St Matthews Secondary School

St Matthews Secondary School

Comments

we're is your school
M A P E N D O

💥💥💥💥💥💥

St Dominic Savio Youth Pilgrimage Service iliyoko chini ya Kituo Cha Vijana Donbosco Upanga DSM......!!!!

✝️✝️✝️✝️✝️

Inakuletea......!!!

Safari ya Hija Maalum kwa ajili ya Vijana wote Wakatoliki popote Tanzania🇹🇿 iliyopewa jina la CROSS COUNTRY PILGRIMAGE TOUR

Itakuwaje.....?????

Safari itaanza December 20 hadi 30 mwaka 2020

Tutaanzia

1.Kituo Cha Hija Cha Mlango wa Imani Bagamoyo tutakuwepo kwa siku nzima pamoja na kukesha hapo. Tutaimba, Tutacheza Tutamsifu Mungu tukiongozwa na Vijana wa Donbosco Band Upanga hii itakuwa Dec 20 hadi 21

Dec 21,2020

Alfajiri tutaianza Safari ya kutoka Bagamoyo kuelekea Mikumi National Park-Morogoro na tutakuwepo hapo kuanzia saa 4:00 Asubuhi- saa 10:30 Jioni Baada ya hapo tutafanya Maandalizi ya Kuianza Safari ya Kuelekea Kituo Cha Hija Cha Kanisa la Kale lenye umri zaidi ya miaka 140 Peramiho Songea na tutawasiliana Songea Dec 23

Dec 24-26,2020

Tutakuwepo Peramiho Songea kwa ajili ya Mambo yafuatayo

1.Ratiba za Ibada ya Hija hapo Kituo Cha Hija Peramiho

2.Tutafika katika Kaburi la Sister Benadeta Mbawala, Kaburi lenye miujiza , uponyaji na baraka tele ukienda na Nia zako Njema

3.Shamra Shamra za Krismasi na kujumuika na Waamini wa Parokia ya Peramiho Kusali Ibada ya Christmas pamoja na Jioni tutakuwa na Hafla ya chakula Cha Jioni na Vijana wa Peramiho katika kuitimisha Hija yetu.

Dec 26 tutaondoka kuelekea Bukoba

Dec 27-29,2020

Tutakuwa Mkoani Kagera wilaya ya Bukoba Mjini/vijijini ambapo tutakuwa na shughuli zifuatazo

1.Hija Takatifu Katika Kituo Cha Hija Cha Ludri ya Bikira Maria, Nyakijoga Mugana Bukoba Vijijini

2.Tutafika katika Kanisa la Kwanza Alipozikwa Kardinali wa Kwanza Afrika Kardinali Raurian Rugambwa na Kisha baadae tutakwenda alikozikwa rasmi Kanisa Kuu Katoliki Bukoba Mjini

3.Kumuona Baba Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba na kumalizia kwenda kuwatembelea Watoto Yatima

Dec 29,202

Safari ya Kurejea Dar Es Salaam
M A P E N D O......

St Dominic Savio Pilgrimage Services chini ya kituo Cha Vijana Donbosco Upanga

Tunawaalika Vijana wote Wakatoliki Kutoka majimbo mbalimbali hapa nchini kwetu TANZANIA kwa makundi yote

1.TYCS
2.TMCS
3.VIWAWA

Katika Safari Takatifu ya Hija itakayofanyika katika Kituo cha matokeo ya "Mama Bikira Maria huko Kibeho nchini Rwanda"
KABLA, ya Hija takatifu kuanza tutatanguliwa na matembezi ambayo yanalenga kutujengea uwezo na uelewa miongoni mwetu sisi vijana kutoka katika nchi hiyo ya Rwanda, hivyo tutatembelea

1.UBALOZI WA TANZANIA
GENOCIDE MEMORIAL CENTER (Kituo cha kumbukumbu ya mauaji ya Vita ya makabila ya wenyewe kwa wenyewe nchini humo)
2.KIGALI CONVERSATION CENTER
3.MAKAO MAKUU YA SHIRIKA LA MAPADRI WA DONBOSCO AFRIKA YA KATI
4.RADIO MARIA RWANDA

Baada ya matembezi hayo tutamaliza na Ibada takatifu ya Hija huko kwa Mama Bikira Maria wa Kibeho ambalo ndilo kusudio kuu.
GHARAMA, ni Tsh.370,000/= ikijumuisha Usafiri,chakula,malazi, pamojaTisheti.
Kila mhujaji atapaswa kuwa na Tsh.20,000 pembeni kwa ajili ya hati ya muda ya Kusafiria na litakuwa jukumu la kamati ya maandalizi kushughulikia hati ya Kusafiria upatikanaji wake.
Tunatoa wito wetu kwa Viongozi wa Dini Mapadri, Masista,Makatekista, Pia wazazi,walezi na wote wenye Mapenzi ya dhati kwa vijana kuwasaidia vijana uwezo wa kumudu gharama ili waweze kuungana na vijana wengine katika safari hii ya kipekee kwa vijana ambayo itawahimarisha kiroho na kimwili

SAFARI LINI
JUNE 20-30,2020

Neno letu katika Safari hii Ni kutoka kwa Mt Donbosco Baba na Mwalimu wa Vijana pale aliposema"Inatosha kuwa ninyi Ni Vijana kunifanya niwapende Sana"
MALIPO YANALIPWA

katika ofisi zetu zilizopo Donbosco Upanga
Au kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa Nambari

0788 228 035
0719 722 212
0716 641 734
Follow this link to join my WhatsApp group:
Habari ndugu mzazi/Mlezi

Chuo cha Excellent Training Center Tanzania kilichopo Upanga karibu na Hospitali ya Regency, tunakutaarifu ya kwamba masomo ya ziada (Tuition) ya Sayansi, Arts na Biashara kwa shule za secondary yanapitikana kwa Tsh 20, 000/ tu katika kipindi cha likizo.
Pia tunapokea wanafunzi wanaosoma kwenye English medium Schools pekeee kwa Tsh 50,000/kwa masomo yote.

Walimu wetu ni wazoefu na ni walimu kwa Taaluma.
Mazingira ni rafiki kwa mtoto wako hakuna mwingiliano wa shughuli nyingine za kibinadamu zaidi ya shughuli za kitaaluma tu.
Wasiliana nasi

Excellent Training Center Tanzania Ltd
Simu 0676450289
E mail [email protected]

The school offers Primary and Secondary Education for both O-level (Form I to Form IV) and A-level St. Matthew's Secondary School is a co-educational Non-Government Boarding school located at Kongowe, Kipala Village, along the Kilwa Road in Mkuranga District - Pwani.

The school is situated on attractively landscaped by tall trees approximately 19 kilometers from Dar es Salaam city centre.St Matthew's Secondary School is full registered under the Ministry of Education and Vocational Training of Tanzania, (Reg. No. S.932)
The school offers secondary education for both O level (Form I to Form IV) and A level (Form V to Form VI,). The school has facilities necess

Operating as usual

02/07/2021

Hello July 2021!
#StMatthews

Hello July 2021!
#StMatthews

24/06/2021

Tujadiliane Thursday….
Ushauri wako kwa wanafunzi.
#StMatthews
#TujadilianeThursday

Tujadiliane Thursday….
Ushauri wako kwa wanafunzi.
#StMatthews
#TujadilianeThursday

Photos from St Matthews Secondary School's post 24/06/2021

H E A D OF S C H O O L
Mkuu wa shule Mwalimu Joseph Nalaila, tupo naye tangu mwaka 2000!
.
Tuambie unamkumbuka kwa lipi? Amekufundisha? Jina lake la utani mlikuwa mnamuita nani?
#HeadOfSchool
#AppreciationPost
#BabaYetu
#ThankYou
#StMatthews

Photos from St Matthews Secondary School's post 21/05/2021

Do you envy us…? Come and join us now and follow us….
@st.matthews_schools
@st.matthews_schools
@st.matthews_schools
#WeAspireForExcellence
#PrimaryClasses
#StMatthews @ St Mathew's Secondary School

Photos from St Matthews Secondary School's post 21/05/2021

Glimpse of our #PreSchool classes…
.
.
#WeAspireForExcellence
#StMatthews
.
Follow us
@st.matthews_schools
@st.matthews_schools
@st.matthews_schools @ St Mathew's Secondary School

Photos from St Matthews Secondary School's post 21/05/2021

We are Proud of our class atmosphere!
#WeAspireForExcellence
#StMatthews
#PreAndPrimarySchool @ St Mathew's Secondary School

19/05/2021

#Elimu #Malezi na #Usalama ndio malengo yetu makuu kwa kila mtoto.
.
.
#JoinUsNow
#StMatthews
#TheBest

#Elimu #Malezi na #Usalama ndio malengo yetu makuu kwa kila mtoto.
.
.
#JoinUsNow
#StMatthews
#TheBest

Photos from St Matthews Secondary School's post 19/05/2021

Join the Best in Tanzania!1️⃣✅
.
.
👈Slide left for more information…
#StMatthews
#FormFiveAdmission
#Elimu #Malezi #Usalama @ St Mathew's Secondary School

19/05/2021

#FormFive2021/2022
Join the Best School Now!
Join Online @ our website: www.stmatthews.ac.tz
.
#Arts #Science #Business
#FormFive2021/2022
#JoinNow
#TheBest
#SecondarySchool
#Tanzania

#FormFive2021/2022
Join the Best School Now!
Join Online @ our website: www.stmatthews.ac.tz
.
#Arts #Science #Business
#FormFive2021/2022
#JoinNow
#TheBest
#SecondarySchool
#Tanzania

Photos from St Matthews Secondary School's post 18/05/2021

Well deserved congratulations to our #FormSix2021 for finishing your #NECTA final examinations.
Please always remember, you’re braver than you believe, stronger than you seem, and smarter than you think.
.
Go and conquer the world, the best is yet to come…
#ForeverOurFamily
#BestWishesInYourLife
#ThankYou
#FormSix2021
#TheBest @ St Mathew's Secondary School

Photos from St Matthews Secondary School's post 16/05/2021

Mwalimu na watoto wake!
.
This is #StMarksSchool means #Elimu #Malezi #Usalama for every child.
#BestSchool
#Tanzania @ St. Marks Secondary School, Mbagala Kongowe

Photos from St Matthews Secondary School's post 16/05/2021

I’m proud to be part of #StMarks family!
.
Shule bora katika Elimu, Malezi na Usalama wa mtoto!
#ProudlyStMarksFamily
#StMarksSchool
#Elimu #Malezi #Usalama @ St. Marks Secondary School, Mbagala Kongowe

15/05/2021

Guess wimbo….
Tumpe marks ngapi?
.
Kwani shule nyingine zinasemaje?
#StMatthews
#BabaLao
#TalentedStudents
#Elimu #Malezi #Usalama

14/05/2021

#FormSix2021 tunavyo sheherekea #Eid
Tuwapongeze waliomaliza mitihani na kuwatakia Heri wanaomalizia…
#OurTalentDay
#StMatthews
#ACSEE2021
#NECTA

14/05/2021

Eid Mubarak familia nzima ya #StMatthews
.
Sisi ni #Elimu #Malezi na #Usalama kaa mtoto!

Eid Mubarak familia nzima ya #StMatthews
.
Sisi ni #Elimu #Malezi na #Usalama kaa mtoto!

Photos from St Matthews Secondary School's post 13/05/2021

Kumbukumbu kutoka kwa @ibrahimleonar na @nice_mwanga
#FormSix2008 vs FormSix2011 nani walitisha?
.
#TBT
#KumbukumbuKutokaKwako @ St Mathew's Secondary School

Photos from St Matthews Secondary School's post 13/05/2021

Kumbukumbu kutoka Kwako @miss_barbiebawse
Miaka 12 iliyopita… mnajikumbuka kweli?
Slide kuona next pic alafu tuambie wako wapi?
#TBT
#EnjoyShule
#SchoolLife @ St Mathew's Secondary School

13/05/2021

Kumbukumbu kutoka kwako @hery.kasebele
#SchoolLife EGM2012 vs After school life 2018
#KumbukumbuYako
#TBT

Kumbukumbu kutoka kwako @hery.kasebele
#SchoolLife EGM2012 vs After school life 2018
#KumbukumbuYako
#TBT

Photos from St Matthews Secondary School's post 10/05/2021

Happy #NewWeek from #VictorySecondarySchool
#Elimu #Malezi #Usalama @ Victory School

Photos from St Matthews Secondary School's post 10/05/2021

Our girls are better than yours, test us in netball if you can dare…!
#VictorySecondarySchool
#SportsAndGames
#WeekendActivities @ Victory School

Photos from St Matthews Secondary School's post 10/05/2021

Our Weekend Sports was Lit, we are now fresh for a new week from #VictorySecondarySchool
#PracriceMakesPerfect @ Victory School

Photos from St Matthews Secondary School's post 03/05/2021

This is the day that Lord has made for you #FormSix2021 please go and tell them NECTA!
.
#BestWishesFormSix
#YesYouWillDoIt
#StMatthews
#ACSEE2021
#NECTA @ St Mathew's Secondary School

Photos from St Matthews Secondary School's post 03/05/2021

We know all our #FormSix2021 students have prepared well for the final examination, but the victory belongs to the Lord!
.
God, this is for your Glory, let them make history, Amen!
#StMatthews
#GodIsOurRefugeAndStrength
#NECTA
#ASCEE2021
@ortamisemi @ St Mathew's Secondary School

Photos from St Matthews Secondary School's post 03/05/2021

Our dear #FormSix2021 start #FormSixNationalExamination today.
Please wish them nothing but All the Best!
.
#GoAndMakeItHappen
#FormSix2021
#StMatthews
#NECTA
#ACSEE2021 @ St Mathew's Secondary School

Photos from St Matthews Secondary School's post 01/05/2021

It’s a May Day and May Work to All of US!
#HappyMayDay
#StMarksSchool
#StMatthews
#Elimu #Malezi #Usalama @ St. Marks Secondary School, Mbagala Kongowe

Photos from St Matthews Secondary School's post 30/04/2021

Not all classrooms have four walls…
#EnjoyShule
#DedicatedTeachers
#BestStudents
#StMarksSchool @ St. Marks Secondary School, Mbagala Kongowe

Photos from St Matthews Secondary School's post 30/04/2021

Our School Rocks!
#StMatthews Pre and Primary School.
#EnjoyShule
#PrimaryEducation
#SchoolEnvironmentMatters @ St Mathew's Secondary School

Photos from St Matthews Secondary School's post 29/04/2021

Kumbukumbu kutoka Kwako!
Pic 1: #FormFour2006
Picc 2: #FormFourClass2011
Mmh but why jamani class 2011? Embu watag waje hapa!
.
#StMatthews
#TBT
.
Tutumie kumbukumbu yako ukiwa shule DM, tutapost kukumbusha enzi. @ St Mathew's Secondary School

Photos from St Matthews Secondary School's post 29/04/2021

Kumbukumbu Zetu!
Graduation ya #FormFour2008 #StMarksSchool unamtambua nani hapo?
#TBT
#StMarksSchool
#ProudlyStMarks
.
.
Tutumie DM kumbukumbu yako ukiwa shule na tutapost….! @ St. Marks Secondary School, Mbagala Kongowe

29/04/2021

Kumbukumbu zetu!
Unakumbuka #Malezi yao? Tafadhali tuambie unakumbuka nini na ilikuwa mwaka gani?
#TBT
#StMatthews
#FirstMatrons

Kumbukumbu zetu!
Unakumbuka #Malezi yao? Tafadhali tuambie unakumbuka nini na ilikuwa mwaka gani?
#TBT
#StMatthews
#FirstMatrons

27/04/2021

“Mlee mtoto katika njia impasayo, naye hataiacha hata atakapokuwa mzee”.
#SisiNiElimu
#SisiNiMalezi
#SisiNiUsalama
#KwaKilaMtoto

“Mlee mtoto katika njia impasayo, naye hataiacha hata atakapokuwa mzee”.
#SisiNiElimu
#SisiNiMalezi
#SisiNiUsalama
#KwaKilaMtoto

27/04/2021

Ehee Mwenyezi #Mungu tusikie maombi yetu na utuepushe na hila zote za shetani!
Amen!
#Elimu #Malezi #Usalama
#OurStudents

Ehee Mwenyezi #Mungu tusikie maombi yetu na utuepushe na hila zote za shetani!
Amen!
#Elimu #Malezi #Usalama
#OurStudents

27/04/2021

Masomo yanaendelea na hatuachi kusali kwakuwa #Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu!
#victorySchool
#PracticeMakesPerfect

Masomo yanaendelea na hatuachi kusali kwakuwa #Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu!
#victorySchool
#PracticeMakesPerfect

20/04/2021

FORM FIVE 2021!
#HKL #HGL #HGE #HGK Are you Ready to achieve the dream of your life? What are you waiting for?
#JoinUsNow
#StMatthews
#Elimu #Malezi #Usalama

20/04/2021

FORM FIVE 2021!
#PCB #PCM #PMC #EGM Are you Ready to achieve the dream of your life? What are you waiting for?
#JoinUsNow
#StMatthews
#Elimu #Malezi #Usalama

Videos (show all)

HABARI NJEMA KWA WAHITIMU WOTE WA KIDATO CHA NNE KWA SHULE ZOTE  ZINAZOMILIKIWA KWA PAMOJA NA DR. MUTEMBEI AMBAZO NI ST....

Location

Category

Telephone

Address

Mbagala - Kongowe
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00
Other Schools in Dar es Salaam (show all)
Sakana Schools Sakana Schools
Dar Es Salaam, +255

Sakana High School is a Private Boarding Secondary School for boys and Girls. Students accepted for 2014 will be the School’s inaugural class.

MaryDestiny English Medium Schools MaryDestiny English Medium Schools
Temeke,Kongowe - Kigambon Road,Ponde Street, Opposite Funcity
Dar Es Salaam, EAST AFRICA

Destiny International Schools is a non- governmental Educational institution ,from Nursery to college level ,both religious and secular.

Shuleyako Shuleyako
P.o.box 31998
Dar Es Salaam, +255

Tanzania Schools guide

Shule Tanzania Shule Tanzania
Dar Es Salaam, +255

We are advertising all kind of private schools from Nursery, primary, secondary to High school

BILAL Alumni BILAL Alumni
Dar Es Salaam

BILAL GRADUATES

Makair Travel Academy Makair Travel Academy
NBAA, Mhasibu House, Bibi T**i Road
Dar Es Salaam, P.O. BOX 20332

Makair Travel Academy is an IATA Accredited Training and Exam Center dedicated to providing travel, leisure and management Education. We are able to provide a wide range of Travel courses.

Verena Nursery & Primary Day & Boarding English Medium Verena Nursery & Primary Day & Boarding English Medium
London Street
Dar Es Salaam

shule ipo Gongolomboto - Mwisho wa Lami-tunapokea watoto kuanzia miaka mitatu kwa chekechea na darasa la kwanza adi la saba nafasi ya bweni ipo

UDGAS UDGAS
University Of Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM GEOLOGICAL ASSOCIATION OF STUDENTS(UDGAS) P.O. BOX 35052, Dar es Salaam. E-mail: [email protected] "THE EARTH, THE GEOLOGIST'S GREATER PUZZLE"

The Latham School The Latham School
468 Nyanza Rd Bahari/Sandvik Rd Masaki
Dar Es Salaam

The Latham School offers a Cambridge international education of world class standards to children between the ages of 2-18 yrs.

Cognisci Consult Limited Cognisci Consult Limited
Azikiwe Street
Dar Es Salaam

IDENTIFICATION, DEVELOPMENT, EFFICIENCY Personality assessment, Psychometric evaluations, Conflict management and more

Music High School Music High School
Dar Es Salaam