Ticha Computing Center

Ticha Computing Center

Tunatoa huduma kwa wanafunzi, walimu, mashule na taasisi mbalimbali nyote mnakaribishwa Tupo Babati mjini katika ofisi za CCM mkoa tunatazamana na Barabara kuu ya Arusha - Dodoma.

Tunatoa huduma za

Printing, Typing, Photocopy, Lamination, Binding, Passport size, Photo editing, Graphic design, internet services, ID design & printing, Business Cards, Kadi za Michango na Mwaliko, T-shirt printing nk


Tunavyo pia vifaa mbalimbali kwa matumizi ya maofisini, mashuleni na majumbani Kama vile computer key bords, computer mouse, chaki, madaftari, kalamu, penseli, note book, office files. nkKaribu Sana JJ STATIONERY BABATI Kwa huduma Bora na za kisasa kabisa....

Operating as usual

03/10/2020

Ticha Computing Center's cover photo

[02/16/18]   ST. THOMAS EDUCATION CENTER
BABATI - MANYARA

TUNAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA:-

WANAORUDIA MITIHANI YA FORM 4 NA 6

KUSOMA MASOMO YA FORM 5 NA 6 MWAKA MMOJA

QT - ELIMU YA SEKONDARI KWA MIAKA MIWILI

PRE FORM 5 COMBINATION ZOTE

KOZI YA COMPUTER

SECRETARIAL NA ENGLISH COURSE

KOZI YA COMPUTER NI BURE KWA QT NA WANAORUDIA MITIHANI YA FORM 4 NA 6 NA VYETI VITATOLEWA KWA WOTE

TUPO BABATI MJINI NDANI YA ENEO LA KANISA LA RC MISSION KWENYE MAJENGO YA BABATI VTC.

HUDUMA YA BWENI IPO.

Qt na PC wetu wamefaulu vizuri katika matokeo yao yaliyotoka hivi karibuni

0683 233 533

[09/04/16]   The world is complete by itself to satisfy the needs of its people, the amaizing thing is that we people are not ready to utilize the existing resources and oppotunities related to our needs.

13/08/2016

Ticha Computing Center

22/07/2015

Ticha Computing Center's cover photo

Location

Telephone

Address


Oyster Bay
Babati
P.O. BOX 162
Other Babati schools & colleges (show all)
Komoto sec. school Komoto sec. school
Babati
Babati

Singe Secondary School Singe Secondary School
P.O.Box 77
Babati, +22567

**Welcome Singe** Address Box 77 Babati Type Secondary Schools A/O - LEVEL O-A. Level Reg Number S.136 School_Owner RC Mbulu Diocese

Mamire Teachers College Mamire Teachers College
Mamire
Babati, 0255

Mamire Teachers College is among 35 teachers colleges owned by Tanzania government. The college offers Ordinary Diploma in Primary Education.

Hayatul Islamiya Secondary School Hayatul Islamiya Secondary School
Bonga
Babati

This page shows different issues happening at Hayatul Islamiya Secondary School and all information about the school

Greenland English medium school-TZ Greenland English medium school-TZ
Babati
Babati, 45325630

GREENLAND schools are one of the leading schools in east Africa that offer quality education and are dedicated to creating a ''home of success'' .Registered under ministry of education EM: 17691.