Maez Habari

Maez Habari

Comments

Yangu Macho Namasikio

NEWS AND HEADLINES

Operating as usual

Photos from Maez Habari's post 13/10/2021

MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE UKIENDELEA JIJINI ST PETERSBURG URUSI! DK GWAJIMA AKIMWAKILISHA RAIS SAMIA WA TANZANIA!(Katika Picha)

11/10/2021
10/10/2021

*WANAOTAKA KUZIJUA RANGI ZANGU HALISI WAJARIBU KUDOKOA FEDHA HIZI AU WABADILISHE MATUMIZI BILA MAELEWANO,SINA HURUMA KWENYE FEDHA HIZI - MHE.RAIS SAMIA* .

*JAMBO LA MAMA NI JAMBO LETU*

*MRADI WA MAENDELEO KWA WANANCHI*

"Kuundwe kamati zitakazosimamia lakini kumeshaonekana kuna fedha hapa,kutakuwa na utitiri wa kamati..sitaki utitiri wa kamati,kuundwe kamati za wataalamu katika ngazi za mikoa watakaosimamia hadi ngazi za wilaya chochote kitakachotokea wilayani tunakamata kamati ya mkoa ambayo inasimamia miradi hiyo hapo ndio tunaweza kuwa na responsibility inayoeleweka,tukisema nani kampasia nani hatutaweza kushika mtu lakini kamati zikiwa ndogo tunaweza kushika mtu"

"Nikuagize Waziri Mkuu kwenye ile kamati ya kitaifa uongoze kamati hiyo na msimamie mpango mzima huu wa Mradi huu wa Maendeleo kwa Wananchi"

"Jambo lengine ni kwa Viongozi,Watumishi na Wazabuni...hili niliseme tu kwa wale wanaotaka kuzijua rangi zangu halisi ...mkinitizama hivi mnasema Mhe.Rais ni mweupe lakini nina rangi halisi,kwa wale wanaotaka kuzijua rangi zangu halisi wajaribu kudokoa fedha hizi au wabadilishe matumizi ya fedha hizi bila maelewano"

"Ukiangalia programme hii,Nchi inakwenda kuchemka,kila kona inakwenda kuwa na ujenzi inakwenda kuwa na Miradi ya Maendeleo,niwatake Wakurugenzi wa Halmashauri na timu zao kule chini kwenda kuisimamia Miradi hii ipasavyo"

"Kwenye fedha hii sina huruma na mtu kwasababu,kwasababu nina uwezo wa kupata mikopo mengine yenye gharama nafuu ambayo itaweza kutusogeza kwa haraka,tukivurunda hapa tayari tutakuwa tumejitia doa,kwahiyo sitakuwa na huruma na mtu atakayekwenda kuichezea fedha hii kuanzia Mawaziri wangu,chini kwa Wakurugenzi na wanaowafuata"

Ameyasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19,Leo Oktoba 10,2021 Katika Ukumbi wa JKCC Jijini Dodoma.

#SamiaKazini
#KaziIendelee

07/10/2021

Tanzania shines as Zanzibar-born Gurnah wins Nobel Prize

By Ansbert Ngurumo
of SAUTI KUBWA

7th October 2021

TANZANIAN novelist Abdulrazak Gurnah has won the Nobel Prize in Literature (2021).
He is the first Tanzanian and the latest non-western writer to win the prize following a decision by the Nobel Prize Committee today.
He becomes the fourth black African to win the award. Others before him were Nigerian author Wole Soyinka, South African John Maxell Coetzee and Nadine Gordimer.
To many Tanzanians, Gurnah, who lives in the United Kingdom, is a less-known writer. But to Anders Olsson, who chairs the Nobel Prize Committee, “Gurnah is widely recognised as one of the world’s most pre-eminent post-colonial writers.”
He has written 10 novels – Memory of Departure (1987), Pilgrims Way (1988), Dottie (1990), Paradise (1994), Admiring Silence (1996), By the Sea (2001), Desertion (2005), The Last Gift (2011), Gravel Heart (2017), and Afterlives (2020). He also authored a short story – “My Mother Lived on a Farm in Africa” (2006).
Previous Nobel Prize winners came from western countries, with the USA topping the list with 373 winners. The United Kingdom has 131, German has 108 winners, as France comes a distant fourth with 69 winners.
The Swedish Academy awarded this year’s prize worth 10 million Swedish krona ($1.14m, Tsh.2.7 bn).
As the announcement was made today afternoon, a good number of Tanzanians and friends of Tanzania went into celebrations.
Gunilla Moshi, a Swedish Church deacon and and human rights defender, said: “This is a great event for Tanzania and the rest of the world. It is a wonderful and great decision. Children will read about him and other Africans will be inspired by his achievement that has been eluding non-western authors for a long time. It’s a revolutionary decision.”
Iina Soiri, a Finnish citizen and board member of the Uongozi Institute, said: “I am in Tanzania now now and we are celebrating… His books are great. I love his books. They give wonderful historical perspective to Swahili coast and colonial times. They are not boring but beautiful narrative and create characters that are believable and rich.”
Matinpuro Teemu, the executive director of the Swedish Peace Committee, said: “i think awarding of the Nobel Prize for Literature to Abdulrazak Gurnah emphasizes the importance of understanding the legacy of colonialism that has mainly been overlooked since the 1980s in the so-called western world.”
Absalom Kibanda, author, renowned journalist and former chairman of Tanzania Editors Forum (TEF) said: “Abdulrazak Gurnah has made Tanzania proud. Through his achievement, Tanzania stands high in literary arts and literature as one among giants.”
Juha Rekola, the Emeritus International Ombudsman for the Finnish Union of Journalists, said: “It’s great the price went to an African novelist. He’s not this far translated in Finnish, so he is not well-known here, but perhaps the Price will change it.”
Gurnah, a Zanzibar-born Tanzanian (1948), fled to UK in 1964.
Before his retirement, he was Professor of English and Postcolonial Literatures at the University of Kent, Canterbury.
According to Zanzibar-based seasoned journalist Salim Said Salim, Gurnah was among 30 young men who fled Zanzibar out of the 1964 “political frustrations.” That is the year when Tanganyika merged with Zanzibar to form the United Republic of Tanzania.

[08/13/18]   MAONI KUHUSU KUONDOLEWA KWA FTA TV KWENYE VING’AMUZI VYA DSTV, AZAM PAMOJA NA ZUKU.

Tukiwa kama Taasisi rasmi na zinazotambulika zenye jukumu la kurusha kwa jamii maudhui kwa njia ya Televisheni, jukumu letu la kwanza limekuwa ni kuhakikisha tunafikisha habari kwa wananchi ambao ndio walaji wakuu wa maudhui tunayozalisha.

Kama vyombo vya habari, nia yetu ni kushuhudia mabadiliko chanya ya kiteknolojia yakiwa baraka kwetu na kuendelea kutupa wepesi wa kuwafikia walengwa wetu (watazamaji na wasikilizaji) katika maeneo tofauti ya nchi yetu.

Sisi kama warusha maudhui yasiyolipiwa kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na sintofahamu juu ya kuzuiwa kurushwa kwa maudhui katika ving’amuzi vya AZAM, DSTV na ZUKU jambo ambalo limeleta usumbufu na mkanganyiko miongoni mwa walaji wetu wa mwisho. Ni kweli kwamba sintofahamu hili haikuanza leo, suala hili lipo toka mwaka 2016 na katika kipindi chote hiki busara zaidi imekuwa ikitumika kuhakikisha kuwa tunapata suluhisho ambalo haliathiri upande wowote (mamlaka, taasisi na wananchi)

Tanzania ilianzisha mchakato wa kuhama kutoka kwenye mfumo wa urushaji matangazo wa Analojia kwenda Dijitali (analogue to digital) mwaka 2006. Baada ya Tanzania kuingia kwenye mfumo huo, utangazaji wa maudhui kupitia miundombinu ya ardhini (DTT) umewezesha kwa aina zote za maudhui yaani ile ya chaneli zenye kutazamwa bila malipo (FTA) na ile ya maudhui ya kulipia (Pay Television). Awali mfumo wa maudhui ya kulipia ulikuwa unapatikana kwenye utangazaji kwa njia ya satellite pekee.

Mchakato huo ulipelekea kuingia kwa watoa huduma mbalimbali nchini ambao walikuwa na majukumu ya kurusha matangazo kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa na hapa ndipo kampuni kadhaa zilipoanza kuuza ving’amuzi tofauti kwa wananchi bila maelekezo ya kuwa chaneli za FTA zitaonekana kwa baadhi tu ya ving’amuzi ambavyo vimeelezwa kuwa vilishinda zabuni.

Utaratibu wa soko ulichukua nafasi na kuwapa uhuru wananchi kuchagua king’amuzi akipendacho huku akifahamu wazi atakuw

12/05/2018

MJENGA NCHI NI MWANANCHI NA MBOMOA NCHI PIA NI MWANANCHI TUCHUKUE TAHADHARI KUBWA AMA SIVYO TUTAKUA TUNATWANGA MAJI KATIKA KINU!

06/04/2018

Photos from Maez Habari's post

06/04/2018

Photos from Maez Habari's post

18/03/2018

Ukitembelea Unguja hasa wakati wa Pasaka hii bila kufika Mtoni katika Hoteli ya VERDE(KIJANI), Pasaka yako itakuwa HAIJAKAMILIKA ....hebu shuhudia mambo yalivyo kwa muhtasari katika Hoteli Verde yenye hadhi ya NYOTA 5!

03/03/2018

JPM ATEUA VIONGOZI WAKUU WA TRC MPYA!

-Sheria Mpya ya TRC Na. 10 , 2017 yakabidhiwa kwa Viongozi
Wakuu wa Taasisi hiyo
-Prof John Kondoro Mwenyekiti mpya wa Bodi ya TRC mpya!
-Mkurugenzi Mkuu Nd. Masanja Kadogosa!
-Watumishi wote wa TRL na Rahco wahamishiwa TRC!

Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa leo Jumamosi Machi 03, 2018, amemkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Nd Masanja Kungu Kadogosa Sheria mpya ya Shirika la Reli TRC Act na. 10 ya 2017.
Katika sherehe hiyo maalum iliyo fanyika mbele ya Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dr Leonard Chamuriho na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Reli Prof.John Wajanga Aron Kondoro.Waziri amesema wafanyakazi waliopo TRL na Rahco wanahamia katika Shirika jipya la Reli Tanzania (TRC).
Wakati huo huo katika kikao hicho cha kuzindua Sheria ya TRC ya 2017, Mh. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, ametangaza kuwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dr. John Pombe Magufuli, amewateua rasmi Nd Masanja Kadogosa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TRC mpya na Profesa John Kondoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TRC. Uteuzi huo umefanywa na Rais, kwa mujibu wa TRC Railways Act ya 2017.
Baada ya kikao hicho Waziri na Ujumbe wake pia ulipata fursa ya kutembelea maeneo ya Shauri moyo na kuona kazi ya ujenzi wa nguzo za njia ya reli mpya ambayo kuanzia hapo itapita juu mpaka kuingia stesheni ya Dar es Salaam.

28/02/2018

The belowa train from China to Germany travels through kazakhstan, Russia, Belarus and Poland. Distance travelled 10214 kms. Started on the 13th of June last year.
[21/01, 21:55] SM Kelkar: Goods transporting train. Plying from Europe (Germany) to China n vice versa. 200 containers per trip n there are plans to increase to 300. Travelling time abt 14 days. If by ship takes abt 2 mths.
Spectacular shots 👍🏿

This is most interesting and must see to the end. The train is like a snake going round the hill. Take note 4 engines to pull 200 containers. Fantastic.

31/01/2018

zenji trip

19/11/2017

Be aware we don't want replacement of OLD MUGABE WITH NEW MUGABE otherwise the sacrifice of Zimbabweans in the past two-decade will be in vain! What is required now is the fundamental change by establishing relevant inclusive forum whereby Zimbabweans shall conceive real vision for their future. To remind all of us not long past the veterans remained indifferent what was being perpetrated by RGM regime. But they come to life when RGM started purging them, hence we want them together strengh and courage to bring about the desired changes which will outlive them. Otherwise it will be dubbed as a mere cosmetic change of old wine in a new bottle. Please don't fail Zimbabweans and the rest of progressive Africans! Pamere chimurenga!

17/11/2017

Mpambe wa Rais Kanali Mbaraka Mkeremy akimkabidhi Imamu wa Msikiti wa Noor kijijini Mkange, Miono, Wilaya ya Chalinze mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Nassor wakati alipowasilisha msaada wa zulia la kuswalia msikitini hapo kutoka kwa Rais Dkt Magufuli pamoja na pesa taslimu shilingi milioni 2 akiwa kaongozana na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Bw. Jaffari Haniu (nyuma ya Imamu) leo Novemba 17, 2017

17/11/2017

Ya Mugabe yamenikumbusha masahibu ya nchi kadhaa China baada ya Mao, Zaire aka DRC, Cote de Voire, Tunisia, Cameroon ...lakini Zimbabwe inatuhusu! Aprili 18, 1980 Mwalimu J K Nyerere kama Mwenyekiti wa Nchi za Mstari wa Ukombozi Kusini mwa Afrika alitupumzisha Watanzania siku hiyo tujumuike na Wazimbabwe kusherehekea Uhuru wao!
Kuna nchi za Afrika zilizopata bahati ya mtende kwa Marais kung'atuka kwa hiyari: Senegal, Tanzania na Afrika Kusini! Zambia Kaunda alipigwa TKO na Chiluba na kamweka kizuizini kama na yeye alivyoshughulikiwa na Mwanawasa..., Cote de Ivoire mizengwe baada ya kufariki Rais wa kwanza Felix Houphouet -Boigny madarakani ikawa patashika.. Cameroon haiko salama Paul Biya alifanya palace coup kwa msaada wa Ufaransa! Kenya Mzee Kenyatta alipofariki Mombasa Moi aliapishwa kwa mbinde! Na aliendelea madarakani kwa ubunifu mkubwa kama vile Ibrahim Babangida alivyokuwa akiitwa Maradona Nigeria na Moi hivyohivyo Kenya! Afrika Kusini Madiba alifanya maajabu kung'atuka baada ya miaka 4 tu madarakani! China baada ya Mao lilizuka Gang of Four likiongozwa na mjane wa Mao 1976-79 na Profesa Deng Xiaoping aliyehukumiwa kusafisha mabanda ya mifugo enzi za Mao akaanzisha haya mageuzi ya Modenaizesheni ya China kuanzia 1979 na sasa China imebadilika hadi Marekani wanatetemeka kiuchumi! Sisi Tanzania ni nyota sasa kwa madiliko ya kisiasa Mola atujaalie hivi hivi shetani atupitie mbali! Amina! Swali itachukua muda gani Zimbabwe kupata uongozi imara wenye dira! Itachukua miaka mingapi miwili au mitano? Kwa kawaida nafikiri itachukua takriban miaka kati ya 5 hadi 10 labda wabahatike kumpata 'Magufuli' wao mapema ndio kipindi cha mabadiliko kitakuwa kifupi! Kwa wakati huu tete tuwaombee sana Ndugu zetu wa Zimbabwe waelewani katika kipindi kifupi iwezekanavyo! Mungu Ibariki Zimbabwe, Mungu Ibariki Afrika!

Videos (show all)

MJENGA NCHI NI MWANANCHI NA MBOMOA NCHI PIA NI MWANANCHI TUCHUKUE TAHADHARI KUBWA AMA SIVYO TUTAKUA TUNATWANGA MAJI KATI...
Ukitembelea Unguja hasa wakati wa Pasaka hii bila kufika Mtoni katika Hoteli ya VERDE(KIJANI), Pasaka yako  itakuwa HAIJ...
The belowa train from China to Germany travels through kazakhstan, Russia, Belarus and Poland. Distance travelled 10214 ...
Be aware we don't want replacement of OLD MUGABE WITH NEW MUGABE otherwise the sacrifice of Zimbabweans in the past two-...
IMMIGRATION CHECKING AT DUBAI AIRPORT IN 15 SECONDS AMAZING!
Tutukuze kilicho chetu twende tukatembelee na familia zetu vivutio vyetu vya kitalii hususan mbuga zetu za Wanyama!Shime...
ANGALIA MAAJABU YA TIBA YA  CRYSTAL CELL!Kwa Wana-FB wote taarifa muhimu: K**a una jamaa, ndugu au rafiki anayeteseka na...
TCRA YAZINDUA MPANGO WA PILI WA UDHIBITI WA MATUMIZI BORA YA MAWASILIANO MTANDAONI!Sitaki..!...
Tuzingatie kuendesha magari kwa tahadhari tukikaribia makutano ya reli na barabara!
Ukarabati wa daraja Umekamilika!

Location

Category

Telephone

Website

maezhabari.blogspot.com

Address

Dar Es Salaam
Other Tutors/Teachers in Dar es Salaam (show all)
The Tchr The Tchr
2 Mahando Street
Dar Es Salaam

We provide tutoring, language learning, and communication skills solutions to individuals and institutions, empowering them with skills, techniques, and other essential tools practically needed to add value to their lives and business.

RELO East Africa RELO East Africa
686 Old Bagamoyo Road Msasani Kinondoni District
Dar Es Salaam

The RELO Office based in Dar Es Salaam seeks to support English language education and knowledge of U.S. culture throughout the Eastern Africa region.

Premium Tutors Premium Tutors
P. O. Box 14613
Dar Es Salaam, 255

We provide one on one home based tutoring services for various syllabuses. Please Contact us for more information.

Tino's English Class Tino's English Class
Tegeta, Near Kibo Commercial Complex, Bagamoyo Road
Dar Es Salaam

You will be taught how to: Speak English Write English Read English & Listen English at a very low cost. ***Mostly welcome***

Success Ambassadors Network Tanzania Success Ambassadors Network Tanzania
Ubungo. Dar Es Salaam. #0682 953 193
Dar Es Salaam, P.O. BOX 76537 DSM, TANZANIA

At Success Ambassadors, we inspire, motivate and and help people how to find and learn new financial

Homeland Institute Of Media And Social Studies Homeland Institute Of Media And Social Studies
Dar Es Salaam

Homeland Institute of Media and Social Studies , is a training institution available in Tanzania, that offers media and other courses to equip students for their better carrier.

Jifunze Kiingereza Jifunze Kiingereza
Ilala Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

This page is created purposeful to help people learn and understand English.