Singe Secondary School

Singe Secondary School

Comments

Jaklini
Nimefurahi kuona page ya Singe Secondary School. Mimi nilimaliza 1983.

**Welcome Singe**
Address Box 77 Babati
Type Secondary Schools
A/O - LEVEL O-A. Level
Reg Number S.136
School_Owner RC Mbulu Diocese

Operating as usual

www.mwananchi.co.tz 23/12/2015

Sitta: Siasa basi,aamua kuwa mwandishi wa vitabu na mshauri

SITTA: SIASA BASI,AAMUA KUWA MWANDISHI WA VITABU NA MSHAURI

Kwa mara ya kwanza tangu Kamati Kuu ya CCM ilipomuengua kwenye kinyang’anyiro cha uspika, Samuel Sita ambaye alikuwa Spika wa Bunge la Tisa, jana ameweka bayana mustakabali wake; ameamua kustaafu siasa.

Sitta aliongoza kwa mafanikio Bunge la Tisa kiasi cha kumfanya apewe kirahisi uenyekiti wa Bunge la Katiba na hivyo kujijengea jina miongoni mwa wana­CCM kiasi cha kujitumbukiza kwenye mbio za urais na baadaye kutaka kurudi tena kuliongoza Bunge la Kumi na Moja.

Lakini hakufanikiwa kupitishwa kuwania urais wala kugombea uspika, ambao aliahidi kuwa angeengulkiwa angefika hata mahakamani. Lakini jana alikuwa na kauli tofauti.

“Mambo ya siasa kwa sasa basi,” alisema Sitta alipoulizwa na Mwananchi kuhusu mipango yake ya baadaye baada ya kutopitishwa na CCM kuwania uspika http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Sitta--Siasa-basi-aamua-kuwa-mwandishi-wa-vitabu-na-mshauri/-/1597296/3007128/-/97gik6z/-/index.html

www.mwananchi.co.tz Kwa mara ya kwanza tangu Kamati Kuu ya CCM ilipomuengua kwenye kinyang’anyiro cha uspika, Samuel Sita ambaye alikuwa Spika wa Bunge la Tisa, jana ameweka bayana mustakabali wake; ameamua kustaafu

goo.gl 17/12/2015

Kuanzia Januari 2016 wasanii kulipwa na Redio na Televisheni zitakazotumia nyimbo zao

Serikali yatangaza kuanzia Januari 2016 wasanii watalipwa na Televisheni na vituo vya redio vitakavyokuwa vinatumia nyimbo zao.

-Hatua hiyo ilifikiwa kwa ushirikiano wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Wizara ya Habari, Michezo na Sanaa

Zaidi, Soma => http://goo.gl/d2XJcm

goo.gl Kuanzia mwakani wasanii watalipwa na radio na TV kwa nyimbo zao au tamthiliya kuonyeshawa. Hii imefikiwa leo kwa ushirikiano wa Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na Wizara ya

www.mwananchi.co.tz 17/12/2015

Mke amuua mume kwa kumpiga nondo kichwani

MKE AMUUA MUME KWA KUMPIGA NONDO KICHWANI

Mkazi wa Kijiji cha Irogero, Kata ya Kamachumu wilayani Muleba, Archard Fredrick, anadaiwa kuuawa na mkewe kwa kupigwa na nondo kichwani akiwa amelala.

---->Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine Ollomi alisema jana kuwa mtuhumiwa amelazwa Hospitali ya Ndorage akiwa chini ya ulinzi wa polisi kwa kosa la kujaribu kujiua kwa kunywa sumu baada ya tukio http://www.mwananchi.co.tz/habari/habari-ya-ndani/Mke-amuua-mume-kwa-kumpiga-nondo-kichwani/-/1724700/3000040/-/jrkspbz/-/index.html

www.mwananchi.co.tz Mkazi wa Kijiji cha Irogero, Kata ya Kamachumu wilayani Muleba, Archard Fredrick, anadaiwa kuuawa na mkewe kwa kupigwa na nondo kichwani akiwa amelala.

goo.gl 17/12/2015

Tanzania kuanzisha mazungumzo ya kusuluhisha mgogoro wa Burundi

Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa Mambo ya nje Dkt. Agustine Mahiga, kuanzisha mazungumzo ya kusuluhisha mgogoro wa kisiasa wa Burundi.

-Waziri Mahiga amesema kuwa ufumbuzi wa kisiasa pekee na sio mtutu wa bunduki utamaliza mgogoro Burundi

Zaidi, Soma => http://goo.gl/Qndf9G

goo.gl Wakati wakimbizi kutoka Burundi wakiendelea kumiminika kambini mkoani Kigoma, Rais Magufuli amemuagiza waziri wa mambo ya nje, ushirikiano wa kimataifa, Afrika Mashariki na Kikanda,

www.eatv.tv 17/12/2015

Mmejipangaje kuzuia dawa za kulevya-Kitwanga | East Africa Television

#YALIYOJIRI Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mh. Charlses Kitwanga amewaagiza maofisa waandamizi wa jeshi la polisi kumpelekea maelezo hii leo kuwa wamejipangaje na watafanya nini katika kupambana na kuwamata wahusika wa dawa za kulevya. Soma hapa http://www.eatv.tv/news/current-affairs/mmejipangaje-kuzuia-dawa-za-kulevya-kitwanga

www.eatv.tv Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mh. Charlses Kitwanga amewaagiza maofisa waandamizi wa jeshi la polisi kumpelekea maelezo hii leo kuwa wamejipangaje na watafanya nini katika kupambana na kuwamata wahusika wa dawa za kulevya.

[12/17/15]   MAWAZIRI WAZIDI KUTOA MAAGIZO KWA WATENDAJI.

Wakati wa mawaziri wa serikali ya awamu ya tano wakiendelea kuwasha moto kwa kutembelea maeneo mbalimbali yenye mapungufu zikiwemo ofisi za umma, leo ndani ya HOT MIX tunaye aliyekuwa mbunge wa Mchinga, Said Mtanda kujadili kasi ya mawaziri hawa ambao wamekuwa wakitoa maagizo mablimbali kwa watendaji ili kuendana na kasi ya Rais Magufuli.

Je, nini mtazamo wako juu ya kasi ya mawaziri wa serikali ya awamu ya tano?

www.eatv.tv 17/12/2015

Tuache siasa za porojo porojo- Zitto Kabwe | East Africa Television

Tuache siasa za porojo porojo- Zitto Kabwe

Mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kuwataka baadhi ya wanasiasa kuacha siasa za porojo na kuangalia masuala ya msingi na sio uteuzi wa Prof. Sospeter Muhongo.
Soma zaidi hapa http://www.eatv.tv/news/current-affairs/tuache-siasa-za-porojo-porojo-zitto-kabwe

www.eatv.tv Mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kuwataka baddhi ya wanasiasa kuacha siasa za porojo na kuangalia masuala ya msingi na sio uteuzi wa Prof. Sospeter Muhongo.

17/12/2015

Diamond Platnumz - Utanipenda

Ni mara kumi maumivu ya kutokuwa nacho, kuliko kupata Halaf ghafla ukapoteza..Dah! Maisha bwana, tena yakikukumba unajikuta Ghafla tu unaanza hata kuongea ongea pekeako Barabarani... #UTANIPENDA tazama Video nzima kwa Kubofya link hii https://youtu.be/q9l2ItDLsUk

The word UTANIPENDA means WOULD YOU LOVE ME.... This is an inspirational song talks about the real life of Diamond Platnumz it's like a Question he ask to hi...

17/12/2015

AHADI YA ELIMU BURE YATIMIA.
RAIS John Magufuli amewahakikishia Watanzania kuwa fedha kwa ajili ya kutimiza ahadi ya kutoa elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, zimetengwa Sh bilioni 131 mwezi huu na kupelekwa moja kwa moja katika shule husika.
Amesema Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa, watapatiwa nakala za taarifa za ugawaji wa fedha hizo na kuonya kuwa hatua kali zitachukuliwa kwa yeyote atakayethubutu kuzitumia vibaya.Rais Magufuli alisema hayo Ikulu Dar es Salaam jana muda mfupi baada ya kupokea ujumbe maalumu kutoka kwa Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe aliyemtumia salamu za pongezi kwa kuchaguliwa kuiongoza Tanzania.Dk Magufuli aliongeza kuwa fedha hizo ambazo ni pamoja na fedha za maendeleo, fedha za mitihani na fedha vifaa vya ku fundishia zitaanza kutumwa kila mwezi kuanzia mwezi huu.
Katika kipindi cha kampeni, Rais Magufuli aliahidi kutoa elimu bure kuanzia shule za msingi hadi sekondari kidato cha nne na hivi karibuni kupitia Wizara ya Elimu ilitoa waraka maalumu wa kusisitiza agizo hilo la elimu bure

13/12/2015

Singe Secondary School

13/12/2015

Singe Secondary School's cover photo

Location

Category

Telephone

Address


P.O.Box 77
Babati
+22567
Other Babati schools & colleges (show all)
Mamire Teachers College Mamire Teachers College
Mamire
Babati, 0255

Mamire Teachers College is among 35 teachers colleges owned by Tanzania government. The college offers Ordinary Diploma in Primary Education.

Greenland English medium school-TZ Greenland English medium school-TZ
Babati
Babati, 45325630

GREENLAND schools are one of the leading schools in east Africa that offer quality education and ar

Komoto sec. school Komoto sec. school
Babati
Babati

Dareda Blockers foundation Dareda Blockers foundation
Babati, S.L.P 240

Dareda Blockers Foundation, is non-profit organization founded dy dareda high school alumin and other friends of dareda high school,

Hayatul Islamiya Secondary School Hayatul Islamiya Secondary School
Bonga
Babati

This page shows different issues happening at Hayatul Islamiya Secondary School and all information about the school