki.
Kwa mawasiliano zaidi: 0785422058

03/01/2021

Tunaanza msimu mpya kesho Jumatatu 04/Jan/2021. Haya ni masomo ya music muda wa jioni (after-school programs). Mwandikishe mwanao sasa kwenye vituo vyetu vilivyopo Mikocheni,Kunduchi na Kinyerezi. Huduma ya usafiri pia inapatikana kwa bei nafuu. Tupigie 0785422058. #piano #guitar #singing #violin #drums #raisingmusicaltalents

12/12/2020

Mafunzo yetu pia yanatolewa kwenye ndani ya basi letu la @music_bus_ . Mkiwa ndani ya basi mtafundishwa kwa mfumo wa bendi, kila mmjona anachagua chombo chake na kufundishwa kupiga wimbo unaofanana.
Jinsi ya kuipata huduma hii:
1. Muwe idadi ya watu/watoto wasiopungua 7
2. Tuambie mahali mlipo na siku mtakazopenda kufundishwa
3. Hii ni kwa maeneo ya Dar es Salaam na jirani.
4. Wasiliana nasi kwa 0785 422 058 . E-mail: [email protected]

09/12/2020

We are One Team, enjoying our journey. Thank you God for 2020.

09/12/2020

A day well spent! Thank you KTI Team for a successful team building workshop.

20/11/2020
18/11/2020
21/10/2020

How to balance Academics & Music
~
Mtengenezee mtoto ratiba nzuri kuweza kumudu masomo yake ya darasani na kufanyia mazoezi kipaji chake cha mziki.

21/10/2020

Ingia kwenye bio yetu kuweza kutazama interview ya mkurugenzi wetu akiwa na mmoja wa wanafunzi wetu wa piano, walipoalikwa kituo cha #itvtanzania kuongelea namna mafunzo ya muziki yanavyo wanufaisha watoto.

20/10/2020

KTI imeandaa course maalum kwa watoto waliomaliza darasa la saba. Tunafundisha mafunzo ya muziki (piano, kuimba, guitar,violin, drum n.k). Pia msimu huu tunatoa mafunzo ya #artsandcrafts .
Tupigie 0785422058. Tunapatikana Mikocheni, Tabata Kinyerezi na Kunduchi.

02/10/2020

Sasa tumekuletea WEEKEND MUSIC PROGRAM kwa wale wanaokosa vipindi vyetu vya weekdays. Unaweza kujiunga kwa package hii ya kila jumamos na jumapili. Tupigie 0785422058

18/09/2020

Wow!! This boy never seize to amaze us!! Congratulation on your level 2 Thomas. May this present achievement give you more strength for ahead.

15/09/2020

Happy to appear on FK Int. School weekly news.
~
We have started to provide our music lessons at FK Int schools (both Primary and Secondary). @music_bus_

10/09/2020

Well done Thomas! You can achieve anything if you really want to. The sky's the limit.

04/09/2020

School music programs with @music_bus_ @music_bus_

29/08/2020

Well done Abraham. 👏👏👏Keep going and smash all levels!! 🤺🤺🎹🎸#raisingmusicaltalents

Videos (show all)

Location

Telephone

Address

Mikocheni Nr Shoppers Plaza
Dar Es Salam

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:30
Tuesday 09:00 - 20:30
Wednesday 09:00 - 20:30
Thursday 09:00 - 20:30
Friday 09:00 - 20:30
Saturday 09:00 - 14:00
Other Dar es Salam schools & colleges (show all)
City Kindercare Centre City Kindercare Centre
City Mall..3rd Floor
Dar Es Salam

A wonderful daycare option for your kids to be looked after by trusted staff in a safe and joyous environment where they will play and learn and have fun!!

Lillies Daycare Center and Lillies English medium Pre & Primary School. Lillies Daycare Center and Lillies English medium Pre & Primary School.
Dar Es Salam, P.O.BOX 11399

Lillies Daycare Center is the institution located at Chang'ombe area near TCC Club well known as Sigara Club. The Daycare Center was established since 1996

SisiKazi Center SisiKazi Center
20 Sinza Mori Street
Dar Es Salam

SEEC seeks to shift the Tanzania focus from poverty eradication to wealth creation, from depending on international aids to international investments.

MAHDI Health Initiative MAHDI Health Initiative
Tanzania
Dar Es Salam

A page dedicated to humanity which aims to teach and serve the world on the basis of health for a safer, healthier and a brighter future.

MH Training Centre MH Training Centre
Gambia Street
Dar Es Salam, 1

Tally Training Academy Tally Training Academy
Sinza
Dar Es Salam

Both corporate training and class training

Bright Minds Academy Bright Minds Academy
10020
Dar Es Salam, 255

Bright Minds Academy school © Day care, Nursery & primary © located in Dar-es-salaam TZ Ukonga Kivule. (Dream Inspire Achieve)

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere School Mwalimu Julius Kambarage Nyerere School
Dar Es Salam

We are a English Medium School in Tanzania, located in Mbezi Beach area. Visit our website for more information.

The Institute of Finance Management The Institute of Finance Management
P.O Box 3918
Dar Es Salam, 255

The Institute of Finance Management (IFM)

Jan king ezana Jan king ezana
Dar Es Salam, DARESALAMA

NUMBER FOR LIFE

Twinkle Tots Twinkle Tots
Mbezi Samaki
Dar Es Salam

Welcome to Twinkle Tots!! We believe that every child is a star and in a loving and supporting environment can learn to shine!

Peytonetofashion Peytonetofashion
638 Tz Arusha
Dar Es Salam, ARUSHA

Fashion for future