Simba Fans, Dar es salaam.

Simba Fans, Dar es salaam.

Comments

MZEE SAID BIN WALALA MCHEZAJI WA ZAMANI WA SSC AMEFARIKI DUNIA MAZISHI LEO SAA KUMI JIONI MAKABURI YA KARUME ILALA DAR!
ENZI ZA UHAI WAKE ALICHEZEA SUNDERLAND 1966 MPAKA MWANZONI MWA MIAKA YA SABINI MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MZEE WETU AMIN
Misiri to Canann thix term muxt be ccm go 4 good
TUKUTANE KWA MKAPA KUCHEKI BURUFANI..Nguvu moja%
KILA LAHELI SIMBA SPORT KWAUSHINDI MNONO ITAKAOPATA KWAWATAN WAO
Naipend san simb
K**A UNASILA UNATAKIW UNYE BOGA
PICHA
Je, unawaza nini?nina weza kupinga waya lingi ndani
Kwetu ni kwetu Hadi raha jamani
Mamb vp wadau
Hafadhali hata yanga waliondoka Morogoro tungesikia na walikuepo ktk kuiba mafuta
😂😂😂😂

Wapenzi na mashabiki wa Simba sports club kutoka Tanzania na ulimwenguni kote. Pata updates kutoka ndani ya club ya Simba

Operating as usual

01/07/2021

🌟 Bernard Morrison amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month). #NguvuMoja

🌟 Bernard Morrison amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month). #NguvuMoja

30/06/2021

Press conference leo saa sita mchana

Press conference leo saa sita mchana

29/06/2021

July 3

July 3

29/06/2021

Tarehe 3 July kwa Mkapa litakufa jitu.

Tarehe 3 July kwa Mkapa litakufa jitu.

29/06/2021
09/03/2021

Taarifa kwa umma

Taarifa kwa umma

08/03/2021

Kipa wetu namba mbili ni bora kuliko makipa wao wote 😂

Kipa wetu namba mbili ni bora kuliko makipa wao wote 😂

07/03/2021

Anawatakia usiku mwema.

Nasikia upande wa pili jahazi limezama.😀😀

Anawatakia usiku mwema.

Nasikia upande wa pili jahazi limezama.😀😀

09/12/2020

Kikosi cha leo!

22/10/2020

Kikosi dhidi ya Tanzania Prison

18/08/2020

Simba Fans, Dar es salaam.

08/06/2020

FULL TIME: Simba SC 3-1 KMC

08/06/2020

Mapumziko
Simba Sc 1-1 KMC

[06/08/20]   Mpira unaendelea SIMBA SC 1-1 KMC
Bocco

[06/08/20]   DAKIKA 30

Simba SC 0-1 KMC

08/06/2020

KIKOSI DHIDI YA KMC

1. Aishi Manula
2. Haruna Shamte
3. Gadiel Michael
4. Kennedy Juma
5. Pascal Wawa
6. Jonas Mkude
7. Hassan Dilunga
8. Said Ndemla
9. John Bocco
10. Luis Miquissone
11. Shiza Kichuya

WACHEZAJI WA AKIBA
1. Ally Salim
2. Yusufu Mlipili
3. Tairone Santos
4. Mzamiru Yassin
5. Francis Kahata
6. Ibrahim Ajibu
7. Cyprian Kipenye
#NguvuMoja

08/06/2020

Dakika 22
Simba Sc 0-0 KMC

08/06/2020

Leo Jioni

08/06/2020

Leo

08/06/2020

Simba Sc 4-2 Trans Camp
Kanda
Fraga
Santos
MK14

24/04/2020

Kocha Msaidizi, Seleman Matola leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa.

Wanasimba tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwenye maisha yake. #NguvuMoja

24/04/2020
17/02/2020

Hakika tuna mashabiki bora sana, mashabiki wa faida 😊💪🏽. Asanteni Wanasimba wote mliojitokeza kwenye michezo yetu ya Morogoro na Iringa na wote ambao hawakupata nafasi ya kuja kutushangilia uwanjani lakini walikuwa wakituombea tushinde. #NguvuMoja

23/10/2019

Kikosi chetu cha leo dhidi ya Azam FC. #VPL #NguvuMoja

08/10/2019

Mechi tatu za kirafiki ambazo tutacheza kabla ya kuendelea na Ligi Kuu. #NguvuMoja‬

02/10/2019

Kocha Mkuu Patrick Aussems ametoa siku moja ya mapumziko kwa wachezaji. Mazoezi yataendelea kesho Alhamisi Oktoba 3, 2019. #NguvuMoja

13/09/2019

Kikosi cha leo dhidi ya Mtibwa Sugar. #VPL #NguvuMoja

12/09/2019

Leo Alhamisi Septemba 12, 2019 kimefanyika kikao cha Bodi ya Wakurugenzi kujadili mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya klabu pamoja na kumtambulisha Mtendaji Mkuu mpya, Senzo Mazingiza kwa wajumbe wa bodi. #NguvuMoja

09/09/2019

Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao ulipangwa kuchezwa Septemba 18, 2019 umerudishwa nyuma na sasa utachezwa Ijumaa Septemba 13, 2019 saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. #NguvuMoja

29/08/2019

Kikosi cha leo dhidi ya JKT Tanzania 🦁👥 #VPL #NguvuMoja

29/08/2019

Safari ya Ligi Kuu 2019/20 tunaianza leo tutakapocheza na JKT Tanzania. Wanasimba tujitokeze kuishangilia timu yetu. #VPL #NguvuMoja

28/08/2019

Tunaipenda SIMBA 🦁♥️ #NguvuMoja

10/08/2019

Kikosi ambacho kitaanza leo dhidi ya UD Songo. #CAFCL #NguvuMoja

25/07/2019
21/07/2019

Videos (show all)

Msafara wa wachezaji, benchi la ufundi, baadhi ya viongozi wa klabu ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirik...
Turkey

Location

Address


Dar Es Salaam Tanzania
Dar Es Salaam
DAR ES SALAAM
Other Dar es Salaam schools & colleges (show all)
The Triangle Student's Support Centre The Triangle Student's Support Centre
Dar Es Salaam, 255

The page has been designed to give support to student on archiving their academic goals,

GOIG - Vocational Handcraft Centre GOIG - Vocational Handcraft Centre
P.O. Box 34048
Dar Es Salaam

GOIG is a certified Fair Trade producer of traditionally inspired, handmade products. Our organization is located in Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania.

TAG Jubilee Christian Centre Salasala TAG Jubilee Christian Centre Salasala
Box 9593
Dar Es Salaam, (255)

Makumbusho Flashback" Makumbusho Flashback"
Makumbusho
Dar Es Salaam, +255

*About all Members of Makumbusho Sec School and our Neighbor.

Mary's CAMP Nursery School Mary's CAMP Nursery School
Kawe-Ukwamani, Plot No. KND/KWE/KUK12/138, Old Bagamoyo Road , Kinondoni District
Dar Es Salaam, P. O. BOX 60597

Southern Sahara International Media College Southern Sahara International Media College
P.O.Box 80470
Dar Es Salaam

SOUTHERN SAHARA INTERNATIONALMEDIA COLLEGE is a fully operational multimedia institute that opens up students to a vast world of professional entertainment

Schools Directory Schools Directory
Bagamoyo Rd
Dar Es Salaam, BOX 8313

A comprehensive Online Directory of Accredited Secondary and Primary Schools in Tanzania.

Mch. Benjamin Mbasa Mch. Benjamin Mbasa
Sinza
Dar Es Salaam, 2002

Tunajifunza na kupashana habari muhimu za Kiroho. Usikose kutoa maoni yako.

RELO East Africa RELO East Africa
686 Old Bagamoyo Road Msasani Kinondoni District
Dar Es Salaam

The RELO Office based in Dar Es Salaam seeks to support English language education and knowledge of U.S. culture throughout the Eastern Africa region.

Boya boya stay back-Bbsb Boya boya stay back-Bbsb
Tabata
Dar Es Salaam, 6199

Bbsb.......... 4 fun

Foundation School Foundation School
Kigoma Street, Mbezi Beach
Dar Es Salaam, 255

INDIAN SCHOOL DSM INDIAN SCHOOL DSM
P.O. Box No. 2684
Dar Es Salaam

CBSE school in East Africa- Dar es Salaam,Tanzania,.