Prophet Baraka International Ministries

Prophet Baraka International Ministries

No matter the situations but we got it all together. trust in yourself you can do it

Operating as usual

13/08/2021

Swali la kujiuliza ni hili.

NYIE MNAOSEMA TUSIPINGE KUCHANJWA ANGALIENI NCHI ZA WENZETU WAO NDIO WANAZITENGENEZA NA BADO WANAONGOZA KUFA KILA SIKU

SASA UJUE CHANJO SIO MUNGU
ALAFU KWA TAARIFA YAKO HII KITU KWA WAAFRIKA SIO BIG DILI SANA

WEWE MAFUA KILA SIKU UNAUMWA NA YANAPONA YENYEWE HATA USIPOENDA HOSPITAL

SASA MZUNGU AKIUMWA MAFUA YAANIUNAMWONEA HADI HURUMA, HATA KUFA KWAO RAHISI TU KWA MAFUA

SIKILIZA HII
CHUKUA TAHADHARI, FANYA MAZOEZI, KULA MLO KAMILI, ENDELEA KUWEKA UHUSIANO WAKO VIZURI NA MUNGU ALAFU CHAPA KAZI

TUSITISHANE.

30/06/2021

Mwanaume asingekuwa na udhaifu Mwanamke hana kazi.sikiliza hii

MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE

24/05/2021
24/05/2021

HUU NI UKWELI WENGI WASIOUPENDA ILA NDIO UKWELI

Unamtanguliza Mungu kiasi gani katika eneo uliloko?

By Mtalemwa

21/03/2021

K**a kuna mtu au Nabii au mtume au Askofu anasema alitabiri kifo cha Baba huyu Hayati WETU, Baba yetu yaani hama hilo kanisa ni UONGO! Ondoka Kabisa ni Waongo

THIS IS SURPRISE TO EVERYONE.

Mtu anakuambia ombea Nchi ! Ombea Ikulu ! Ombea Raisi na viongozi wake alafu leo anakuja kusema alitabiri kifo No , no Asitokee yeyote akakudanganya hivyo
Unabii hutolewa kabla na huwa ni accurate hakuna unabii wa Kifo kimafumbo

HEBU WATU WAACHE KIKI ZA KIJINGA, HUU MSIBA UMEUMIZA WENGI JAMANI!

K**A WEWE NI MTUMISHI WA HOVYO NI WA HOVYO TU HATA UKIJITAFUTIA KIKI KIASI GANI!

K**a kuna mtu au Nabii au mtume au Askofu anasema alitabiri kifo cha Baba huyu Hayati WETU, Baba yetu yaani hama hilo kanisa ni UONGO! Ondoka Kabisa ni Waongo

THIS IS SURPRISE TO EVERYONE.

Mtu anakuambia ombea Nchi ! Ombea Ikulu ! Ombea Raisi na viongozi wake alafu leo anakuja kusema alitabiri kifo No , no Asitokee yeyote akakudanganya hivyo
Unabii hutolewa kabla na huwa ni accurate hakuna unabii wa Kifo kimafumbo

HEBU WATU WAACHE KIKI ZA KIJINGA, HUU MSIBA UMEUMIZA WENGI JAMANI!

K**A WEWE NI MTUMISHI WA HOVYO NI WA HOVYO TU HATA UKIJITAFUTIA KIKI KIASI GANI!

10/03/2021

Wanawake pata somo hili! By Rose shaboka

Rose shaboka

18/02/2021

ENCOUNTER WITH MR FUTURE, MWAMINI YESU NA UPOKEE LEO, MUNGU BADO YUPO KAZINI

K**a kuna kitu muhimu sana unakihitaji katika maisha yako ni nguvu za MUNGU.
1 Nyakati 16:11 ''Mtakeni BWANA na nguvu zake; Utafuteni uso wake siku zote.''
Nguvu za MUNGU zina faida nyingi sana katika maisha ya wateule wa KRISTO.
Kila mteule wa KRISTO anazihitaji sana nguvu za MUNGU.
Nguvu za MUNGU kila mtu wa kanisa anazihitaji sana.
Nguvu za MUNGU ndizo pia nguvu za ROHO MTAKATIFU, na nguvu hizo zinaweza kuwa ndani tu ya Walio na YESU waliozihitaji kwa maombi.

02/02/2021

WAKO WAPI MATAJIRI KANISANI WANAOWEZA KUAJIRI MABINTI WASIOMBWE RUSHWA YA NGONO ILI WAPATE KAZI

Haya Mafundisho yameenda shule kabisa, Kuna namna Watu wa Leo Tunashindwa vitu na watu hata wa Shetani sababu ni Hii

By Pastor Tony kapola

22/01/2021

MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE

Nasema Hallelujah
Mwl. Mwakasege

13/10/2020

"Kuna kitu watu wanajisahau Sana kupanda kiwango Cha mafanikio iwe Elimu au Pesa haikufanyi uwadharau Wengine uliokuwa nao huku chini "
Ukiona una vijitabia vya kudharau wengine ujue Huwezi kupanda kiwango Zaidi ya ulichopo

Ni vyema kuheshimu mwanzo mdogo. Maanà hakuna kikubwa kisichokuwa na kidogo

By Msele Jr Mr future Himself
Like na share

09/10/2020

FRIDAY ONE ON ONE PROPHETIC SERVICE

Jiunganishe Nipo Live kukuombea na kutabiri Jambo kwenye Maisha yako

Be connected.

06/10/2020

LK. 4:18 SUV
Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa

05/10/2020

Ujumbe huu ukusaidie

04/10/2020

Mwanaume Yeyote lazima afanye haya kwà Mwanamke

SIKILIZA HEKIMA HIYO ITAKUSAIDIA

Share

02/10/2020

Huenda unae mdharau akawa bora zaidi, usimdharau mtu kwa madhaifu yake.
Kila hatua upigayo kwenye maisha mshukuru sana Mungu kwani ni kweli kwamba leo yako ni tofauti na kesho yako

PBM

02/10/2020

Prophet Baraka International Ministries

kitm.ac.tz 01/07/2019

Application Form – KITM

Fomu za maombi zinapatikana katika tovuti yetu. Bofya hapa
https://kitm.ac.tz/?page_id=17

kitm.ac.tz Application Form   To Download Please Click the Button Below ⇣ Download “REGISTRATION-FORM-KITM3-1-26-FEB-2018-1.pdf” REGISTRATION-FORM-KITM3-1-26-FEB-2018-1.pdf – Downloaded 1486 times – 558 KB  

[06/01/19]   MUHULA WA MASOMO 2019/2020 KWA MWEZI WA JULY NA SEPTEMBER.JIUNGE SASA
TUMEFUNGUA DIRISHA LA USAJILI KWA WALE WANAOPENDA KUJIUNGA NA CHUO HIKI BORA FOMU ZINAPATIKANA KWA NJIA YA ONLINE BOFYA HAPO
https://kitm.ac.tz/?page_id=17

kitm.ac.tz 06/02/2019

ADMITTED STUDENTS 2019 MARCH INTAKE – KITM

FIRST SELECTION WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA MACHI 2019
https://kitm.ac.tz/?p=3925

kitm.ac.tz ADMITTED STUDENTS 2019 MARCH INTAKE SELECTED UNDER NACTE Download “ADIMITTED-STUDENTS-2019-MARCH-INTAKE.pdf” ADIMITTED-STUDENTS-2019-MARCH-INTAKE.pdf – Downloaded 45 times – 108 KB SELECTED UNDER VETA Download “ADMITTED-STUDENTS-2019-VETA.pdf” ADMITTED-STUDENTS-2019-VETA.pdf – Download...

kitm.ac.tz 02/02/2019

JOB ADVERTISEMENT – KITM

https://kitm.ac.tz/?p=3902

kitm.ac.tz JOB ADVERTISEMENT Download “KITM-JOB-ADVERTISEMENT.pdf” KITM-JOB-ADVERTISEMENT.pdf – Downloaded 3 times – 30 KB JOB ADVERTISEMENT – COMPUTER PROGRAMMERS (2 POSTS ) The Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) is the leading Tanzania’s PRACTICAL oriented training institut...

29/01/2019

2019 UDAHILI MPYA WA MARCH KWA NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA WATANGAZWA .JIUNGE SASA NAFASI BADO ZIPO

K**a unatamani kujiunga na chuo kwa ngazi ya cheti na Diploma tunakukaribisha sana na udahili bado unaendelea piga 0622929424
https://youtu.be/1zXyxER4G2Q

MKUU WA CHUO CHA KILIMANJARO INSTITUTE OF TECHNOLOGY AND MANAGEMENT KILICHOPO MWENGE NA SINZA MAPAMBANO JIJINI DAR ES SALAAM ANAPENDA KUWATANGAZIA MUHULA MPY...

18/12/2018

MKUU WA CHUO CHA KILIMANJARO INSTITUTE ATANGAZA MUHULA MPYA WA MASOMO JANUARY 2019.JIUNGE SASA

Apply for Next Intake January 2019 / Jiunge na Muhula wa Masomo Mwezi January 2019
https://youtu.be/czmEECZtmdk

Our Story

The Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) is the leading Tanzania's PRACTICAL oriented training institute, committed in offering a wide range of Vocational and Technical courses from Certificate to Diploma level. The Institute is registered and operating under VETA and NACTE with NACTE full registration NO. REG/ANE/029.Our areas of specialization are ICT, Business, Hotel & Tourism.Our Diplomas and Certificates are recognized by all Universities in Tanzania.
Being a practical based training institute, our graduates have fully accepted by many employers in Tanzania. More than 80% of our students have secured their jobs or further study within three months after their course completion -a figure well above national average.

Videos (show all)

Swali la kujiuliza ni hili.
Mwanaume asingekuwa na udhaifu Mwanamke hana kazi.sikiliza hii
HUU NI UKWELI WENGI WASIOUPENDA ILA NDIO UKWELI
Wanawake pata somo hili! By Rose shaboka
ENCOUNTER WITH MR FUTURE, MWAMINI YESU NA UPOKEE LEO, MUNGU BADO YUPO KAZINI
WAKO WAPI MATAJIRI KANISANI WANAOWEZA KUAJIRI MABINTI WASIOMBWE RUSHWA YA NGONO ILI WAPATE KAZI
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
FRIDAY ONE ON ONE PROPHETIC SERVICE
Mwanaume Yeyote lazima afanye haya kwà Mwanamke

Location

Telephone

Address


Dar Es Salaam
+255
Other Dar es Salaam schools & colleges (show all)
Dar Kitchen Masters Dar Kitchen Masters
Kisutu/india Street
Dar Es Salaam, +255

Dar Kitchen Masters offers cooking and food presentation classes at various paces, from kids to professional chefs!

DAMUSSA DAMUSSA
Dar Es Salaam, 90329

DAR ES SALAAM MUSLIM STUDENTS OF SECONDARY SCHOOL ASSOCIATION (DAMUSSA) JUMUIYA YA WANAFUNZI WA KIISLAM WA SHULE ZA SEKONDARI MKOA WA DAR ES SALAAM

Daaru sheikh ali suufi lixifdil quraan Daaru sheikh ali suufi lixifdil quraan
Tameke\scota
Dar Es Salaam, 163010

daaru sheikh ali suuf lixdil quraan

Spanish & Swahili Tutors in Tanzania Spanish & Swahili Tutors in Tanzania
Dar Es Salaam

Learn Spanish, French or Swahili today. Call/WhatsApp us on 0754891545, for more details. Karibu sana! Bienvenido!

Skonga Skonga
Samora Ave,
Dar Es Salaam, 11101

The Skonga ® is an ERP Software & School Management System from microsafi.com for the institutions of education in Tanzania and across globe.

The Builders Home Tz The Builders Home Tz
Kigamboni
Dar Es Salaam, 55132

Ukurasa huu unatokana na kipindi cha luninga cha "BUILDERS HOME" ikiwa na malengo yakukusogeza karibu yetu wewe mtazamaji wetu.

Schools Directory Schools Directory
Bagamoyo Rd
Dar Es Salaam, BOX 8313

A comprehensive Online Directory of Accredited Secondary and Primary Schools in Tanzania.

ARUSO ARUSO
35176
Dar Es Salaam

ARUSO government is committed to ARU Community and Dedicated to Progress, our main objective is serving for, to protect and promote student’s interests in

Al-Hikma Qur'an Competition Al-Hikma Qur'an Competition
Temeke - Mwembeyanga
Dar Es Salaam, 255

Taasis ya Al-hikma foundation chini ya usimamizi wa sheikh Nurdin Kishki inawaandalia mashindano makubwa ya kuhifadhi na kusoma Quran Africa.

Elimuboratanzania Elimuboratanzania
P.O.Box 63033,
Dar Es Salaam, +255

It is a platform for education affairs, lets meet and share views

Montessori Learners - Where Learning is Customised Montessori Learners - Where Learning is Customised
Montessori Learners, Mbezi Beach, Ally Sykes Road Off Old Bagamoyo Road.
Dar Es Salaam, PLOT NO. 975

Welcome to Montessori Learners. Where children are inspired and love to learn through a structured prepared environment. [email protected]

Muscle point Muscle point
Daressalaam
Dar Es Salaam

For tips on training and nutrition turn to MUSCLE POINT.